Mwanamke: Unajua ni kwanini wanaume hupenda kuangalia wanawake hata wawapo na wapenzi wao?

we piga picha tu. mi mwenyewe ilibidi nicheke.

slide-311.jpg

Huyu jamaa ni nouma aisee.............................................Duh.....................! LOL
 
Hapo ulikuwa na maana ya kinyume chake nini The Boss. Lol.

Insecurity lazima iwepo hata kama mimi ni wifey...ukizingatia tumezungukwa na ulimwengu wa vimada, vibustani, vikishtobe, not to say wawindaji na wawindwaji.

Nyumbakubwa
chukulia we ni wife wangu
halafu kwa siku nakutana wanawake hata 10
ambao wote 'hawakufikii'
but still nipo na wewe
huoni kuwa hii insecurity ya wanawake haina maana?

yes hawakufii,but siwezi kuwa nao wote
i had to choose,na nimeku choose wewe na kasoro zako....
wengine nitawatazama tu.....get it?
 
Wewe hujawafahamu watazamaji vizuri wewe. Kuna watu wana wake bomba kinoma lakini bado ni shingo feni.

Unachosema kingekuwa kweli kama wanawake namba nane wangekuwa hawasumbuliwi na vimada.

Kitu kina thamani kikiwa barabarani...kikiingia ndani ukakimiliki kinakuwa cha kawaida saaana. Kwa hiyo kukodoa ni nature tu si kwa kuwa kuna kinachomis.


Mara nyingi sana wanaume wamekuwa na hofu kuwa na mahusiano na wanawake wazuri wa umbo na sura na kuishia kuishi na wanawake wa kawaida either kwa kutokuwa na kipato au kutojiamini tu,wengi wa wanaume wamekuwa wakiamini wanawake wazuri wana gharama kubwa kuishi nao na wengi ni wasumbufu hivyo huishi8a kuwatazama tu kwa vile fahari ya macho haifirisi duka.
 
inakuwaje mmekaa mahali akapita mwanaume mtanashati halafu mwanamke wako akamuangala utajisikiaje?
 
dah ila mie inanikeraga sana huyu mpenzi wa mie ana katabia ambacho nadhani ni extra ya hii mada huwa akimwangalia mwanamke mwenye wezere kubwa utasikia dah huyu dada kabinuka mpaka raha!!!yaan mbele yangu bila haya huaga inaniumaga kinoma noma yaanii! mmezidi bhana wanaume mjirekebishe mnatufanya tupoteze confidence!khaa
 
labda anakua hajaridhika na chaguo lake
kwa iyo anaangaliangalia na kwingine...kwa matumizi ya baadae
 
si jambo zuri hata kidogo maana nikujiaibisha na kuonekana hujatulia
 
dah ila mie inanikeraga sana huyu mpenzi wa mie ana katabia ambacho nadhani ni extra ya hii mada huwa akimwangalia mwanamke mwenye wezere kubwa utasikia dah huyu dada kabinuka mpaka raha!!!yaan mbele yangu bila haya huaga inaniumaga kinoma noma yaanii! mmezidi bhana wanaume mjirekebishe mnatufanya tupoteze confidence!khaa

Unamwogopa nini si umweleze ili ajirekebishe?
 


Unashikwa na udadisi na siku mnapokutana swali lako la kwaza ni kutaka kujua wale ni akina nani..........

Hivyo basi msije tutoboa na vidole vya macho, kwani mwanaume anapowaangalia wanawake warembo huwa anaishia kuangalia kwa macho tu, lakini moyo wake uko kwako...............LOL


Udende tena........labda ubadilishe msamiati. Maana umeelemewa.
 
Unajua tunataka kuona kaficha nini hapo juu ya skirt, huwa tunawaza kuna kitu tofauti na cha uliye naye na ukiniachia tu lazima nikachungulie mgodi.....
WACHA KUTOBOA SIRI ZA JESHI WWWWWW .................YAANI NIMECHEKA KWELI
 
Kumwangalia demu mwingine mara nyingi inatokea involuntary...yani wadada haswa wazuri wanakuwa kama wanasumaku vile unajishtukia umekodoa tu mimacho..kama ni demu then ukipita kwa ma-meni alafu wakaushe kama vile ajapita mtu,inabidi ujiulize mara sita sita.
usinikumbushe machungu niliwahi kula bonge la kofi pale jangwani sea breeze, dada anatoka beach anaenda pata shower rain nilijisahau kama nipo na mpenzi wangu, nilistukia kofi kali sana mpaka niliona nyota mchana mchana, jirani zangu wakabaki kucheka, ikabidi nivunge kucheka ila niliumia sana
 
Back
Top Bottom