Mwanamke: Umemuandalia nini mumeo/familia yako sikukuu hii ya Eid?

mmh! hapo labda kwa huyu kichanga ila hawa wakubwa wao wanataka ile makitu waone likuku la kuoka hapo kwa meza ndoo aah...........mambo safi uwaekee na tuviazi twa mbeya kama wamalila huku mjini wanaita chips aaah..............hapo mjomba utapendwa wewe maanake watataka kila siku kuja kukuona.

Dada gfsonwin shaka ondoa nitakuwepo mwenyewe mzee wa madikodiko, nitaandaa menyu ya uhakika kama ya Shelatoni.....................LOL
 
Last edited by a moderator:
nipo huku chanika, wapajua? loh....
BADILI TABIA mie tena mzee wa ndoa ya mkeka Ununio............ Enzi zile nikipigisha miziki kwenye kuwatoa wali wa kizaramo nimevuruga uzaramoni yote kuanzia, Kipalang'anda, Tambuka Reli, Mzenga yote hiyo nimemaliza, Bonyokwa, Chanika, Kazimzumbwi, Kisarawe yote hiyo mpaka Kimanzinchana.................. Utaniambia nini mie mtoto wa mjini bana........LOL
 
Last edited by a moderator:
072512_arctic_1521319c.jpg


Hebu fungukeni maana nataka kulinganisha kama sijapunjwa na mama Ngina..........................LOL

one stomach inabeba zaga zote hzo afu unahisi umepunjwa? Afu umekula jana leo demand iko pale pale...teh! Ukiitwa tumbo pigana!
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom