Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha...

Status
Not open for further replies.
mi huwa sichukulii kuwa natongozwa, huwa naona kama mazungumzo ya kawaida tu. nayaintertain kama yana merit, kama hakuna naachana nayo. kwa kweli kuna wengine huwa hata wanashindwa kuweka kwazi kwa wanataka nini, hao nikiwagundua huwa nawasaidia kuweka wazi halafu tunaendelea na mazungumzo. tusiendekeze madhaifu jamani dada zangu

nimependa namna unavyoyapotezea hayo mazungumzo.
Ni vizuri kweli, unamuona mtu yupo seriouse kabisa ila wewe unachukulia utani tu, mwisho wa siku anachoka mnabaki kuwa friends tu.
 
Hayaa nimemaliza kusoma thread na post zote.

Hii biashara ya Kutongoza/kutongozwa mi sioni ubaya wake, iwepo tu na watongozaji wawe huru kabisa, hakuna kumnyima mtu kutongoza, aidha umenidharau au umeniheshimu, nyie si mmeumbiwa kutongoza bwana.

Uwe mlevi, uwe kichaa, uwe tajiri/maskini, uwe babu, kaka, baba fanya kadiri nafsi yako inavyokutuma.

Ila sasa we si nimekubali uwe na uhuru, unipe na mimi uhuru wa kukujibu lile jibu ninaloona ni sahihi kwako, halafu ulikubali ulifanyie kazi sawasawa.

Kutongoza sio usumbufu, unamsumbua mtu mpaka anatamani kuhama ofisi, mji nk nk. Ni biashara tu ya kuzungumza na kumaliza mara moja. Halafu unalifanyia kazi jibu la mtongozwaji maisha yanaendelea.

Zingatia unayemtongoza ana akili timamu na kile anachokisema anakijua na amepima maelezo yako akaona hilo ndo jibu linakufaa.

Haya malizieni jpili salama.
 
Habari yako binafsi banaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom