Mwanamke SHANGINGI...............

Well I don't refer to any woman as a shangingi, and I don't take my time to ponder about what other people call each other

you cant be out of touch with ur society...
you just need to understand......hivi unajua kuna watu wana define boyfriend ndie buzi....?????
niliona kwenye gazeti wakimzungumzia Chelsea Clinton.....
alipopata boyfriend.gazeti la kibongo limkaandika Chelsea Clinton kapata buzi...
now go figure that....lol
 
hili naona sio shangingi bali ni ngingi ujue iko tofauti ya shangingi na ngingi[/QUOTE]

Hapa ndio unaponiachaga hoi AMIII...
hebu nipeleke darasani mie, haya tofauti zake ni zipi...
Ngoja nikachukue daftari na pen lol....
Kaka Boss fasta muite TF mwambie aache mambo yake aje hapa
 
View attachment 44728View attachment 44730View attachment 44731View attachment 44732View attachment 44733
mashangingi hua wanakua na sura flani ivi tofauti na wadada wa kawaida na tizama yao hua ni tofauti mana hua mara nyingi hua sura zao zimepambwa na zarau sana kwa kua hua wanakua na hela chafu (wanajiweza kwa kila kitu na wao hua ndio humuhudumia mwanamme always)
kingine hua wanauwezo wa kumuuza mtu (kutafutia visichana vidogo wavulana au mapedeshee) ila hua wao ndio wanapokea cha juu zaidi ya mdada waliyemtafutia huyo pedeshee
kingine hua wanakua wanajuana na wahuni wengi mnooo ( wale watu wa madili ya fasta fasta)
hua wote wanakua na magari,nyumba,na kila kitu na hela nyingi sana na wengi hua wanakua ni wajane ama hawakuwahi kuolewa kabisa na kwa wale wajane inatokea waliolewa na tajiri zen jamaa akaukata so mama akamiliki mali zote na badae akageuka jimama anaanza kutafuta dogodogo
NB: 1.KUNA MASHANGINGI AINA MBILI WAKO WALE WANENE NA WAZURI NA MARA NYINGI HUA NI WEUPE MANA WANAJICHUBUA SANA NA WANAKUA NA HELA NYINGI MNOOOOOOOOOO WAO NDIO HUMUHUDUMIA MWANAMUME
2. KUNA WALE WEMBAMBA WAKAWAIDA (VIDADA) HUA WAO HAWANA HELA ILA WANAKUA WAZEE WA MISHENTOWN YANI KUKUINGIZA WW CHAKA NI KAMA ANAKUNYWA MAJI VILE (sio machangu wao ni tofauti na machangu bali hua wanakua na njia ya utafutaji pesa kwa utapeli utapeli tu) ila nao pia wanajichubua sana cjui kwann na kuweka nywele dawa ingawa zinakua hazijakaribia kubana na kuzifanya kuishia hewani zikipeperuka na upepo.........
uzuri ukikutana nao kama unaakili utamgundua haraka sana mana hua ni tofauti sana na wadada wakawaida hata kama amevaa kiheshima na kujidai anaficha utamgundua tu lazima mana ushangingi haufichiki mana hata kicheko chao ni tofauti na cha wadada wa kawaida kabisaaaaaaaaaaaaa

Kwa kuongezea, sauti zao zinakwaruzakwaruza..huwezi kujua ni bass au alto au nini! Hii ni shauri ya kupayuka na kunywa mipombe kutwa na usiku kucha!
 
Ni kawaida katika mazungumzo kusikia watu wakisema..
'nimepata bonge la 'shangingi'
au mke wa fulani 'shangingi la kufa mtu'
au mitaa ya sinza kuna 'mashangingi ya ukwel'....

na hata wanawake utasikia 'wifi yangu fulani 'shangingi' hasa..
na kadhalika...........

sasa hapa nauliza usahihi wa neno shangingi ni upi?
na mwanamke 'shangingi' ni yupi???

je mwanamke mwembamba anaweza kuwa shangingi??????

au mwanamke mfupi ????

mwanamke mpole sana kama mlokole ??????

je wanawake wanene na wenye maumbo makubwa automatically ni mashangingi????

msichana teenager anaweza kuwa shangingi???

ushangingi nini hasa?umbo au tabia?
tabia zipi?????????

je unaweza kusema natafuta shangingi la kufa mtu????lol

au kumwambia mkeo ..nataka uwe shangingi hivi '??????lol

tazama.. mfano wa magari.....magari mashangingi ni ma land cruiser na ma nissan
yote aghali makubwa na yanatumia pesa nyingi ku ya maintain....
huwezi kuita corola shangingi...lol

Na je kuna uhusiano gani na Toyota VX au GX?
 
Shangingi ni kama yale magari, mashangingi, linaweza kukustaresha kwa gharama kubwa. Mlalahoi mashangingi hayawezi.

kwa hiyo mashangingi yana pesa na probably yapo zaidi masaki na mbezi kuliko buguruni na tandika sawa??
 
Je kila changudoa ni shangingi?
Maana hata wao wanauza na kujipamba

Changudoa ( samaki wadogo lakini watamu) ni smaller version ya shangingi.Hawa hawajanona kama mashangingi, hata muonekano wao ni tofauti.Viwanja vyao navyo ni tofauti kwa maana changu mara nyingi hujitembeza barabarani wakati Shangingi hajizururishi mitaa ya Ohio au Kinondoni makaburini.Common denominator yao ni kuchuna mabuzi! Tofauti zao - maumbo, viwanja na hata uwezo wao wa mambo mengi.

 
Kwa kuongezea, sauti zao zinakwaruzakwaruza..huwezi kujua ni bass au alto au nini! Hii ni shauri ya kupayuka na kunywa mipombe kutwa na usiku kucha!

Hahahaaaa! plus wakitembea lazima uimbwe wimbo wa singida, dodoma, singida, dodoma! Dah nimecheka sana jioni hii
 
Changudoa ( samaki wadogo lakini watamu) ni smaller version ya shangingi.Hawa hawajanona kama mashangingi, hata muonekano wao ni tofauti.Viwanja vyao navyo ni tofauti kwa maana changu mara nyingi hujitembeza barabarani wakati Shangingi hajizururishi mitaa ya Ohio au Kinondoni makaburini.Common denominator yao ni kuchuna mabuzi! Tofauti zao - maumbo, viwanja na hata uwezo wao wa mambo mengi.


ni kama vile unasema ndio hao hao but levels tofauti...
 
Back
Top Bottom