Mwanamke SHANGINGI...............

hujaelewa yaani shangingi ni kama lichangudoa sema linakuwa lipo advanced kidogo.so mke hawezi kuwa shangingi

Kwa mumewe sawa....lakinia anweza kuwa shangingi kwa mwanaume mwingine akiwa na ndoa yake vilevile.....au alikuwa shangingi wa huyo mume kabla ya kuolewa
 
wapo unakuta kaolewa,ana pesa na kazi nzuri
but still unasikia ahh yule fulani ni bonge la shangingi.....lol
kwani waliolewa wote wako sawa
hebu chukua picha zao? Lipstick moja inaisha siku moja.weaving unakuta lina marangiii? Shangingi acha tu?
 
naomba kuongeza hapa, magold yenyewe utakuta makubwa makubwa, na mengi yanakuwa sio real gold, wengi wanakuwa starehe kwa sanaa, kazi hapana.

kuvaa ma gold makubwa????
Mchungaji Rwakatare ni shangingi????????
 
kwa kawaida ukimuita mwanamke m.a.l.a.y.a...anakasirika na ni ugomvi
lakini kuna wanawake ukisema 'we ni bonge la shangingi hawakasiriki....mostly inahusu umbo...
ndo maana nikakuambia ni haohao sema shangingi yupo more advanced.yaani maudhui yake hayachomi kiviiiile
 
wapo unakuta kaolewa,ana pesa na kazi nzuri
but still unasikia ahh yule fulani ni bonge la shangingi.....lol

mashangingi hayajaolewa,na wala ushangingi sio sifa nzuri,shangingi ni yale mamama/madada linakwenda bar huko huko linapata buzi halirudi home,yaani kwa kifupi ni mamalaya,hayaoni aibu kuongea matusi,ila kuna wanawake wengine wameolewa lakini wana behave kishangingi.Kuwa na pesa ni kweli,ila mashangingi mengi kama yanajishughulisha basi ni biashara nyingi dizaidi ya kwenda dubai china za kukopesha kupesha hivi ila wengi wao wanaishi kwa kutegemea wanaume.
 
Mkuu Boss pia ipo lugha ya namna hii "aka nako kashangigi tu"....
Mara ya kwanza nilidhani ni umbo tu na tabia za kimalaya zilizokubuu kwa mamama majitu mazima.....
Ila sasa hata hivi vifungu shilingi vya mtaani navyo vinaitana mashangingi.....
So, imekaa kitabia zaidi mkuu kwa uzoefu wa mtaani.
 
mashangingi hayajaolewa,na wala ushangingi sio sifa nzuri,shangingi ni yale mamama/madada linakwenda bar huko huko linapata buzi halirudi home,yaani kwa kifupi ni mamalaya,hayaoni aibu kuongea matusi,ila kuna wanawake wengine wameolewa lakini wana behave kishangingi.kuwa na pesa ni kweli,ila mashangingi mengi kama yanajishughulisha basi ni biashara nyingi dizaidi ya kwenda dubai china za kukopesha kupesha hivi ila wengi wao wanaishi kwa kutegemea wanaume.
ni kweli kabisa.yaani kuna hapa anaplay part chache za ushangingi kwa sababu ya ndoa
 
Shanganga Ngalula,Ngalula
Ananielewa vizuri,
Kuliko mtu yeyote,
Shida na raha zangu Ngalula,anazielewa
Kuliko mtu yeyote Mamaa aah


Ngalula alikuwa ni 'phenomenon' ya mwanamke wa kimanyema aliyeishi magomeni....watu tulikuwa tukitoka kazini shurti upite magomeni (Cancun BAR)
 
kuvaa ma gold makubwa????
Mchungaji Rwakatare ni shangingi????????

kuvaa magold mengi mengi ni moja ya sifa ya ushangingi lakini haimfanyi mtu anayevaa magold mengi mengi makubwa kuwa ni shangingi.makange yanapikwa na maharage lakini sio kipikwacho naharage ni makande lol
 
nimeona kichwa cha habari,ila nimechelewa kusoma kilichomo ndani,sijapata wakuniambia ananitafutia nini,sikimbii nitapambana kikike hadi mwisho lol.
umekula vitu vyake kibao ukiwa na shida ya elfu 50 anakutumia 5000000 ila kumbe una mtu tena u mjamzito unamchunia roho inamuuma hali wala halali kwa ajili yako.na ulimuahidi mtafunga ndoa
 
Back
Top Bottom