Ni kweli kbs,Hapo kwenye RED ndio nataka watu wapatambue, hakuna haki isiyo na wajibu
Cha msingi ni kuwa makin na kauli zetu hata tunapopata hasira ni bora kunyamaza na kuyaongea badae hasira zikipoa na kuwahi kutatua matatizo mapema kabla hayajafikia stage mbaya na kupeana majaribu ya hasira na kudundana au kufukuzana.
Ni kweli kbs,
Kwan km binadamu naweza mkwaza labda tu kwa kujua hata nipiga na kumbe siku hiyo nimemfikisha pabaya naye km binadamu anaweza pata hasira na kujikuta anafanya jambo ambalo hakukusudia nikajikuta nadundwa na kuanza kumlaumu kumbe mie ndio sababu,
Cha msingi ni kuwa makin na kauli zetu hata tunapopata hasira ni bora kunyamaza na kuyaongea badae hasira zikipoa na kuwahi kutatua matatizo mapema kabla hayajafikia stage mbaya na kupeana majaribu ya hasira na kudundana au kufukuzana.
The thing is, some women know how to push your buttons. They will goad you beyond endurance until you do something crazy and then they play victim.
We shouldn't give these type of women a free pass. Sometimes they get what they look for.
Simply hapigwi mtu hapa
Here we go girl, waeleze wenzako waelewe maana wao wanakuja na perception moja tu, eti mi sitaki nipigwe, kama hutaki kupigwa usisababishe upigwe.
We jidanganye tu
Thanks NN!Sagacious words!
Whatever the case is....you have no damn right to lay a finger on a woman. Ni lazima mtu acontrol hasira zake in whatever situation thats what makes us civilised otherwise hakuna tofauti na wanyama.
Simply hapigwi mtu hapa
Whatever the case is....you have no damn right to lay a finger on a woman. Ni lazima mtu acontrol hasira zake in whatever situation thats what makes us civilised otherwise hakuna tofauti na wanyama.
Fine, no one has a right to put their hands on anyone.
But, along the same vein, we all have our breaking points and no one has the right to push anyone beyond what they can put up with.
We all have to curb our emotions.

hivi wewe mkeo akuambie mbele za mashosti wake nyoooo mwanaume uwe wewe?? usioweza shughuli.....aaah aiseee unategemea nini hapo???? nimpige na kitenge kama msemavyo?
Km sitaki kupigwa basi nitahakikisha simsababishi mtu anipige,Here we go girl, waeleze wenzako waelewe maana wao wanakuja na perception moja tu, eti mi sitaki nipigwe, kama hutaki kupigwa usisababishe upigwe.
Duuh Wanaume wa kitz yaani fikra zenu nyie, kwahiyo kupigwa mwanamke ni sawa kabisa. Kama nikuabuse emetional, then do the same to me or just find other solution.
I can not see or think of any reason ya kupigwa in any relationship
Hapo pagumu kwa sababu kuna wengine wanakwambia breaking points zao zipo karibu. Yaani umekosea siku ya kwanza tu ukatoa neno moja tu la kuudhi, yeye keshafika breaking point, unachezea kichapo
Kila mtu ajitahidi kwa upande wake