Mwanamke ni lazima ajue kupika?

Swala Hili Linagusa Machaguo Ya Watu...Kwa Wengne Ni Muhimu...Wengne Muhimu Kwao Mwanamke Awe Na " Chura" " Mauno" " Usafi" N.k..Binafs Sio Muhimu Sanaa Kwani Ni Jambo Linalofundishika...Japo Kikawaida Mwanamke Anapaswa Kufahamu Kupika...Ila Kma Hafahamu, Sio Mbaya Sanaa.
 
Kuna umuhimu wa kujua aisee
 
Back
Top Bottom