Mwanamke ni lazima ajue kupika?

MTU mzima yeyote anapaswa kujua kupika. kumbe utaishije!!! au utakaa kwa mama mpaka lini?

mwanaume asiyejua kupika ni MZIGO and not a father figure.
 
Mwanamke kupika nini? chakula hiki hiki au fasihi imetumika hapa ili mtoa mada asionekane amenena vibaya akapigwa ban
 
Kwangu mimi umhimu wa mwanamke kujua kupika jikoni na chumbani ndo Cv na 1.
 
Back
Top Bottom