Mwanamke ni kama pasi!

Yaani wewe huishi vituko..
Haya hili jiko la mchina ndio likoje sasa
Manake kuliwasha kwenyewe tu kasheshe..na ukicheza likulipukie kabisa..
Yaani lina makorokoro
Kabla ya kuliwasha kuna vile vidude vya kupanga kwanza
Lazima ucheki tambi kama ziko sawa
Mafuta yawe level
Kiberiti kiwepo

Afu si unajua jiko la mchina halifai kwa kande eeh?

Mlipuko ni muda wowote bora hata la gas..........

Ukizubaa linakulipukia na kukufanya wewe pasi
 
nimeipenda hii makitu..imekua ikiongelewa sana hapa ila umeipa mtizamo tofauti..nahii imetokana na ukweli kuwa ur talking from ur own experience........kwa kweli wanawake wanapenda tenderness........umdekeze,umchekeleshe,umnunulie vizawadi nk.........kikubwa zaidi kunako bed uwe msikivu..wanaume wengi ni wababe...ukiona mwanamke katoka nje ya ndoa au uhusiano kafata DUDU inayojua kufanya kazi yake...personally am lucky in that area...lol.!!
 
Hapo kwenye kucheki kama tambi ziko sawa nimekusoma vizuri..wakati mwingine inabdi kuzivuta!
Ila umesahau lazima ulitikise kujua kama mafuta yako level..
Ila mwanzoni unapoliwasha linakuwa na moshi sema likokelea moto..linakaa level..ryte??

Yaani lina makorokoro
Kabla ya kuliwasha kuna vile vidude vya kupanga kwanza
Lazima ucheki tambi kama ziko sawa
Mafuta yawe level
Kiberiti kiwepo

Afu si unajua jiko la mchina halifai kwa kande eeh?
 
To much biology if not science!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Somo zuri sana hilo. Wanaume wangelielewa ndoa zingekuwa tamu sana!!! Tendo la ndoa la kukua achana nalo!!!! Matayarisho ya muda mrefu ni muhimu sana. Inashauriwa ukitoka nyumbani asubuni mpe mke busu mwambie, honey jioni ninataka tupeane raha. Na ukiwa kazini siku hizi mobile phone tuma sms za kukazia maarifa na ukirudii tu home huna haja ya kutuma mawese kuwasha moto maana moto unakuwa umeshajiwasha mwenyewe. Naye anakuwa amejiandaa kama anafanya kazi atarudi mapema, atajiweka kingono maana mkeo ndiyo changudoa wako haswa!!! Acha kutumia simu ku-flirt na viruka njia, tumia kudumisha ndoa yako. Mwanamke anahitaji sana mabadilko kisaikolojia kwenye tendo la ndoa.
 
Mwanamke huwa kama pasi huchelewa kupata joto na hutunza joto kwa muda zaidi hata baada ya kumaliza kupiga pasi.Inatoke mwanaume anafika nyumbani kutoka kazini anamkuta mke naye yupo nyumbani anamsalimia then anaenda zake chumbani kubadilisha nguo za kazini.
Anapata chakula cha usiku (Dinner) then anaanza kutazama TV au kupitia magazeti yake na kuyasoma.
Muda wa kulala umefika anaenda kuoga na kuvaa pajama zake; mke naye anaenda kuoga na kufanya sawa na mume.
Wanapanda kitandani, mume anampapasa mke, mke naya anajua mzee anataka maana ndiyo sex code yake akinigusa kwa mtindo huu maana yake anataka tuwe mwili mmoja na anajisikia kama kusumbuliwa maana alikuwa hajui kama mzee atataka kutokana na kutowasiliana hata hivyo anamkubalia.
... Baada ya dakika chache wamemaliza, wapo kimya na mzee anapiga usingizi.
Mke anajiona kama ametumiwa tu kwani hakukuwa na raha yoyote ni kuumizwa tu kwani mwili haukuwa connected hisia.
Kuna tofauti gani na chura hapa?
Kuwa na mahusiano na kimapenzi kwa mtindo huu ni sawa na kuiba akili ya asili ya chura (Frog’s love making instinct)
Mwanaume ni rahisi kusisimka kimapenzi wakati mwanamke huhitaji kusisimuliwa. Mwanaume husisimuliwa na moja ya mlango wake wa fahamu kupitia kuona (sight) wakati nwanamke husisimuliwa kupitia milango yote mitano ya fahamu Kuguswa, kusikia, kuona, kuonja, kunusa na wororo (tenderness) wa mwanaume.
Mwanaume ni mfano wa bulb ya umeme uki-switch tu mara moja inawaka wakati mwanamke ni mfano wa pasi ya umeme ambayo huchukua muda hadi ipate joto na hutumia muda zaidi to cool off.
Hii ni muhimu sana ukitaka kuwa mpenzi mzuri na mpenzi mzuri hujua na kuzingatia jinsi ya kumridhisha mwenzake.
Mwanamke anaongozwa na highway ya emotions, atajisikia vizuri sana kama alikuwa na idea kwamba kutakuwa na kuwasha pasi yake ya umeme mapema.
Itakuwaje kama wakati wa kuondoka asubuhi mume akampa mke busu la uhakika na kumnong’oneza mkewe kwamba “vipi unaonaje leo usiku ukawasha pasi mapema kwani nina hamu sana kupiga pasi nguo kwani naona bulbu yangu ina mwanga wa uhakika leo".
Nahisi mke atashinda anaweza jinsi ya kuhakikisha pasi yake inawaka chapchap usiku na ikitokea na mchana akaambiwa neon linguine mwororo inaweza kuwa jioni yenye mwako wa mahaba.
Kwa mawasiliano mazuri na kupeana quality time mwanamke huweza kufunguka kiakili, kimwili na kiroho na kuwa tayari kwa usiku wa kufurahisha na kuridhishana.
Ndiyo maana wakati mwingine ukipapasa usiku unaambiwa “baba nanii leo kichwa kinaniuma sana” au “nimechoka sana” au “unapata zero participation na kuambiwa maliza haraka” au pasi inakuwa kavu kabisa matokeo yake ni pasi inagoma kuwaka na kuanza kuumizana.
Jifunze kuwa mwanaume mwororo (tenderness) wasiliana na mke, tafuta muda wa kumsikiliza, cheka naye, cheza naye, ongea naye, mpe mgusu (touch), mkumbatie na kumbusu hata kama si wakati wa sex ni wako na ni wewe uliamua kuishi naye.
Mwanaume humtengeneza mwanamake!


Asante Professor Kimbweka...
 
So hizo pasi na balbu zinatumia umeme gani eti

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Huo huo wa Tanesco na mgao. Lol.

Ila jamaa amewapa somo zuri wanaume. SI kulalamika tu..mke wangu hataki ...kumbe hatakishwi.


So hizo pasi na balbu zinatumia umeme gani eti

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom