Mwanamke najiamini kwa avatar ya ukweli

Status
Not open for further replies.
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........

"KAMA" Tabia yako ni nzuri kama sura yako basi hongera sana bi Radhia maana umependeza
 
Halafu eti wanawake tunalilia haki sawa na wanaume. Haki sawa itatoka wapi kama sisi wenyewe hatupendani? Mtu kama ni mzuri basi nipeni haki yangu.
 
huyu dada ni mzuri kwa kweli amenitamanisha sana, but anakosolewa sababu mmemuona kama yupo arrogant!
 
Halafu eti wanawake tunalilia haki sawa na wanaume. Haki sawa itatoka wapi kama sisi wenyewe hatupendani? Mtu kama ni mzuri basi nipeni haki yangu.
hatuwezi kukudanganya ungekuwa mzuri tungekuambia mbona simple.wewe sio mzuri sasa tusemeje zaidi?
 
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........

kibaya chajitangaza, kizuri chajiuza
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom