Mwanamke mwenye mwanya! (udhaifu wangu ktk mapenzi)

Hallow akina dadas and kakas, naamini mpenzi/mke/mme ulienae kuna vitu anuai vilikuvutia sana.
Mie binafsi nina mke na mtoto na nawapenda sana. Mke wangu nilivutiwa na mwanya wake maana ndo kilikuwa kitu muhimu sana kwangu kabla ya yote, why?
1. Huwa wanatabasamu mda wote akinuna utajua
2. Huwa wana heshima sana ktk mahusiano
3. Ni wacheshi sana na wanapenda kujichanganya
4. Huwa ni wasafi sana asikwambie mtu.
5. Wana huruma sana.
6. Wana mapenzi ya dhati.
Je ulisha wahi fanya utafiti wao.
Kama hujaoa usifanye kosa tafuta mke mwenye mwanya

we sema umejisikia kumsifiA mkeo hapa jf na huenda ni member. Tabia ya mtu na mwanya wapi na wapi?
 
M mkewangu anamapengo nimuweke kundi 1 na huyo wako, mkaribishe usim banie bana.
 
Hahahahahaha inaelekea anatafuta sababu ndogo ya kuwasifia watu. Which is good I guess. Haina tofauti sana na ile wasichana wa kabila fulani ...

Hhmm..hmmm..mmmh!!
Nyw njoo bana kabla sijasinzia...nimechoka balaa!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom