Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

just before climaxing,switch you thoughts to the legendary taarab singer,BI KIDUDE

kwi kwiiiiii kwiii tiiihh ti teheee hee
icon10.gif
 
Nashukuru kujua kuna shangazi wa kiume. Najua kazi ya super glue au unafikiri sijui maumbile ya wanaume yakoke na superglue iwekwe wapi? Ya mume wangu nilijaribu
eeh ilikuwaje shangazi ulipojaribu?
 
wadau, style gani inaweza kumsaidia mwanaume asifike kileleni haraka?

Utamu wa mavi2z a.k.a Mso ni mapishi, na raha ya utam ni mapishhhhh au sio.....
na mlo ukizidi sana, shurt kuvimbiwaaaaa.....
kwani wataka ligi weye?!!! Au mchubuko.....!!!! Jiache uvinjari starehe...ukiona wakaribia kituoni sinzia upitirize then razma utakuwa na haja ya kurudi to ur orijino destination....

Ila mambo hay ni kujiachia ili kupata pleasure, soma soma pia vijarida vya mav2z vitakusaidia..ingia pia gogle search hitajilo kila kitu kinakuwa detaild.....
Otherwise, tutaftane nikupe mifano asilia...
teh...teh....teeeeee......

Aguido Danda
 
Hehehehhehehe wakwetu umenifanya mbavu zangu ziishiwe nguvu
 
Mbonea,
Here are 2 options: 1. Don't enjaculate inside the vagina 2.Before you enjaculate withdraw your penis and press the head of the penis. By doing so, you will stay and play longer.

Remember feedback is important.
 
wakati mpo kwenye shuguli, wewe anza kuzungumzia/kumnongoneza kuhusu ex wako!!
Nimewahi kusikia pia kuwa bangi na whisky zinafanya wanaume wasije haraka!!
sina uhakika na style!!
 
Hapa madhara yatakuwa makubwa lazima itapata usingizi tu!
 
style nzuri ni kufanya taratibu au unapokaribia kumwa......unatoa kisha unaendelea taratibu,pia kumfirikia mpenzi wa zamani is good idea,little white wine.masturbation kabla ya kusex nayoinasaidia
 
Unapokuwa shughulini...usiibane miguu yako....Jaribu kuipanua kidogo...hutokuja haraka...infact...utatoa adhabu ya muda mrefu....lol
 
mimi nafikiri ni kujipoteza kimawazo au kuna zoezi la kubana mkojo usije, mfano jaribu kuba huu mkojo wa kawaida ukitaka kutoka wewe bana ukiweza hili zoezi umefauli mtihani wako
 
Back
Top Bottom