Mwanamke mvumilivu hula mbivu

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
All a Man needs is a patient woman to stick by and watch his dreams fall into place and to quit nagging. Do you think she knew he would become the US president at this time? I don’t think so, but she stuck with him and his VW beetle anyway.

download
 
All a Man needs is a patient woman to stick by and watch his dreams fall into place and to quit nagging. Do you think she knewhe would become the US president at this time? I don’t think so, but she stuck with him and his VW beetle anyway.

download
inategemea unavulia katika nini.uvumilivu mwingine unaweza kusababisha kula vilivyooza ati!
mwanaume mwenye mipango mizuri ya maisha huonekana tangu awali na hapo mwanamke anaweza kuvumilia kama anajua kuna neema mbeleni.ila kuvumilia tu ovyo hovyo hasa kwenye mapenzi yanayoumiza wala sio issue ati

wanawake acheni kuvumilia inabidi wanaume ndio waanze kutuvumilia sasa.
 
Uvumilivu ni somo gumu na pana, na uvumilivu mara nyingi ni pale panapo maslahi, vinginevyo uvumilivu inakuwa ni zero:nono:
 
Uvumilivu ni somo gumu na pana, na uvumilivu mara nyingi ni pale panapo maslahi, vinginevyo uvumilivu inakuwa ni zero:nono:[/Q

ni kweli mkuu kwani uvumilivu wa sasa unategemeana na maslahi zaidi la sivyo kwa wanawake wa sasa ni vigumu sana kuvumilia ktk maisha ambayo yanaonekana hayana mwelekeo
ila inakuwaje hawa kinamama wa zamani waliweza kuvumilia hata kama maisha yalikuwa magumu?
 
All a Man needs is a patient woman to stick by and watch his dreams fall into place and to quit nagging. Do you think she knewhe would become the US president at this time? I don't think so, but she stuck with him and his VW beetle anyway.

What is your point...............wanaume hata tukivumilia hatuwezi kula mbivu?...........................The subject sounds very hollow and gender insensitive........
 
Back
Top Bottom