Mwanamke mshamba....!?

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
1,535
408
Jamaa kaoa mke mshamba asiyejua uume wala mapenzi. Usiku wa ndoa mke akamuuliza mume, hiki nini? Bwana akajibu yaitwa popoo, jamaa akaongezea ninayo mimi tu hapa duniani.

Siku moja jamaa akasafiri, kurudi mke akamuuliza mbona jirani yetu Noel naye anayo popoo wakati ulisema unayo wewe tu?

Jamaa akajua Noel kishatembea na mkewe, kujibaraguza jamaa akajibu nilikuwa nazo mbili, nikampa Noel moja.

Mke akahamaki na kusema, iweje umpe Noel kubwa, nzuri na tamu ubaki na kipande tu nenda kachukue hiyo umpe yako ...!!!.

Kama hutaki, mie nahamia kwake....!
 
eeeeh hii inamanisha wanapenda kubwa,lol! safii
 
bih bih bih arusha unaitwa mshedede huo
tena wa kuchorongea manta
 
bih bih bih arusha unaitwa mshedede huo
tena wa kuchorongea manta

Hahahahaaa Mshedede. Umenikumbusha kale ka style pale Arusha watu wanafunga vindevu na wanavipaka sijui KIWI? Jamaa alikuwa akiona anasema sasa subiri uone Mshedede wake, nao umepakwa kiwi, unang'aa!!
 
hapo imetulia kwa staili hiyo ukipata washamba kiivyo kila ukiibiwa lazima utajua kiulainiiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom