mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe-mith 14

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,900
21,991
Ndoa ni kila mmoja anavyoishi
leo naomba niwapashe mabinti dada zangu wanwake wengi waanaharibu nyumba zao wenyewe
biblia inasema hivyo sasa leo tukielekea jumapili yawezekana umekuwa chanzo cha fujo na kutokuwa
na amani nyumbani kwako aiitaji kwenda kwa kalumanzira hekima yako na ufahamu wakao ndio utakaopeleka ndoa unapoataka wewe kuwepo unapotaka

ukiendelea kusoma huo mstari unasema mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake
so uitaji cement ya simba waala twiga kujenga ndoa yako wewe mwenyewe kwa akili yako ndio
unaweza kuishi kwa amani kama unaitaji kitu cha maana aijalishi una fedha mna magorofa
nawahakikishia fwata yafuatayo

1.mjue mungu
hili ndilo somo muhimu kuliko yoteeeee lia na sala aijalishi ni malaya kiasi gani
soma biblia nganagana na mungu nakuhakikishia huyo mwanaume aijalishi ana nyumba mia atakuja kwako
kuwa mpenzi wa kusoma biblia sio mpaka ukutane na mwanaume karudi kanuna unyumba garama kama tanzanite ya barrick sitaki kusema mengi sikuja kufunda mwanamke anafundwa chumbani kama unaniitaji ni pm samahani mkono wa ngu una tbs akili ni nywele kila mtu ana zake kubali utake huyo ulienae ndie handsome wako aijalishi unaridhishwa na fedha mali huyo ndio handsome wako mwaya

usafi
wengi wanashindwa kuishi na amani pengine unakuta mwanamke anakuwa amejisahau ama anashindwa kujua wajibu wake,,,,jitahdi kuwa msafi wa nje hata wa ndani utakuwa muruwaaaaaaa na mumeo akija anafutahi
akikisha umeamka asbj mapema weka mazingira safi sio mumeo anaamka anakuta nje kuchafu una wafanyakazi wawili wanalipwa jamani aku nasema tunavumilia lakini ikitufika hoi

kuwa msafi wa roho usafi sio lazima ufue chup kila siku jitahdi kuhakikisha unajua kusamehe nakwambia msmaha kwenye ndoa usafi muhimu sana saana nakwambia mnaweza fikiria utani lakini madhara yake makubwa kuna familia mzee akirudi mama kanuna akiamka mama kanuna mwisho akaanza kuamka asbh saa kuminamoja na nusu anakimbilia kinondoni kwa nyumba ndoo ikifika saa mbili anaingia ofisini safi mwepesiiii akirudi kazini we unajua aku mume katka kazini majuzikafariki mzee ana watoto wa nne nje tena wadogo zaidi ya mke wa ndoa so habari ndio hiyo usafi jamani usafi w amoyo usafi wa mdomo siitaji kusema sana topic ya mdomo ina muda wake

mwisho nawatakia jumapili njema
 
Somo ni zuri. Lakini uandishi,mmmhhh!!! Kama cherehani vile. Skuli yako vituo na sentensi havikuwa kwenye silabasi?
 
Hivi nyie wanaume huwa mnafundishana nini? Manake muda mwingi sana mwamtazama mtoto wa kike tu? Haina haja ya kurudia rudia somo lile lile, embu wafundisheni na wanaume wenzenu! Wengine hata kufua chupi hawajui, yaani ikitokea mke akasafiri......huo uvundo atakaoukuta siku ya kurudi.........mmh mwayajua wenyewe aiseee!!!
 
Back
Top Bottom