Mwanamke mpumbavu huaribu nyumba yake mwenyewe!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Kuna familia nyingi zinateseka sababu ya ****** na kukosa ufahamu
sisemi wewe ila ni wakati murwaa kufundishanaa na kukumbushana
maana kuna kazi lazima kilabaada ya miezi kadhaa uwe na refresher
vile vile ni muhimu kufanyiana refresher ya ndoa mkiona sehemu imeanza
kuchuja

ukisoma mithali utaona mwanamke mjinga huaribu nyumba yake mwenyewe
kuna wanawake wakiolewa wakiona ndugu za mwanaume gafla wanaanza kukasirika
kama wamelogwa..we unamkasirikia shemeji yako ama wifi yako unaajua mumeo katokea
wapi pengine hivyo vijisent ulivyokuwa ukidanganywa na mumeo alikuwa akilamba kwa
hao hao...

Utoto mwingine unakuta ndugu amefungua friji kachukua soda moja unakasirika kama
katembea na mumeo jamani..wewe unaweka soda unafikiri zisiponywewa na wageni nani
anywe soda zinatakiwa zinywe ili zinunuliwe nyingine uso unavimba kama umemwagiwa
maji ya uwanja wa taifa

na nyie wanaume msiwe wajinga baibo iko wazi ishini na wake zenu kwa akili..mkeo kakuudhi
kidogo tu unakimbilia nyumba ndogo we nani kakudanganya nyumba ndogo zinakujenga kwenye
kuimarisha kubwa...embu tuishi kwa akili aliposema hivyo anajua wanawake wana weakness sehemu
so ni muhimu ukiingia kwenye hii ngo ya ndoa tafadhali ujue umeingia kwenye mapambano yasiyo
na refariiiiii:ukininunia imba kwetu pazuri ondoa mawazo nasema we anza kupractise utaona

jumatatu njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom