Mwanamke mjamzito

Gryphn

Member
Dec 10, 2011
13
0
Tatizo la kupumua kwa shida kwa mwanamke mjamzto lasababishwa na nn na moyo kumuenda taratibu
 
pole sana, kupumua kwa shida hutokea when the abdomen grows big, pushing the diaphragm up, then kunakuwa na small area for respiration. Moyo kwenda taratibu, kawaida mapigo ya moyo hutakiwa kuwa 60-100/minute. Nakushauri fika hospitali, watapima heart rate, na kusikiliza kifua kama kuna anything inayosababisha kupumua kwa shida.
 
of course true follow it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom