Mwanamke miaka 40-60.

Tatizo ameweka tangazo tuu shaloo halafu mtu akikubeza we unajali nini?we uko cjui wapi huko hutegemei wala hutokaa uonanae na aliyekubeza why are stressing youself baby?watu wana stress wanazipunguzia hapa me mwenyewe najipanga kuleta tangazo langu litakavyokuwa yani nimeshaanza kufigure out majibu huku nacheka japo nitakuwa serious
 
kaka mimi mtoa mada nilimuelewa sana kwa nini alipost kwa ufupi vile. tatizo sisi wana jamvi tumekuwa na tabia ambayo sio nzuri, kila mtu akileta hoja yake ya kutaka kile anachoamini kitamliwaza kazi yetu sisi ni kumbeza tu, mi nilidhani ushauri wa maana ndio ungesaidia badala ya kuaibishana tu pale mtu anapoeleza hisia zake, kwa kweli mtanisamehe lakini sifurahishwi na mambo hayo. ndio maana jamaa yetu akasema tu 40-60 mwanamke, hiyo kwa mimi nilielewa anachomaanisha na aliepuka hayo matusi na kejeli!!!!

Tafadhal huyu c kaka ni dada!
 
Eeeh... Afadhali na sie wabibi tumekuwa considered this time.. Ngoja nikatafute mpalo wa kujilipua siku nitakayoonana na mtoa tangazo ili niweze kushinda..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom