Mwanamke miaka 40-60.

shuga mami linatafutwa,nenda kwingine...JF hatufagilii upuuzi...:frusty::frusty:
 
Jamani domo zege maradhi pia

Domo laweza kuwa zege madam, na keyboard nayo zege?

Hivi wewe ukutane tu na bango, MWANAUME MIAKA 60 - 100 utapata fikra gani?
Hana nguvu za kiume? anatakiwa awe mshenga? Kapotea? Au uelewe vipi?

Huyu ni Zege Sapiens
 
jamani kwanini sisi wana jf tunakosa busara? nafikiri tulipaswa kwenda na mtoa mada taratibu.Jamani waweza kukuta ni mjane wa kiume anatafuta mtu wa kumliwaza ama ni divorcee kwanini?

to me sipendi kuwa mnafiki ila kweli busara kwa leo zimetupungukia. hivi kama mngeanza kumtafutia maswali amzuri abayo yangewapeni lead kuwa kwanini anataka mtu wa umri huo.

ndugu ynagu mtoa mada nitakuchek kwenye pm.
 
tatizo lenu wana jamvi ukurasa huu umekuwa ni kama komedi kwani kila mtu akiweka status yake ya kutaka mchumba, mume, mke au sugarmommy au sugardaddy, comments zenu si za kujenga bali ni kubeza, kitu ambacho sio kizuri. labda mnieleze kuwa madhumuni ya ukurasa huu ni kuchorana! naamini wote tumeelimika na kila mtu aheshimu matakwa ya mwenzake. i stand to be corrected wadau!!!!!!!
 
jamani kwanini sisi wana jf tunakosa busara? nafikiri tulipaswa kwenda na mtoa mada taratibu.Jamani waweza kukuta ni mjane wa kiume anatafuta mtu wa kumliwaza ama ni divorcee kwanini?

to me sipendi kuwa mnafiki ila kweli busara kwa leo zimetupungukia. hivi kama mngeanza kumtafutia maswali amzuri abayo yangewapeni lead kuwa kwanini anataka mtu wa umri huo.

ndugu ynagu mtoa mada nitakuchek kwenye pm.

kaka mimi mtoa mada nilimuelewa sana kwa nini alipost kwa ufupi vile. tatizo sisi wana jamvi tumekuwa na tabia ambayo sio nzuri, kila mtu akileta hoja yake ya kutaka kile anachoamini kitamliwaza kazi yetu sisi ni kumbeza tu, mi nilidhani ushauri wa maana ndio ungesaidia badala ya kuaibishana tu pale mtu anapoeleza hisia zake, kwa kweli mtanisamehe lakini sifurahishwi na mambo hayo. ndio maana jamaa yetu akasema tu 40-60 mwanamke, hiyo kwa mimi nilielewa anachomaanisha na aliepuka hayo matusi na kejeli!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom