Mwanamke mbaya kuliko wote baada ya eva,yezebeli, duniani ni spika wenu ""anna makinda""

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Kama kuna kiongozi mbaya kuliko wote kwenye nchi hii baada ya eva aliemdanganya adam,,mfalme yezebeli basi anaemfwata ni spika anna makinda
kama umemsikia leo huyu mama akikataa hoja ya kujadili kuhusu ma dk aliongea kana kwamba familia yake yote imeandikwa kupelekwa appolo wanapoumwa

mama huyu nilisikia kama kinyaa pale alipoanza kujibu kana kwamba anataka wote wagonjwa wamfwate mama yake alipo si uungwana kabisa we mama kama unajua hili njooo huku hospital muhimbili uone jinsi watu wanvyoteseka na kufaaaaa

samahani kukuita hivi naamini kama eva asingetangulia kumdanganya adamu basi wewew ungekuwa mwanamke mbaya kuliko wote duniani kabla ya eva
 
Inuse kabisa kama mama yake angekuwa amelazwa muhimbili leo hii huyu mama asiingeongea alichoongea leo
nadhani ana matatzo makubwa tuu...nahisi amezoea hali ya misiba ndio maana haoni jipya mnapopiga kelele za watu wanakufa mahospitalini leo bugando wamefunga na kutoa tangazo kama sio ni nini
 
Kama kuna kiongozi mbaya kuliko wote kwenye nchi hii baada ya eva aliemdanganya adam,,mfalme yezebeli basi anaemfwata ni spika anna makinda
kama umemsikia leo huyu mama akikataa hoja ya kujadili kuhusu ma dk aliongea kana kwamba familia yake yote imeandikwa kupelekwa appolo wanapoumwa

mama huyu nilisikia kama kinyaa pale alipoanza kujibu kana kwamba anataka wote wagonjwa wamfwate mama yake alipo si uungwana kabisa we mama kama unajua hili njooo huku hospital muhimbili uone jinsi watu wanvyoteseka na kufaaaaa

samahani kukuita hivi naamini kama eva asingetangulia kumdanganya adamu basi wewew ungekuwa mwanamke mbaya kuliko wote duniani kabla ya eva

Pdidy use any words, Spika was right to say that!

kuwa bungeni wangeongea na kusema yote ya moyoni...lakini kamati iko kazini na italeta data zote ndipo ijadiliwe! maazimio ya bunge hayatakiwi kukinzana, la alitakiwa kuvunja kamati na kuwaota waje....lakini majibu ya maswali na what happened mpaka mgomo umekuwa hivi, nani angejibu??

ukipoteza dk 1, moja tu, kufikiri utaona logic yake!

BTW uliposikia kinyaa ulitapika??
 
kama umemsikiliza mh zambi vizuri yeye alikuwa anataka serikal watamke wao wanawaza nn,mbona wako kimya!!
 
pdidy use any words, spika was right to say that!

Kuwa bungeni wangeongea na kusema yote ya moyoni...lakini kamati iko kazini na italeta data zote ndipo ijadiliwe! Maazimio ya bunge hayatakiwi kukinzana, la alitakiwa kuvunja kamati na kuwaota waje....lakini majibu ya maswali na what happened mpaka mgomo umekuwa hivi, nani angejibu??

Ukipoteza dk 1, moja tu, kufikiri utaona logic yake!

Btw uliposikia kinyaa ulitapika??

waberoya kamati/tume ngapi zimeleta majibu muda muafaka tangu uone mwanaga wa jua mpaka ulipoaamua kuchana ile ganda letu..we sema tu..je watanzania waache kujadili afya za watu wakimbilie kujadili umeme wa tanesco..wakimbilie kujadili katiba mpya na wengine walitoka kabisa nje sijui leo wako wapi mungu wangu

nimejiuliza
hivi mungu aliemruhusu huyu mama kuwa spika na kumwacha yule baba mh sitta alitokea wapiiiiiii
najiuliza mara mbilimbilikama huyu maam nimkristo wakweliama lahhhhhhh
 
Mwanamke hafai uongozi mapungufu hayo tunayaona kwa hili limoja kubwa na ni bora naibu wake angekuwepo leo.
 
Pdidy use any words, Spika was right to say that!

kuwa bungeni wangeongea na kusema yote ya moyoni...lakini kamati iko kazini na italeta data zote ndipo ijadiliwe! maazimio ya bunge hayatakiwi kukinzana, la alitakiwa kuvunja kamati na kuwaota waje....lakini majibu ya maswali na what happened mpaka mgomo umekuwa hivi, nani angejibu??

ukipoteza dk 1, moja tu, kufikiri utaona logic yake!

BTW uliposikia kinyaa ulitapika??

You missed the whole Zambi's point... state of emergency haina taratibu na mipango
 
pdid naona una hasira sana na huyu bi kiroboto, oooh mama posho,mwache anachuma akajenge kwao kule uwemba njombe maana hana hata nyumba ya maana aliyojenga kwao
 
Ndio shida ya kuchukua wajane wa roho na kuwapa madaraka. Yeye na Ndugai wanajiona kama miungu vile. Ila siku kikinuka ndio tutaheshimiana, kwani unadhani mwaka jana muda kama huu ungemwambia Gadaffi kwa anachofanya kinawaudhi watu angesikia la mtu? Lkn wakati wanamburuza kama mzoga wa mbwa alikuwa anawabembeleza wamuachie awape fedha na dhahabu lkn wapi
 
Pdidy use any words, Spika was right to say that!

kuwa bungeni wangeongea na kusema yote ya moyoni...lakini kamati iko kazini na italeta data zote ndipo ijadiliwe! maazimio ya bunge hayatakiwi kukinzana, la alitakiwa kuvunja kamati na kuwaota waje....lakini majibu ya maswali na what happened mpaka mgomo umekuwa hivi, nani angejibu??

ukipoteza dk 1, moja tu, kufikiri utaona logic yake!

BTW uliposikia kinyaa ulitapika??
Mkuu Waberoya, jana niliuliza Jee Spika anayo mamlaka kuzuia muongozo au taarifa?!. Alitakiwa asikilize hoja za miongozo au taarifa na kuendelea kushikilia msimamo wake!. Kusema ukweli uwezo wa Spika Anna Makinda ni Questionable!.
 
Kwa jinsi mnavyoieleza yaani nahamu na mie ningemuona. Kipande cha kideo hakijarushwa you tube nasi tuone tuliomisi?

Mie huwa najua kama kuna tatizo kubwa kwenye nchi hata wabunge huwa wanaitwa kwa dharura kujadili issue kubwa inayosumbua.

Sasa kama watu wanakufa na huyu mama amekataa hadi ripoti irudi I hope watu wengi watakuwa hawajafa zaidi.

Kwani anasubiri ripoti imeenda kuchunguza nini? Wanatarajiwa kuchukua siku ngapi?

Re mbaya... Nilifurahia sana mie kwangu ni kwa sura...
 
Anna Makinda ni "DEADWOOD" wetu hana uwezo hata kidogokuwa spika wa bunge, wote mnakumbuka jinsi alivyopewa huo ulaji kwa utata!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom