Mwanamke malaya na mwanaume mzinzi ni yupi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Pengine ni ukosefu wa ufahamu
sisemi wewe la hasha shetan ndie src ya kutufumba macho tusione mbele
pengine umekuwa na mwanaume ama mwanamke wa aina hiyo apo juu
binafsi usikimbilie tu kuomba mungu nisaidie mwokoe mume wangu na umlaya au
mwokoe mke wangu na tabia ya uzinzi....no

muulize mungu tatizo aswa ni nini mpaka mke wangu anakuwa changu..tatizo ni nini
mpka mume wangu anakuwa cha wote jamani ...na pengine unajua saababu kwa nini amebadilika
unajua kuna wakati wanandoa wanabadilika gafula wapo wanaopata vijisent na kusahau walipotoka
na wenzio wao

sasa usiogope kama mumeo amepata pesa gafula kabadilika nenda mlilie mungu mwambie mungu nafuka connection yote ya src inayomfanya mume wangu kuwa cha wote..kataa kuwa mtumwa nenda kaombee uvunje connection ile inayomfanya mumeo abadilke...pengine unasikia mumeo anazini na wanawake kwenye gar tena uliochangia mwambie mungu avunje connection ikiwezekana iyo gari usishangae ikalala chini kwa muda mungu akimbadilisha na baada ya mkapata gari nzuri zaidi


mungu awabadilishe in jesus name

when jesus move power move
when jesus great power great

mwambie mungu
change ma way
change ma purpose
change ma situation as he chang javes situation
ikawe kwako in jesus name

mungu akutie nguvu katika hili
 
Thanks I will do the same when the need comes in though I dont pray for.......
 
Title na content vinapishana. Nilifikiri unataka ufafanuzi wa tofauti ya maneno malaya na mzinzi.
 
Mkuu mentor
Nipo napambana na upepo kaka si unajua huku tukiponya ndoa za wabishi
 
MEN and WOMEN...Both of them SHOULDN'T have affair after marriage.

But it happens....
icon_sad.gif


Extra-marital affairs and divorces happen due to these reasons:

HUSBANDS generally cheat wives or get divorced because:


-they need to have fun for sometime
-frustration of work or too much pressure
-nagging wife
-ugly wife or bored with or does not love her
-fantasy of achieving other womens
-wants to satisfy his ego
-wife not listening to him
-wife is being stubborn
-not being able to fulfill her wishes
-wife is more successful than him
-when he purposely wants to hurt his wife due to some reason
-not married to the girl of his choice
-attracted to other womens with lot of varieties outside
-because he is a man who craves other women and capable of doing that
-while some mens are just prone to it



Wives have the extra-marital affair because:

-they need to have fun for sometime
-frustration of household work and nasty kids
-nagging husband due to his work frustration
-ugly husband and no physical satisfaction
-fantasy of achieving other good looking mens
-want to satisfy her ego because her husband is always
watching other womens
-husband being stubborn about everything and not listening to her
-not being able to cook properly
-husband being consistent in his career got successful and after marriage now she is completely dependent on him and so not competitive and earning as compared to other single womens to which her husband is getting attracted to
-when she purposely wants to hurt her husband due to some reason
-not married to the husband of her choice
-attracted to other mens with lot of varieties outside
-because she is a longing woman who craves physical satisfaction and capable of doing that
-while some womens are just prone to it
 
Napenda kutoka nje na kutembea na mwanamke mwingine zaidi ya wa kwangu wa siku zote ili kubadilisha chakula.Kula chakula kimoja kila siku inakinaisha.
 
Back
Top Bottom