Mwanamke mafiga matatu...

dee

Member
Feb 17, 2011
25
0
Hey wanaJF nimefanya utafiti kwa kabila la Wazaramo kwamba msichana yeyote wa kizaramo lazima awe na mafiga matatu inamaanagani?nisaidieni!
 
tatizo la mafiga 3, moja likiondoka sufuria inaanguka.
bora kukaa juu ya figa moja kama unapikia umeme vile.
 
Hey wanaJF nimefanya utafiti kwa kabila la Wazaramo kwamba msichana yeyote wa kizaramo lazima awe na mafiga matatu inamaanagani?nisaidieni!

Sasa kama umefanya utafiti tena mbona unakuja kuulizia hapa, si ungeulizia hao waliokwambia wakakupa maana yake?

Kwa hivyo utafiti wako hauko kamilifu.
 
Kisiive kwani unapika chelema? Huo huo mdogo mdogo, unakaanga chap chap.

Chap Chapa kwani una mkataba na TANESCO? Mafuta yakianza kuchemka tu na kukaribia kuweka muhogo wako ndani ya mafuta basi wanachukua umeme wao (unabaki kulalama na kutukana matusi yote) na kukurudishia umeme wao usiku wa manane wakati uko FOFOFO hahahahahahah

umeniweza kwa sasa, lakini nitarudi tena
 
Back
Top Bottom