Mwanamke kutokwa majimaji yenye harufu kali

amba.nkya

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
446
131
Nina rafiki yangu wa karibu ameoa hivi karibuni alikuja kuniomba ushauri kwa vile nipo kwenye ndoa yangu kwa zaidi ya miaka 10. Akanieleza kuwa mke wake ana tatizo la kutokwa majimaji yenye harufu kali wakati wafanyapo tendo la ndoa. Aidha, alisema yapata mwaka sasa, mke wake huyo amewahifanyiwa operation chini ya kitovu iliyotokana na tatizo la uvimbe kwenye mirija ya uzazi.

Wanajamvi naomba wenye majibu ya kitaalam ili tuweze kumsaidia rafiki yangu.
 
Ikiwa si suala linalohusiana na usafi, aende kuwaona madaktari wa magonjwa ya wanawake. Pale namanga mbuyuni kuna Maria cliniki ya profesa Mgaya.
 
Utingo, nakushukuru kwa ushauri wako. Vile vile kwenye red hapo, rafiki yangu amesema anajitahidi kuwa msafi mara kwa mara hususan kabla na baada ya tendo la ndoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom