Mwanamke kusumbuliwa tumbo kipindi cha siku zake

Adam waTZ

Member
Jun 14, 2011
83
9
1.Je kwanini mwanamke anaumwa tumbo akiwa kwenye siku zake? 2.Je kuna madhala yoyote kwa uzazi hapo baadaye? 3.je ufumbumbuzi wa tatizo ni nini?
 
NI TATTIZO MBONA WENGINE WASIUUMWE. Sababu kizazi hakina ebnergy ya kutosha. Ikizidi uvimbe(fibroid) itaanza. Tumia maji hai ama bio water yanayotengenezwa na bio disc soma QNet | Direct Selling - Home. Amezcua. pia nitafute privately.
UNIQUE

Hapo penye nyekundu hali ipo vice-versa....wanawake wenye uterine fibroid huwa wanapata maumivu makali na kutoa damu nyingi zaidi wakati wa hedhi, lakini sio maumivu yakizidi wakati wa hedhi basi ndio utapata fibroid.

Si kila mwanamke anapata maumivu makali wakati wa hedhi, japo hiyo process yenyewe ya hedhi huwa inauma (hiyo ni kawaida). Hakuna unachoweza kufanya ili hedhi isiume, bali unaweza meza dawa za kupunguza maumivu. Au kama maumivu ni makali saaaana hata dawa za kupunguza maumivu hazisaidii, na vipimo vimeonyesha hauna tatizo lolote mfano fibroid..unaweza tumia sindano za uzazi wa mpango (Depo-provera) ili usiwe unapata hedhi ambazo zinakuuma.

NB: Kmama maumivu yako makali ya hedhi yanafuatana na kutoa damu nyingi (yenye mabonge), na/au kutoa damu za hedhi kwa siku zaidi ya 5, na/au kupata hedhi mara mbili kwa mwezi...nenda kamuone daktari wa magonjwa ya wanawake kwa uchunguzi..inawezekana ikawa uterine fibroid(s)!
 
kuna wakati niliambiwa akizaa maumivu yataisha. vp kuna uthibisho wowote? na je? hali hiyo haizuii kushika mimba?
 
Unique naona unatafuta njia ya kuuza biodisc.hiyo ya riwa imekaa vizuri..Akizaa maumivu hupungua.for the moment unaweza kutumia vidonge vya uzazi wa mpango au dawa za kupunguza maumivu.madada wengi ninaowajua wanatumia mefanamic acid na wanasema inawasaidia
 
Back
Top Bottom