Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

Hii mpya, sidhani kama kuna dada anaweza kubaka mwanaume. Maana jinsi wanaume walivyo kuwa na nguvu hadi ufanikiwe kumbaka nadhani ni ngumu. Haya mambo ya kubaka ni ya wanaume, wanaume wengi wanabaka wanawake zao hadi kwenye ndoa zao.

Jaribu kunibaka mimi next time...
 
Binadamu wote ni sawa hivyo kila mmoja anahaki ya kutongonzwa na kutongoza bila kujali jinsi ondoa fikra za hizo
 
Mi sioni tatizo mwanamke kumtongoza mwanaume...kwani...ubaya au uzuri wa kitu ni jinsi mtu mwenyewe anavyokiwaza...ukisubiri jamii itakuonaje hautafika popote...utaishia kujilaumu kwenye nafasi zilizopotea (lost opportunities)
 
Pretty:

Samahani natoka nje ya mada tu. Hivi kuna wakidada wanaobaka wanaume?

Zakumi sidhani kama hii ipo kwa sababu kubaka si ina maana kufanya mapenzi kwa nguvu bila ridhaa ya mwenzio? Asa hapa kama mwanaume hataki hata ukitumia nguvu kiaje kama hataki basi "mzee" hatakuwa imara au?

Kama kuna mwanaume yoyote ambaye ameclaim kubakwa huyo hayuko serious kwa sababu kama alifanikisha tendo ina maana naye alitaka akasisimukwa kiasi cha kuwa na bunduki imara!
 
Bibie unaamka tu na kuanza kufikiria thread za kutongozana tutafika kweli na hii Tanzania yetu?
.....ku log in tu huyo mapenzini.......fanyeni kazi bana mapenzi yapo tu....
 
Ina maana nasie kama wanawake tunaruhusiwa kutongoza zaidi ya mmoja? Lol itabidi mnipe mbinu za kuwapanga ili nisijegongesha magari lol.

Kama kawaida tu ruksa, we hebu niPM na uweke namba yako ya kicellular chako nikupe somo la bure!
 
Mkuu Pretty;

Kwa uzoefu wangu wa maisha naweza kusema yafuatayo:

1. Kwa Mwanamke ambaye ana uwezo kiuchumi ni rahisi sana kumtongoza mwanaume atakaye. Actually hii ndiyo source kubwa ya Sugar Moms. However this may not be about true love. Ni anasa na tamaa tu.

2. Pili ni Mwanamke asiye na uwezo kiuchumi kumfuata mwanaume aliye na uwezo kiuchumi na kujirahisisha. Hii ni katika jitihada zake ili asaidiwe kiuchumi and its not much about love.

2. Katika mapenzi ya kweli na kutokana na history, ni vigumu mwanamke kumtongoza mwanamke hata kama ana hisia za kimapenzi. Lakini kuna ambao wana ujasiri wa kutongoza. Shida ni kuwa wanaume wengi wakitongozwa wanakuwa na hisia kuwa mwanamke husika ni malaya au wakati mwingine anakuwa hampendi. Lakini kuna cases pia ambazo inatokea wakapendana na hata kuoana. Kunapokuwa na urafiki wa kweli baina ya Jinsia mbili na baadaye hisia za mapenzi kudevelop inawezekana kabisa mwanamke akamtongoza mwanaume.
 
Hii mpya, sidhani kama kuna dada anaweza kubaka mwanaume. Maana jinsi wanaume walivyo kuwa na nguvu hadi ufanikiwe kumbaka nadhani ni ngumu. Haya mambo ya kubaka ni ya wanaume, wanaume wengi wanabaka wanawake zao hadi kwenye ndoa zao.

Mwanamke mmoja mrembo wa nchini Urusi ambaye alikuwa akiwabaka wanaume walioingia nyumbani kwake amekamatwa baada ya kuwabaka jumla ya wanaume 10.

Mwanamke huyo aliyetajwa kwa jina la Valeria K, mwenye umri wa miaka 32 anatuhumiwa kuwabaka wanaume 10 baada ya kuwalewesha kwa kuwapa vinywaji ambavyo aliviwekea madawa ya kuleta usingizi.

Mwanamke huyo amefananishwa na buibui jike mweusi anayejulikana kama "Buibui Mjane" ambaye huwaua na kuwatafuna buibui wanaume baada ya kujamiana nao.

Polisi wa Urusi walisema kwamba Valeria ambaye ni mrembo wa kuvutia kwa wanaume wengi huwashawishi wanaume waingie nyumbani kwake na baadae kuwapa vinywaji ambavyo aliviwekea madawa ya clonidine.

Madawa hayo ya Clonidine huwafanya wanaume hao wawe hawajitambui kwa masaa 24.

waendesha mashtaka waliiambia mahakama kwamba baada ya hapo Valeria huwavua nguo zote wanaume hao na kuwabaka.

Mwanamke huyo anayependa kuangalia filamu za kutisha anatuhumiwa pia kuzungushia kamba kwenye nyeti za wanaume anaowabaka ili kuzifanya ziwe kama zimesimama.

Polisi walisema kwamba wanaume wote waliobakwa na mwanamke huyo walizinduka wakiwa hospitalini wakiwa na maumivu makali kwenye nyeti zao.

Polisi walipata tabu kumkamata mwanamke huyo kwani wanaume waliobakwa na mwanamke huyo walikuwa hawakumbuki chochote zaidi ya kukumbuka kwamba walikutana na mwanamke mrembo aliyewapa kinywaji.

Maafisa wa polisi walifanikiwa kumgundua hivi karibuni wakati akiwa tayari ameishawabaka wanaume 10 katika siku tofauti tofauti.

Ni mwanaume mmoja kati ya hao kumi ndiye aliyeamua kumfungulia mashtaka mwanamke huyo.

Mwanaume mmoja ambaye yeye hajaamua kumchukulia mwanamke huyo hatua yoyote alisema kwamba yeye alifurahia kitendo hicho.

"Ulikuwa wakati mzuri sana kwangu, Napenda wanawake warembo natamani kama asingeniwekea madawa ya Clonidine" alisema mwanaume huyo ambaye hakupenda jina lake litajwe.

Source: Nifahamishe

Hiyo ilipostiwa na mmoja wa wadau hapa JF.
 
Hii mpya, sidhani kama kuna dada anaweza kubaka mwanaume. Maana jinsi wanaume walivyo kuwa na nguvu hadi ufanikiwe kumbaka nadhani ni ngumu. Haya mambo ya kubaka ni ya wanaume, wanaume wengi wanabaka wanawake zao hadi kwenye ndoa zao.
plus itakuwa ngumu kuifanya ile kitu ipige salute mpaka huyo mwanamke anayebaka ajiridhishe, au akina kaka mnaweza kupiga salute by force? maana vinginevyo ..............
 
Source: [ame="http://www.scribd.com/doc/7798994/How-to-seduce-a-man-4-Ways-You-Can-Seduce-Him"]How to seduce a man ? 4 Ways You Can Seduce Him@@AMEPARAM@@/docinfo/7798994?access_key=key-123gkm98oiv9lhi2q87v@@AMEPARAM@@7798994@@AMEPARAM@@key-123gkm98oiv9lhi2q87v[/ame]-

Here are some ways you can seduce him:

1. Your cooking skills:

The first item may sound a little old fashion, but not if your cooking or baking skills are commendable. Everyone needs to eat after all, and three times a day at least, so if you have skills that can impress in this area, there is no harm in letting him know about it. Just prepare something you know the people will like and bring it out with you so that they all can taste it, including your man.

2. Your personality:

Different people have different personalities. It will certainly help if yours is an appealing one, what more a sexually appealing one. But the most important thing is that your personality appeals to your man. It is good if you have an idea on what kind of lady he is into. This is not to ask you to change yourself just to suit him. If you do find yourself unable to find a common area with him, it may be time to reevaluate whether he is the right one for you.

3. Your attentiveness:

People always like others who listen to them. You can demonstrate this by being attentive to his needs. Do it in a way where you will be noticed and therefore, appreciated, not taken for granted. Before you start to put in effort to seduce the man you want, do a little prep first so that you know he is who you want to be with. This article offers you three ways to seduce him, and the good thing is that along the way, you have the chance to reevaluate if he is the one for you. So even if it does not work out for you at the end, you would have learn something, but there is a good chance that it will, since you are not doing this blindly. As in everything, you want to do things in a timely fashion, so avoid haste and always tune in to the circumstances.
 
Bibie unaamka tu na kuanza kufikiria thread za kutongozana tutafika kweli na hii Tanzania yetu?
.....ku log in tu huyo mapenzini.......fanyeni kazi bana mapenzi yapo tu....

Do I need to say anything here?

No I dont think so.
 
Mkuu Pretty;

Kwa uzoefu wangu wa maisha naweza kusema yafuatayo:

1. Kwa Mwanamke ambaye ana uwezo kiuchumi ni rahisi sana kumtongoza mwanaume atakaye. Actually hii ndiyo source kubwa ya Sugar Moms. However this may not be about true love. Ni anasa na tamaa tu.

2. Pili ni Mwanamke asiye na uwezo kiuchumi kumfuata mwanaume aliye na uwezo kiuchumi na kujirahisisha. Hii ni katika jitihada zake ili asaidiwe kiuchumi and its not much about love.

2. Katika mapenzi ya kweli na kutokana na history, ni vigumu mwanamke kumtongoza mwanamke hata kama ana hisia za kimapenzi. Lakini kuna ambao wana ujasiri wa kutongoza. Shida ni kuwa wanaume wengi wakitongozwa wanakuwa na hisia kuwa mwanamke husika ni malaya au wakati mwingine anakuwa hampendi. Lakini kuna cases pia ambazo inatokea wakapendana na hata kuoana. Kunapokuwa na urafiki wa kweli baina ya Jinsia mbili na baadaye hisia za mapenzi kudevelop inawezekana kabisa mwanamke akamtongoza mwanaume.

swadakta!, hii ilinikuta, nikawa sina jinsi, ndio my girfriend wangu mpaka kesho, teh teh kwii kwii t
icon10.gif
eh teh
 
Bua ha ha .. Joka la mdimuni naona umeshaanza harakati zako..lol

hahaha, mkuu kwa version ya Mudhihir ni kuwa joka la mdimu hukaa kwenye mti wa ndimu na kuwauma watu wanaokuja kuchuma ndimu il-hali lenyewe ndimu sio chakula chake....LOL umeshakuwa mwanafunzi wa Mudhihir?
 
Hey wana Jf,
Katika utamaduni msichana kumtongoza mwanaume hapa Tanzania kwa sasa bado watu wanaona kama msichana mwenye tabia hiyo ni muhuni au malaya, imekuwa tofauti na developed country hao hii tabia ni ya kawaida tu na wal si ajabu.
?

tofautisha "traditional culture" na "intellectual culture" Tubakie na utamaduni wetu ya hao wengine tuwaachie wao
 
Nakubaliana sana nanyi, ni vema sana mtu ukawa muwazi kueleza hisia zako. Mimi nina ushuhuda wakati nasoma chuo kuna mdada alikuwa ana feelings juu yangu na hakuweza kuziwakisema na kwa kuwa hatukuwa na contact za mara kwa mara hakuweza kuzifikisha ishara za mapenz kwangu, baada ya kumaliza na kuachana mi e nikwa nishaoa tukakutana kay organization moja kikazi ndo anaanza kueleza kuwa alikuwa ana hisia wakati wa nyuma. So it was too late huenda angekwa mama watoto wangu!
 
Back
Top Bottom