Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

mi binafsi nawapenda sana na kuwaheshimu wanawake 'wanaojitambua' na 'kujua wanachokitaka' na 'vipi wakipate' kama hao.haimaanishi kwamba naweza kuwa nao wote ila kiukweli wanani-turn on ile mbaya!ila sema huwa wanatia huruma hasa ukikuta kama ni first experince kwake kutongoza,dah,utaishia tu kuchekea tumboni!mi sioni ajabu wala ubaya wowote.
 
tatizo wa kaka wa kutongoza bongo hamna wamekaa kutongoza zaidi so tunawaachia wafanye kazi zao
 
kwa wenzetu ni kawaida sana

hata kenya kwamfano,ni kawaida

kwa watanzania ,ni wachache wenye kujiamini kiwango hiko

its rare.....wengi huishia kujitongozesha,but wachache wana uwezo wa kutongoza mwanaume

those type of womens turn me on big time.....

The Boss, afadhali hapo kwenye NYEKUNDU, ila kutongozwa na Mwanamke inatisha Mkuu, mie nishawahi kutoka Nyuki... baada ya kutongozwa na mwanamke!!!, sijui ni jamii zetu na malezi?????
 
Kiukweli mwanamke aneyafanya hivyo sioni ubaya wake ni sawa na nchi nyingine wanawake ndiyo wanaotoa mahali na kuoa wanaume tofauti na sisi huku kwetu ambako inaonekana kuwa kuoa na kutongozani suala la mwanaume.
 
Mwanamke wa namna hyo eidha anajiamini sana,au kapenda sana,au kicheche inapasa mwanaume utulie ukikutana na swala hli kabla ya kuamua kukubali au kukataa.
 
The Boss, afadhali hapo kwenye NYEKUNDU, ila kutongozwa na Mwanamke inatisha Mkuu, mie nishawahi kutoka Nyuki... baada ya kutongozwa na mwanamke!!!, sijui ni jamii zetu na malezi?????

acha woga mkuu...
suala la kutongoza ni ujasiri tu wa m2, haijalishi ni mwanamke/mwanaume.
mbona kuna wanaume wanashindwa tongoza, hii nayo inasomekaje????????????
 
Kwa mara nyingi wasichana wakiwa na interest wana initiate conversation na wana kulead on ki mpango. its a bit rare in our society kupata binti anakuambia anakutaka directly uki compare na the western world, wewe mwenyewe utamdhania ni changudoa ama she's a slut or an easy lay.. It happens though, na nina uhakika wengi wetu ishawatokea, lakini swali kuu ni hili, wangapi wanaweza kukaa ama kuoa mwanamke aliye kutongoza?
 
ishara zitachukua nafasi yake,kama kusoma hujui picha ukiiona utaelewa nn namaanisha! mingine mizoba hata picha haielewi!!
 
Back
Top Bottom