Mwanamke 'kumhonga' Mwanamme . . .

mtotowamjini na cartura, umeona Smile alivyosema?

Mwanamme analelewa sio kuhongwa.
Na nimeona mara nyingi sana mwanamke anakuwa criticized kwa kumpa vitu mwanamme hasa anapomzidi kipato.
Utasikia kazi 'kulea wanamme tu'
ndo ivo kongosho ipo hivi mwanamke akimpa mwanaume kitu kipo katika milki yake mfano kamnunulia nguo ili apendeze...hapo mwanamke anafaidi kule kupendeza kwake yaani ile benefit ya zile nguo mean kupendeza kwa yule kijana...mwanamke anafaidi eg kuringishia mashostisho boy wake ni hb n.k.au kumpa gari ili tu boy wake aonekane kidume na yeye anadrive but hawezi kumilikisha kamwe mwanamke anataka output iwe ni kwa wote...lakini mwanaume tunasema anahonga ..maana anatoa kitu ili mwanamke afurahi akikupa mfano hela hata ukienda kuzitumia kwa mwanaume mwingine yeye hajali anahonga tu ili mwanamke afurahi.....wanaume wanatoa kwa love zaidi naona...
i wish mtu anihonge jamani loh!
 
Kongosho sijui maisha kwanii yako bias kwa mwanamke. skiliza mwanaume aitoa inaonekana ama kutoa kwa ulazima lkn mwanamke inaonekana kama analinunua penzi umeona eeh! Ila ukweli binafsi nilipopenda hata pesa ya gesti nilitoa pale ambapo mwenzangu alitindikiwa na pia kwakua nilikuwa napenda apendeze basi hata pamba nilimnunulia za woolworth sikuweza lkn za manzese nilimudu.

Hapo sasa, mara nyingi mwanamke anaonekana ananunua penzi.

ila sasa kuna wale ambao wananunua penzi kabisa wazwazi hili nimelishuhudia pale jimama linapomlea kijana hali akijua no future ni just kula raha tu. mimi hii huwa si admit kabisa mara nyingi hawa huwa wanatoa hela mpaka milion wa kijana sasa najiuliza what next?

Hivi jimama ni mtu wa aina gani?

Naamini kabisa si kila mahusiano huishia kwenye ndoa, sasa kwa hali hii basi, je mahusiano yote ambayo tunatakiwa kusaidiana lazima yawe na future (future=ndoa)

Kama hakuna future kwenye mahusiano, si sahihi kusaidiana?
 
Kuna raha gani ya kutoka na mwanamme wewe mwanamke umemzidi sana na hali waweza mpiga tafu mkawa karibu sawa?

kama kweli unampenda, utampiga tafu ili muende sambamba... changamoto ni pale unapompiga tafu, halafu na yeye anakwenda kutangaza udume nje ya uhusiano wenu
 
Hii ni mpya

Unadhani mwanamke hahongi kwa love?

Unavyosema mwanamme anatoa kwa love, inamaana hajali ukihonga kwa mtu mwingine pesa hiyo?

Mi naona wote tunatoa kwa love, hujasikia wanamme wanaambizana "usipomsaidia mpenzi wako, wenzio watakusaidia'
hapa naona hata wanamme wanahonga kwa benefit ya kuwa mwanamke asishawishiwe na wengine kwa sababu ya 'hongo'

kusema kuwa mwanamke hamilikishi, ila anakupa kutumia tu, labda kwenye mazingira yetu wanawake wenye uwezo huo ni wachache sana ukilinganisha na wanammme wenye uwezo huo ndio maana tunaona hawamilikishi.

ndo ivo kongosho ipo hivi mwanamke akimpa mwanaume kitu kipo katika milki yake mfano kamnunulia nguo ili apendeze...hapo mwanamke anafaidi kule kupendeza kwake yaani ile benefit ya zile nguo mean kupendeza kwa yule kijana...mwanamke anafaidi eg kuringishia mashostisho boy wake ni hb n.k.au kumpa gari ili tu boy wake aonekane kidume na yeye anadrive but hawezi kumilikisha kamwe mwanamke anataka output iwe ni kwa wote...lakini mwanaume tunasema anahonga ..maana anatoa kitu ili mwanamke afurahi akikupa mfano hela hata ukienda kuzitumia kwa mwanaume mwingine yeye hajali anahonga tu ili mwanamke afurahi.....wanaume wanatoa kwa love zaidi naona...
i wish mtu anihonge jamani loh!
 
Hapo sasa, mara nyingi mwanamke anaonekana ananunua penzi.

Hivi jimama ni mtu wa aina gani?

Naamini kabisa si kila mahusiano huishia kwenye ndoa, sasa kwa hali hii basi, je mahusiano yote ambayo tunatakiwa kusaidiana lazima yawe na future (future=ndoa)

Kama hakuna future kwenye mahusiano, si sahihi kusaidiana?
Kongosho labda niweke hivi mwanamke anayenunua penzi ni stail ya sugar mummy ambaye Smile anamsemea huyu siipend tabia yake kabisa.

si kweli kwamba kila mahusiano lazima yaishie kwenye ndoa ila lazima yawe na focus mf. lazima muwe watu ambao mnaweza ruka pamoja penzi kama hili kupeana zawadi ama hata kunyanyuana kimaisha siyo kitu kibaya waweza kumvesha, na hata kumpatia mtaji ila haya ya kulelewa ee mungu nisiseme sana manae akina Clain wangu ni wakaka wote. Mungu aepushie mbali.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, ni tatizo.

Kwa hujasikia mwanamme kamsomesha mwanamke na kumtafutia kazi na kumjengea hata bangaloo masaki lakini bado anaonesha 'uanamke' wake kwa vidume wengine?

Hizi ni case ambazp hutokea kwa jinsia zote.

kama kweli unampenda, utampiga tafu ili muende sambamba... changamoto ni pale unapompiga tafu, halafu na yeye anakwenda kutangaza udume nje ya uhusiano wenu
 
mimi nataka kuhonga ila DINI INANIKATAZA

since jukumu langu ni kuzaa kwa uchungu basi jukumu lake ni KUNIHONGA in a form of kunitunza,kunilisha na kunivisha...na km atujaoana bas tukienda out alipe yeye bili yooooooooooooootemie akhukimyaaaaa ata km nina mijipesa ya kutosha

mimi akishanitia mimba atansaidia kutema mate
atansaidia ku push?
atansaidia kunyonyesha?

akhuu babu kila mtu achukue jukumu lake km amambvyo awez toa msaada kwenye uanamke wangu na swaga zake esp into mimba na kuzaa bas nayeye abebe tu majukumu yake

km kusoma yes tumesoma wotena usawa nahuitaji lakin isje ikawa unataka usawa wa nkusaidie majukumu apo nooo cz u wont b able kunsaidia kwenye majukumu yangu

my take:
mungu alishatoa specilization na division of labpur sa iweje nyie waume wa zama izi mwataka kuvunja utaratibu?
nan aliyewaloga?
bas nawaasa eny waume kuwen imara kunako majukumu yenu na muyatende mpaswayo kutenda pasipo lalamo lolote

its me....MWANAMKE KAMILI MWENYE KUZINGATIA KANUNI....espe zinazogusa dinari hah ahah...raha jaman...umenuna mwenyewe lione...nkuonge ili iweje?
ukiongwa thats ushahasiwa....ur no longer a man...et mwataka kulelewa siku iz ahh...ata kutongoza mpk akuchunguze kwanza una nini ndo aje akutongoze ahh wanaume wa siku iz weng wao hawana tofaut na fenicha...
 
kweli besti mimi ni mlaji tu kwa kweli....sio vizuri mwanamke kujitutumuuuuua kumlisha mwanaume..heshima mbela bwana...mimi kazi kumtii na kumheshimu na malavidavi basiiiiiiiiiii
 
Rose1980, nimependa sana ulivyokuja na mtizamo wako tofauti.
Umeleta changamoto zaidi hapa.

Sasa, naomba niulize hapa
Unaweza kuwa na mahusiano na mwanamme unayemzidi kipato? Si lazima ujiongelee wewe ila mtizamo wako kwa mwanamke kuwa na mahusiano na mwanamme anayemzidi kipato
 
Last edited by a moderator:
Wee Smile bana, mbona hukuniambia msimamo wako toka mwanzo?

Nilitaka sana kupata mtu mwenye maoni tofauti na waliyotoa wengine.

Kwa hiyo wewe ukimzidi kipato hakuna mahusiano?

kweli besti mimi ni mlaji tu kwa kweli....sio vizuri mwanamke kujitutumuuuuua kumlisha mwanaume..heshima mbela bwana...mimi kazi kumtii na kumheshimu na malavidavi basiiiiiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
ulimwengu umebadilika sana siku hizi mapenzi yameongezeka upana.ikiwa miaka hii msichana au mwanamke anaweza kunipenda na kunitamkia moja kwa moja wakati mwanzoni ilikuwa haiwezekani kwanini akijisikia kuninunulia kitu ashindwe.sasa hivi mwanamke anaweza kufanya chochote anachoweza, tatizo lilikuwa mfumo dume.muwe huru kina bidada kila kitu kinawezekana.
 
mungu alishatoa specilization na division of labpur sa iweje nyie waume wa zama izi mwataka kuvunja utaratibu? [

this is soooo funny.... hivi wanawake mnapokuwa mstari wa mbele kudai usawa huwa mmesahau the so called 'specialization na division of labour' aliyotoa Mungu?
 
Hahahahahahahahahahahahaha
Nilijua tuu
Me naomba hili swala niliite kutoa pesa.
Kwanza kwenye mapenzi kila mtu ana haki sawa na mwenzie

hakuna menye moyo mgumu kuliko mwenzie, hakuna ambaye hana damu kati ya mwanamke na mwanaume.

Kama mwenzio kama mwenzio kakwama ni vema kumsaidia.

Na hii dhana ya anaye paswa kupewa pesa ni mwanamke tu huwa fanya wanaume wengi kupata shida kwenye mapenzi hata tukikwama tuna kuwa wagumu kusema, sababu ya kutojiamini.

Na kama kuna upendo wa kweli hili si tatizo kabisa.

Mwanamke na mwanaume ni sawa kwenye mapenzi.
 
hivi mpenzio akiwa na mood nzuri akakutoa out au kukunulia kitu ukipendacho, hiyo ni kukuhonga au vipi? hapa siongelei shugamami bali watu wenye kipato sawa
 
Back
Top Bottom