Mwanamke kufika kileleni ndotoni (female noctunal orgasms)

there have df btn you headline and exaplanation try 2explain acordinig 2you head

Kama umeniaelewa vizuri natafuta experience za wengine and their take on the matter..if you have an opinion on noctunal orgasms do share!
 
Phina..............! Wat a suprise aisee!! Mpambanaji, wale jamaa bwana walikuja kutuchomolea kutupa zile pesa, ila wenzetu walipata,except sisi watu 25 special case wale,i thnk umenipata, ila tulifanya follw up, kuna matumaini kidogo kwa mbali.......... Keep ur fingers closed still. Halafu bwana tar 23 kuna dalili zote za kutangaza kamgomo tena, serikali ya JK inatufanya watoto. Aisee unajua huku ni usiku sana, ngoja nilale............ And about your post i have no comment kabisa!!

Thnx for the update mpambanaji!!hao watu wanatuchezea eh???
Nwez na madaktari huku wanagoma..wanakatwa pension zaidi,wamoeongezewa working hours na retirement ni mpaka 65yrs!!tunadharauliwa everywhere mwaya..#saad
So hujawahi sikia female noctunal orgasms kiukweli??my lips are sealed-i wont tell..
 
By the way............... Umefanyia kazi the advice i gave you??wink* wink*..........!

Ndo kinachonifanya niwe busy 24/7..ni hunting kwa kwenda mbele!!wataniweza hawa??today we went baking..mtoto wa kike nawakilisha!!offerz kibao nimepata-nawachambua tu kama karanga!lolz
 
Hamna cha majini, uchawi wala mbingu hapo. Hilo no jambo la kawaida tu kwa mwili wa binadamu.
 
Kwa nini sio vizuri??kuna tofauti gani na ndoto hiyo na ndoto nyingine zozote??that is what i want to find out..kwa nini nikiota nakula chakula ama naufua nguo hakuna tatizo-lakini nikiota nafika kileleni kuna tatizo??help me understand..

Ukiota unakula ni tatizo pia, wanasema watu wa imani. Kuna mtu kafafanua vizuri, kuna ndoto zilizo result ya kunfikiria mtu. Lkn hiyo ya kuDO na strangers na ukawa satisfied hivyo wengi husema huathiri real life hasa kwenye mahusiano.

Sikumbuki kumuota stranger kihivyo, lkn nakumbuka nilishaota ninalishwa mivitu kama ukakasi mweupe back in early 2000 mfululizo. Nilichukulia ni ndoto tu, but later baada ya kujiingiza kwenye imani, nimekuja kubali kuwa l was forced to eat spritually. So uamini usiamini haibadilishi reality yoyote, sana inasaidia tu conscious yako. So if u enjoy n like hizo ndoto, go on enjoy; yaweza kuwa ni ndoto (one reality) yaweza kuwa mapepo (the other reality).
 
Ukiota unakula ni tatizo pia, wanasema watu wa imani. Kuna mtu kafafanua vizuri, kuna ndoto zilizo result ya kunfikiria mtu. Lkn hiyo ya kuDO na strangers na ukawa satisfied hivyo wengi husema huathiri real life hasa kwenye mahusiano.

Sikumbuki kumuota stranger kihivyo, lkn nakumbuka nilishaota ninalishwa mivitu kama ukakasi mweupe back in early 2000 mfululizo. Nilichukulia ni ndoto tu, but later baada ya kujiingiza kwenye imani, nimekuja kubali kuwa l was forced to eat spritually. So uamini usiamini haibadilishi reality yoyote, sana inasaidia tu conscious yako. So if u enjoy n like hizo ndoto, go on enjoy; yaweza kuwa ni ndoto (one reality) yaweza kuwa mapepo (the other reality).

So what am i suppossed to dream and when??what is the right dream and what is not??if i know the person i am doing with,what is the difference with when it is someone i dont know??
Could it be that if i know the person i want him.,or i want something i am familiar with??and if not..i want something that i cannot put my finger on-yet??
Question..when men have wet dreams do they really have sex with people or is it just a climax??(just want to know)
 
phina kwakweli sijui hizi vitu kabisa, l have an open mind to them. Kuargue vizuri bora tuchague tunabase wapi, kisayansi ambapo speciality yangu mimi ni kwa viumbe ambavyo hatujui kama vinaingea wala vinadream (so si wa msaada huko), kiimani nako imani ya dhehebu gani lakini pia sijazama kabisa. So sina utaalamu wowote wa ndoto, najifunza na nasikiliza, nachagua nini kinachomake sense kulingana na experiences zangu!
 
Last edited by a moderator:
By the way, don't engender hii ndoto thing, from what l learned (kiimani), men pia huwa na maspiritual wives, na huwaota!
Kuhusu kufantasize kitu n then kukiota, yaweza kuwa ndoto again yaweza kuwa spirit; coz shetani hutumia bad habits zetu kujiattach. It is complicated, bora stick kwenye scientific reasoning; ur life (understanding) will be much easier ingawa real life ikawa na shida, but again whose real life is easier anyway!
 
Mi demu wangu aliota huku akimtaja Hamisi eti Hamisi hapo hapo ingiza ingiza hamis nakuja nakuja hamisi dah

Alikuhadithia au ulimsikia? Kama ulimsikia basi kazi imekushinda, tema mzigo huo kwa Hamisi. Inaonekana kama unapiga bla bla tu.
 
Kawaida kabisa
Na ukitapa kupata mzuka zaidi wa ndoto niPM nikupe trick yake.

Sasa hivi mtu asipoelewa kitu anakimbilia una pepo, pepo my foot!
 
Yes, I do.

Ila sasa hivi hata kushindwa kuendelea kwa taifa utasikia bunge lina mapepo.
Mapepo sasa imekuwa dhana inayotumiwa na watu kukimbia reality ama kwa kuona uvivu kutafuta ukweli au kuwa na conflict of interest na ukweli.

Do you believe in God?
 
Kwa wanaume inatia hasira pale unapokuwa unaota unamnanihii dem hot kama Erotica, pale tu anapokuchanulia nanihii, gafla unaamka kabla hata kujasimika... aaaaaaarghrrrrrrrrrr...
 
Ingekuwa mtu unaamua mtu wa kumuota... kuna watu ningewaota kila usiku...

 
Yes, I do.

Ila sasa hivi hata kushindwa kuendelea kwa taifa utasikia bunge lina mapepo.
Mapepo sasa imekuwa dhana inayotumiwa na watu kukimbia reality ama kwa kuona uvivu kutafuta ukweli au kuwa na conflict of interest na ukweli.

Najua Kongosho, lakini hili swala la ndoto li tofauti na uvivu wa kufikiria au kukimbia reality; kwani lenyewe pia ni mystery.

Nikirudi nilipotaka kukupeleka ni kuwa:
God is a spirit, malaika hali kadhalika, shetani pia.
God au malaika zake wanaweza communicate na watu via ndoto, vision au namna yoyote pia. Na evil spirit pia hufanya the same.

In my poor understanding, l can digest ile ya kumfikiria, au kufikiria kitu na kukiota/kumuota. Lakini kumuota total stranger and having sex na kumaliza na kuenjoy nina wasi wasi, mara moja maybe, lakini mara nyingi; ninaweza kubaliana na wale wanaosema wana spiritual spouses.

Lakini pia kwenye point yako ya kumsingizia shetani kila kitu, nakubaliana na wewe; kwani as binadamu tuna role ya kuplay. It is true that the devil is the author of all evil, na pia kuna Mungu ambaye ni author wa all good things, as binadamu tuna uwezo wa kuchagua nani wa kumfuata!
 
Back
Top Bottom