Mwanamke, Kiumbe wa ajabu sana!

Mnapotoa hizi kashfa watajen zinaowahusu,achen kujenerolaiz hv kwan kashfa hizi zinawachanganya hadi mama zenu,dada,mashangaz na hata mabint zenu wa kuwazaa!ile hali mnajua wazi sio wanawake wote wako ivo,achen kututukana jumla jumla ebo!
 
Hizi thread za kutu diss wanawake zimekuwa ndo new trend sasa eeh!

c unajua saiv wanume wengi wana matatizo ya nguvu za kiume... kwahyo mwaonekana maadui .. nenda MMU..uone tatizo lilivyo serious..
 
Mtoa mada yamemkuta jamani japo kakosea ku 'jeneralize'. Siku zote tunashauriwa tuwe makini kuwachagua wale tunaowaita wake au waume zetu. Siyo kila mwanamke anafaa kuolewa. Kama ilivyo, kuna watangazaji na wasikilizaji, wachezaji na mashabiki, watawala na watawaliwa n.k, ndivyo hivyo kwa wanawake. Kama utaangukia wa dizaini hiyo basi utajuta kuzaliwa.
 
Mwanamke huyo huyo ni binadamu kama wewe. Je wewe na uume wako ni kamili? Nadhani tatizo si kuwa mwanamke au mwanaume bali uwezo wa mtu kuyachambua mambo. Wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu. Wapo shetani wanaume na wanawake kadhalika. Kama yamekukuta usikimbilie kulaumu wote. Waweza kuwa tatizo kuliko hata huyo mwanamke uliyempa ushetani wote. Ni majambazi, wabakaji, mafisadi, wasanii, wauaji na mengine mengi ni wanaume? Basi kama kuna mwanamke shetani duniani si mwingine bali mama yako aliyekuzaa ufanye hitimisho hafifu kama hili.

Tujifunze kusoma kwanza ndio tuchangie,mtoa mada ashasema kwamba yeye ni mwanamke,pili maelezo yake yanaonyesha anamuelezea mwanamke kama mpenzi(girlfrien/fiancee/wife) na si mwanamke kama mama,kwakua wewe ni mpayukaji jaribu kurelax kidogo usiwe unapayuka tu ovyo ovyo!
 
hili nimelipenda sana mtu wangu. Hata kama wewe ni mpayukaji haushirikish ubongo alafu unashindwa kusoma mpaka mwisho ujue mtoa mada amekusudia nini? Badilika wewe sa iv haupayuki tena bali unaropoka!
 
....amebebaa mimbaa mienzi tisaa,baba kalaa konaaa,hakuku flash,kaitunzaaa mimbaaa kwa tabu na masimango kwa wazazi na ndugu wa karibu[kwanini kabebaa mimba nje ya ndoa,mtoto hana babaa...],ikakomaa,akakuzaaa uka mnyeaaa,mnyimaa usingizii usiku halalii,kwatabu kakukuzaa kama single mum,umesomaa hadi una PHD.
...nijasiriii na daimaaa anahurumaaa na mwepesii kusameee kwelii mwanamke kiumbe cha ajabu
...hata ukiwaa hoi kitandani,unajinyeaaa ukubwani watu wote wanaweza kukukimbia ilaa sio mamaa atakuwa na wewee,kweli mwanamke wa ajabu
....HESHIMAAAAA KWA WANAWAKE WOTE DUNIANI....
 
Tujifunze kusoma kwanza ndio tuchangie,mtoa mada ashasema kwamba yeye ni mwanamke,pili maelezo yake yanaonyesha anamuelezea mwanamke kama mpenzi(girlfrien/fiancee/wife) na si mwanamke kama mama,kwakua wewe ni mpayukaji jaribu kurelax kidogo usiwe unapayuka tu ovyo ovyo!

King ni vizuri kama ungefuata ushauri wako mwenyewe...SOMA..ELEWA KISHA CHANGIA!!

Mwenzenu nashukuru sikuzaliwa mwanamke!
Nitarudi baadae kuendelea na list!!!!!

......
 
we typhoid hio typhoid ishakupanda kichwani.
Pole yako, sisi na ujanajike wetu ndo tunadunda bwn typhoid.
UTAJIBEBA KWA HERUFI KUBWA, NA WALA HUWEZI HATA KU APPEAL
 
mtu alivyo ni kutokana na mazingia yalivyomshape. Mwanaume ni mazingira ya mwanamke. Hivyo basi wanaume mmechangia kwa kiasi fulani kumfanya mwanamke awe hivyo alivyo. Unapomblame mtu wako wa karibu jiulize umefanya nini hadi akawa hivyo alivyo
 
Tujifunze kusoma kwanza ndio tuchangie,mtoa mada ashasema kwamba yeye ni mwanamke,pili maelezo yake yanaonyesha anamuelezea mwanamke kama mpenzi(girlfrien/fiancee/wife) na si mwanamke kama mama,kwakua wewe ni mpayukaji jaribu kurelax kidogo usiwe unapayuka tu ovyo ovyo!
Heshima sana Mkuu, hebu tuambie ni katika sentensi gani mtoa mada amejitambulisha kama mwanamke?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom