Mwanamke: Kama unaishi na mwanaume wa aina hii, basi pinga usikubali kuwa mjinga

mmmh! binafs nawza kuvumilia kila kitu but not kichapo manake pakifika hapa jamani tunatembezeana. uuuwiiiiiiiiii khaaa eeeh! ndipo litakapo timia lile neno mpalestina.

cheza vyovyote na mimi but usiniguse kwa kipondo lol! vingine vyote navumilia ila hili hapana na nilishalisema kabisaa.

kumbe gfsonwin ni palestina? Kwasha kyeku!
 
kumbe gfsonwin ni palestina? Kwasha kyeku!

Eeka kyaa dada ewe mbwa mashami ingai rhoo kyaa? enyi mbwa kisiki kunu mashami ya kati.
sa senywa eli kwashirerya kimashami le nkwe lee.............yaani shanseka na finyii sharaa foo mayoo tee!
 
Bila kujali kilichosababisha, kwa hiyo mmeo ikitokea akakupiga, utapigana naye?

Maana akikuzaba na wewe ukamrudishia, chances za kutokea mapigano ni kubwa?

Kongosho huwaga najiambiaga kabisa kwamba sitajiwekea mazingira ya kupigwa kwa maana kwamba sitajibizana nae ili kumpandisha hasira. ila pia sitoruhu mazingira hata ya kumpa nafasi kunyanyua kibao karibu yangu manake ukweli nitairudisha kwa staili ile ile. labda tu cha kwangu kitakuwa hakiumi kama chake.
 
Bila kujali kilichosababisha, kwa hiyo mmeo ikitokea akakupiga, utapigana naye?

Maana akikuzaba na wewe ukamrudishia, chances za kutokea mapigano ni kubwa?
Kongosho ndivyo ilivyo manake hakuna atakaye kubali kushindwa so to me kwakua najijua kabisaa huwa nikiona mtu kashaloose tempare nakaa mbali naye manake yanaweza kutokea hayo na anajua kabisa. kuna sura nikiona usoni kama nlikuwa ndani natoka nje nakaa nafanya kitu tofauti kabisa. tutaonana mood akirudi.

Binafsi mimi ni ngumi mkononi sana najijua.
 
Last edited by a moderator:
Hongera zako aisee.

Mie nadhani mbio huwa suluhisho langu lol

Kongosho ndivyo ilivyo manake hakuna atakaye kubali kushindwa so to me kwakua najijua kabisaa huwa nikiona mtu kashaloose tempare nakaa mbali naye manake yanaweza kutokea hayo na anajua kabisa. kuna sura nikiona usoni kama nlikuwa ndani natoka nje nakaa nafanya kitu tofauti kabisa. tutaonana mood akirudi.

Binafsi mimi ni ngumi mkononi sana najijua.
 
Eeka kyaa dada ewe mbwa mashami ingai rhoo kyaa? enyi mbwa kisiki kunu mashami ya kati.
sa senywa eli kwashirerya kimashami le nkwe lee.............yaani shanseka na finyii sharaa foo mayoo tee!
gfsonwin, yaani shanseka na finyii sharaa foo mayoo tee........................LOL

kilimanjaro-tanzania-155144.JPG
 
Me mwanaume akinitongoza namwambia kabisa kwamba nina mkanda mweusi so akithubutu kutawaka
 
nilivyoona heading tu nikajua Mtambuzi . Ila kaka kipigo kinaimarisha ndoa, waulize "wazee" wa kikurya.
 
Last edited by a moderator:
Aisee hii ni kweli tabia ya wazazi(mzazi) inaweza ikaja kumwathiri sana mtoto..kuna binti mmoja mama yake alikua jeuri sana haishi kugombana na mume wake tena mbele ya watoto wakubwa tuu..huyo binti alivyokuja kuolewa na yeye mfumo ukawa uleule maneno ya kashfa na dharau hayamuishi mdomon..bahati mbaya huyo mwanaume hakua wa sampuli ya baba yake ya kuvumilia..aliambulia kuachika..
Sisi kama wazazi inabidi kujitazama sana vitendo na maneno tunayotamka mbele ya watoto wetu...
 
baadhi ya wamama wanashndwa kusepa cz unakuta ana watoto alafu hajasimama kiuchum,ndo mana kuna umuhm wa kuwa financially independent,maumv yakizid unajikata kivyako ht watt utaweza kuwatunza
 
Uendelee hivyo hivyo hakuna sababu yoyote ya mwanaume kukunyanyasa kwa vipigo, kama ameshindwa basi afunge virago siyo kutaka kukuharibu reception yako au kukutia ulema.

Nani akishindwa afunge virago? Ni mwanaume yupi atakayekubali kufunga virago aondoke kwenye nyumba baada ya kushindwana na mkewe? Labda Marioo.....
 
baadhi ya wamama wanashndwa kusepa cz unakuta ana watoto alafu hajasimama kiuchum,ndo mana kuna umuhm wa kuwa financially independent,maumv yakizid unajikata kivyako ht watt utaweza kuwatunza
Una akili sana mdada! ...... na ukiondoka utasikia jeuri ya pesa au kazi! kila mtu akunyooshea kidole weye!
 
binafsi hii hali ilishanikuta wakati tuko wadogo ila nakumbuka nikiwa darasa la saba na mimi ndo nilikuwa wa mwisho kwetu, siku moja nilimwambia mama ni kwa nini asiondoke pale nyumbani coz alikuwa anapigwa sana, mama akasema akiondoka tutateseka nilimwambia kuwa kama ikitokea akakuua je nani atatulea? Akakosa jibu, baada ya kile kipindi akapigwa tena ma baba mie nilikuwa nimeenda shule niliporudi nilikuta mother analia kuwa ameumizwa! Mie nilishikwa hasira na kumwambia: Wewe kaa tu si umeamua mwenyewe kukaa. Nililia sana na kumlaumu mama kuwa anajitakia mwenyewe, ila baada ya mie kwenda sekondary aliondoka na mpaka sasa anasema mie ndo niliemshtua. Hali kama hiyo nilishaapa siwezi kuivumilia hata siku moja coz nilishaona.

soo..una admitt kuwa "ulivunja ndoa ya baba yako na mama yako"?...

Duuuhhh kama ni kweli basi wee mkareeeeeeee.
 
Back
Top Bottom