Mwanamke: Kama unaishi na mwanaume wa aina hii, basi pinga usikubali kuwa mjinga

ebana kuna wanawake wasipo pewa kichapo wanawashwa ko kipigo upande fulani kinahusika. amen...................
 
BAK umesema umesema kwa hekima sana ila kama jitu halina hekima hii aisee wewe mwaga mboga miye namwaga ugali kama mbwai na iwe mbwai kwani nini bana????............ khaaa!.................... ukiona mama anyedhalilishwa kwa kichapo utamuonea huruma halafu usiku jitu linakupekua eti linataka unataka????.................... aisee utaitafuta revola ama kopo la blue band. lakin miye hapana kwanza huko mbona hufiki arifuu uwiii heeeeeeeeeeeee!
gfsonwin bado unaendelea tu........................! LOL

Kuna watu humu wanaogopa kutia neno humu maana wanajua wako kwenye hicho kifungo cha kupigwa kila siku na hawana namna ya kutoka, wameshikwa na wanogopa jamii itawaonaje... Kaunga alisema katika thread fulani kwamba the so called, "Mpaka kifo kitakapotutenganisha" ni kiapo kinachowatesa wengi...............!
Haiyumkini ile dhana ya uhaba wa wanaume ndiyo chanzo cha wanawake wengi kukubali kugeuzwa gunia la mazoezi na mabwana zao kwa sababu kina Mzee Mtambuzi wako wachache........!
Mtu anakupiga halafu unaenda kwa mama mkwe au mama yako anakwambia, eti hata yeye alivumilia vipigo.......Khaaa! Halafu kwa ujinga na wewe unatulia unasubiri akuuwe, sasa ni nani mwenye kupata hasara.. Mwanamke wa aina hii kamwe hatouona ufalme wa mbinguni................
 
Last edited by a moderator:

...Halafu wengine hata huthubutu kuwatetea BFs/waume wapigaji na kudai ni mgomvi akishakunywa tu kama hajanywa ni mtu poa sana. Sasa ukimuuliza huko anakozinywea pombe zake ameshapiga wangapi? au huwa anasubiri mpaka arudi nyumbani kwenye punching bag lake ndio atoe kichapo? unaona mtu anapata kigugumizi...Inasikitisha sana kusema kweli.
 
kuvumilia kipigo siwezi nimelelewa sina hata chongo leo mwanaume aje anitie kilema nasepa taratibuuu
 
...Halafu wengine hata huthubutu kuwatetea BFs/waume wapigaji na kudai ni mgomvi akishakunywa tu kama hajanywa ni mtu poa sana. Sasa ukimuuliza huko anakozinywea pombe zake ameshapiga wangapi? au huwa anasubiri mpaka arudi nyumbani kwenye punching bag lake ndio atoe kichapo? unaona mtu anapata kigugumizi...Inasikitisha sana kusema kweli.
Kuna wale wanaokula kichapo kutoka kwa waume zao mpaka wanalazwa hospitalini hadi wanatoka, mume hana habari. Lakini, akitoka yeye ndiye mwenye kuhalalisha mumewe kutoenda kumwona wakati alipokuwa anauguza majeraha ya kipigo hicho. 'Najua ulikuwa na shughuli nyingi, wala usijali mume wangu, mradi nimeshapona.' Atamwambia mumewe kwa unyenyekevu.Haya ni maradhi mabaya sana na yanahitaji tiba ya haraka kuliko hata Malaria Sugu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
...Halafu wengine hata huthubutu kuwatetea BFs/waume wapigaji na kudai ni mgomvi akishakunywa tu kama hajanywa ni mtu poa sana. Sasa ukimuuliza huko anakozinywea pombe zake ameshapiga wangapi? au huwa anasubiri mpaka arudi nyumbani kwenye punching bag lake ndio atoe kichapo? unaona mtu anapata kigugumizi...Inasikitisha sana kusema kweli.

BAK mimi sipendi kuwaumiza wenzio kwa maneno makali yenye ukweli kama hapo ulipobold. Nimepigwa not once not twice, not even thrice but four times, na siku zote next day my abuser anapiga magoti na kulia na kuomba msamaha na anaajiapiza kuacha pombe. Mara ya nne nika sema enough is enough, mama yangu alishaingilia kati na nilikuja jua baadaye hadi my son, by that time he was only 6 or 7 alimuuliza uncle (si baba yake mzazi) kwanini unampiga mama.

So it took me 4 good beatings kugundua ndio tabia yake na kusema it is enough na kuamua kuget rid of him.
 
Mtambuz, shukran.
ni kwel kabisa , tabia za wazaz kwa watoto ndizo zinazaa matatizo makubwa katka ndoa za sasa. kwa wanaume suluhu za ndoa zao ni vipigo, matusi na ulevi, kuanzia getini hadi chumban na kipigo juu.
Akina mama nao jeuri, kiburi na matusi na hata kuita watoto wao majina ya wanyama kama mbwa, kenge, mtoka pabaya nk. na haya yote hutokea mbele ya watoto wao kwa maana hyo watoto watachukua tabia za wazaz na kukua nazo.
 
Pole sana Kaunga. Pombe huwa ni kisingizio tu vinginevyo wangekuwa wanapigana kila siku wanapozuka bar, lakini wakiwa Bar wanakuwa wapole hawachokozi mtu kwa kujua wanaweza kupata mkong'oto wa kufa mtu, wakirudi nyumbani ndio wanataka kuonyesha ubavu wao. Ukweli pamoja na kuwa unauma ni lazima usemwe. Pole sana.

BAK mimi sipendi kuwaumiza wenzio kwa maneno makali yenye ukweli kama hapo ulipobold. Nimepigwa not once not twice, not even thrice but four times, na siku zote next day my abuser anapiga magoti na kulia na kuomba msamaha na anaajiapiza kuacha pombe. Mara ya nne nika sema enough is enough, mama yangu alishaingilia kati na nilikuja jua baadaye hadi my son, by that time he was only 6 or 7 alimuuliza uncle (si baba yake mzazi) kwanini unampiga mama.

So it took me 4 good beatings kugundua ndio tabia yake na kusema it is enough na kuamua kuget rid of him.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu humu wanaogopa kutia neno humu maana wanajua wako kwenye hicho kifungo cha kupigwa kila siku na hawana namna ya kutoka, wameshikwa na wanogopa jamii itawaonaje... Kaunga alisema katika thread fulani kwamba the so called, "Mpaka kifo kitakapotutenganisha" ni kiapo kinachowatesa wengi...............!
Haiyumkini ile dhana ya uhaba wa wanaume ndiyo chanzo cha wanawake wengi kukubali kugeuzwa gunia la mazoezi na mabwana zao kwa sababu kina Mzee Mtambuzi wako wachache........!
Mtu anakupiga halafu unaenda kwa mama mkwe au mama yako anakwambia, eti hata yeye alivumilia vipigo.......Khaaa! Halafu kwa ujinga na wewe unatulia unasubiri akuuwe, sasa ni nani mwenye kupata hasara.. Mwanamke wa aina hii kamwe hatouona ufalme wa mbinguni................

Mtambuzi hapa umenena kinagaubaga!
Kinachotakiwa ni akina dada kuchukua hatua. Mwenye masikio na asikie na mwenye macho na asome na kuelewa!
 
mmmh! binafs nawza kuvumilia kila kitu but not kichapo manake pakifika hapa jamani tunatembezeana. uuuwiiiiiiiiii khaaa eeeh! ndipo litakapo timia lile neno mpalestina.

cheza vyovyote na mimi but usiniguse kwa kipondo lol! vingine vyote navumilia ila hili hapana na nilishalisema kabisaa.

zaidi ya mimba na kuzaa, hakuna kuvumilia mateso yeyote ya ndoa.
 
Uendelee hivyo hivyo hakuna sababu yoyote ya mwanaume kukunyanyasa kwa vipigo, kama ameshindwa basi afunge virago siyo kutaka kukuharibu reception yako au kukutia ulema.

hapo kwenye red ,kweli kabsaa mii dadangu aliolewa baada ya wiki mbili alipata kipigo cha mbwa maskini mjicho huo ukamvimba ,hivi mijianaume aina hii inafikiri mwanamke ndo punching bag khaaa
 
hivi, mfano unajikuta mmeo kakuzaba kibao, unaachika?
Kongosho huwaga najiambiaga kabisa kwamba sitajiwekea mazingira ya kupigwa kwa maana kwamba sitajibizana nae ili kumpandisha hasira. ila pia sitoruhu mazingira hata ya kumpa nafasi kunyanyua kibao karibu yangu manake ukweli nitairudisha kwa staili ile ile. labda tu cha kwangu kitakuwa hakiumi kama chake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom