Mwanamke huyu ananifaa?

Pole kaka, ongea na demu wako ya kuwa hupendezwi na hiyo tabia. Akishindwa kuacha tafuta mwingine wa kufanana nawe!
 
Mwambie hiyo hela anayotumia kulewa adundulize avute umeme nyambani kwao.

Halafu unasema sio chapombe wakati saa 8 usiku yupo bar?! Hv mpaka saa 8 ameshakunywa bia ngapi?take care bro maisha yako ni ya thamani kuliko huyo mlevi.
 
Inaelekea unampenda huyo mdada ndio maana umeleta shauri lenu hapa jamvini. Jaribu kumuelewesha kwamba tabia yake ya kuwepo bar kupa kinywaji mpaka usiku wa manane huipendi na hivyo kuomba abadili tabia hiyo, kama hayuko tayari kufanya hivyo basi usiendelee kupoteza muda wako bure.



 
Last edited by a moderator:
Lakini mkubwa mi ninachofikiri ni kwamba aidha ulifanya makosa mwanzo wa mahusiano yenu kwani kabla ya kuingia ndani zaidi ulutakiwa kujua huyo binti anapendelea nini? ingekuwa rahisi tu kwako kujua kama ankufaa au hakufai.

kwani tabia ya mtu huwa haibadiliki ila inajificha tu kwa muda.

Try to go for other
 
Ni ngumu sana kuishi na mwanamke anaenda bar kunywa pombe. Wala haipendezi mwanamke kunywa pombe. Mi nakushauri ujiangalie upya kama unaweza kuishi na mwanamke mlevi?? Pili kaa naye umwambie ukweli kuwa aache pombe, hupendi.Ikishindikana angalia moyo wako utakushauri nini..
Angalizo: Anaweza kuacha pombe kwa sasa ila baadae ukishamuoa anaanza tena kunywa pombe. Hapo utafanyaje???
 
Kama unampenda utamlinda. Nenda naye huko bar, umsubiri wakati anakata Ndovu zake, we uko na fanta yako saaaafi. Kwani tatizo liko wapi hapo?
 
Huyu anakufaa sana tatizo hujamjulia kbs,
Huyu bint ni aina ya wale wanaopenda outing,sasa wewe unakuwa unashinda hm tu jaman unatarajia nn?
Cha kufanya hebu jaribu kuwa busy naye,kuwa unatoka naye kila nafasi inapopatikana,Nampeleke sehemu za kistarabu aone na waichana wenzie wanavyobihavu maeneo hayo,na mweleze kile usichokipenda,
Hakikisha unapunguza mda wa yeye kuwa na hao marafiki zake na mda mwingi uwe naye ww,
Kwa stail hiyo km utakuwa unamfurahisha huko muendako atataman kutoka na ww zaidi kuliko hao mashost,
N amwisho wa siku hata hiyo pombe ataacha tu!
 
Judgement, ndege wafananao huruka pamoja, kama wewe hunywi halafu yeye ni mnywaji wa kukaa baa hadi usiku wa manane ni wazi hafai kuwa mkeo.
Ktk kipindi cha urafiki na uchumba ndipo mtu huweza kujificha au kujirekebisha nyendo na tabia zake ambazo kama hakuziacha wakati huu basi makucha atayatoa mkishaoana.
Ushauri wangu ni kuwa achana na huyo binti dogo, vinginevyo utajilaumu hadi mwisho wa maisha.
Gharama ya kuachana naye hivi sasa ni ndogo, mkishaoana huwezi kuilipa, itakutafuna hadi mwisho wa maish
 
Mwambie kama hupendi hiyo tabia na kama anashindwa kuacha basi jipange, kwani wazuri wapo hawaja isha labda hana kheir na wewe.
 
ukiweza kuwa na principle kama yangu:"mwanamke mvutaji sigara&/mnywaji hana hata nafasi ya kuwa rafiki yangu".
 
Nawashukuruni wote mlionishauri, kazi kwangu.

Huyo Binti anahitaji maombi kwa Mola..ili ajijue yeye binafsi kuwa wewe unategemea yeye kuwa Mama wa familia yako...

Tunaamini Mama wa familia ndiyo nguzo ya mwisho na mlinzi wa familia.. kwani "kizungumkuti" cha maisha kikimpita Baba basi Mama awe tayali kuzuia kabla familia haijaenda mlama....

Hatupingi wala kukataa "outing" na ma-best..lakini ....tunaogopa "outcome za ulevi kupindukia'.. Kuna msemo redioni..."Tahadhali kabla ya Hatari"...

All the best!
 
Ukiona ivo ujue apo amejitahidi kuficha her true colours kwasababu hujamuoa. Ukimuoa utakua unamuokota mitaroni asubuhi.
 
leo ndo nimeamini kwamba kama ilivyo jamii iliyotuzunguka basi halikadhalika na jf/mmu ni full mfumo dume,too sad.
Wakuu hebu put this in reverse,hivi ingekuwa anayekata ulabu ni njemba na aliyelalamika kuhusu unywaji wa mchumba ni msichana,hivi kuna mtu angenyanyua mdomo kusema waachane? Why?,nauliza why? Wote mlioshauri waachane nijibuni hili swali why? Mme kunywa na kuvuta fegi halal kwa mwanamke haram? Haki kweli?
Ushauri wangu kwa mtoa mada,go ahead and marry her,you will live happily thereafter,asikuzengue mtu,you love her marry her,period,kwani pombe nini bana.
 
The "Law of Attraction" inasema "like attract like" .........
Mhe. Kweli, hii Law uliyoonesha hapo ninashaka kama ilishaingizwa kwenye vitabu , Ngoja niendelee kupekua vifungu labda nitakutana na latest publication zinazozungumzia hii nijuavyo " Like ... repel one another " while " unlike ... attract one another "
Note : ... unaweza ingiza say Charges , Magnetic Poles , hope you can apply it to human life too, e.g. " unlike Sex attract one another "
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom