Mwanamke huyu ana mapepo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,738
155,426
Dear Admin,
i am a 23 years gal.
Have been in a relationship with
my sisters husband for 5 years
now without my sisters noticing,
sometimes we stay together,
sometimes i stay away from them,
it started immediatly i cleared my
high school..
i dont know how its happen but i
felt in love with him because he
was my 1st man,
upto now i love him and he too
loves me,
im almost clearing my university
studies only some months
remaining...
I have told him to break up
because i dont want my sister to
know this but he insisted on
marrying me!
im totally confused by now
because i need 2 settle after my
studies.
what can i do to make them
divorce?
Is there any strong witch craft
who can help?
Advice me please
 
Dear Admin,
i am a 23 years gal.
Have been in a relationship with
my sisters husband for 5 years
now without my sisters noticing,
sometimes we stay together,
sometimes i stay away from them,
it started immediatly i cleared my
high school..
i dont know how its happen but i
felt in love with him because he
was my 1st man,
upto now i love him and he too
loves me,
im almost clearing my university
studies only some months
remaining...
I have told him to break up
because i dont want my sister to
know this but he insisted on
marrying me!
im totally confused by now
because i need 2 settle after my
studies.
what can i do to make them
divorce?
Is there any strong witch craft
who can help?
Advice me please


Ndugu yangu sio mapepo, haya yapo sana katika jamii zetu sema wengi wao hawasemi.Lakini cha kujiuliza kama yeye ameweza kudumu naye kwa zaidi ya miaka mitano sasa na bado anaendelea naye, unataka kuniambia kuwa kwa miaka yote ya shule hakuweza kupata mwanaume mbadala?
Mwambie atueleze kwa hilo ili tujue pa kuanzia kutoa ushauri.
 
Japo sikubaliani kabisa na hicho kitendo cha huyo binti na shemejiye lakini nadhani huyo binti hana haja ya kukimbilia kwa waganga ili amdhuru dada yake. Mwanaume amwambie mkewe kuwa anataka aongeze mke na asifikirie kumwacha huyo mke mkubwa then amchukue huyo binti, japo itasumbua lakini baadaye italeta unafuu (kuna makabila yanaruhusu hilo la kuoa mtu na dada yake, hata la kwetu wanaita kusakula mtu akioa dada na mdogo mtu). Miaka mitano ni mingi hadi inauma. Hebu fikiria ndo wewe unamwoa huyo binti na ukajua kuwa alikuwa anafanya ujinga huo na shemeji yake, je baadaye ukitembelewa au yeye akiwatembelea utakuwa na amani kweli??
 
wa kulaumiwa mwanaume alimrubuni huyo binti wakati akiwa na miaka18,sasa bint kakolea kumuacha shemeji yake hawezi.
 
Loh..mtihan huo.. Mapenzi haya bwana,na yeye dogo hata nafsi kumsuta maana hajaona mtarimbo mwingne wa kuuchezea mpaka ule anaotumia dada yake jamani.. Inakera sana!
 
unaangalia tamthilia ya "A WOMAN OF STILL"? acha izo mambo ivana, chukua nafasi ya dada yako ujiulize utajisikia vipi ingekuwa ni wewe! mbona wanaume wapo wengi sana, uamuz wako tu. ukishindwa wa kitaa hata humu jamii forum wanatafuta wachumba.
 
Mkewe atakubali kumruhusu mumewe aongeze mke mwingine?
Hata akimruhusu, hali itakuwaje akiona mke anayeongezwa ni mdogo wake wa damu?
Japo sikubaliani kabisa na hicho kitendo cha huyo binti na shemejiye lakini nadhani huyo binti hana haja ya kukimbilia kwa waganga ili amdhuru dada yake. Mwanaume amwambie mkewe kuwa anataka aongeze mke na asifikirie kumwacha huyo mke mkubwa then amchukue huyo binti, japo itasumbua lakini baadaye italeta unafuu (kuna makabila yanaruhusu hilo la kuoa mtu na dada yake, hata la kwetu wanaita kusakula mtu akioa dada na mdogo mtu). Miaka mitano ni mingi hadi inauma. Hebu fikiria ndo wewe unamwoa huyo binti na ukajua kuwa alikuwa anafanya ujinga huo na shemeji yake, je baadaye ukitembelewa au yeye akiwatembelea utakuwa na amani kweli??
 
yaani ndugu wa damu akigusa napopumzikia? Hata kama ni raisi wa dunia na mzuri kama Joseph ni mwisho hapo hapo.
 
Maumivu ya kichwa huanza pole pole. Huu ni mtihani mkubwa. Dada wa watu masikini sijui ana watoto wangapi. Wavunjwe ukimya. Then waone reaction ya Dada mtu. Kama watakubaliana basi waishi pamoja...
 
Inauma! Haipendezi! Inasikitisha! Miaka mitano?? Anyway siwezi kukulaumu maana sijui mimi ningekuwa wewe ningefanya nini..LAKINI nafasi unayo,,uwe wa kwanza kumuacha pasipo kumhurumia.Kata mawasiliano,usijenge mazingira ya wewe kuwa karibu nae.KAMA KWELI UNAMPENDA tarajia mimba,ugomvi na dadako,aibu na hatia ya moyo.Chagua kusuka au kunyoa japo Kusuka au Kunyoa ni usafi.ILA ULIVYOMTENDA DADAKO INATOSHA
 
najaribu kufikiria siku mapepo yakifa yatachomewa moto gani?kila kitu ni wao tu
 
Mkewe atakubali kumruhusu mumewe aongeze mke mwingine?
Hata akimruhusu, hali itakuwaje akiona mke anayeongezwa ni mdogo wake wa damu?

Itategemea na kabila lao na mawazo yao, lakini kwa hilo nadhani itawezekana, maana umesema anafikiria kumtafuta hata mganga wa kienyeji kiasi kwamba yuko tayari hata kumwua dada yake. Si afadhali uwashauri wakubaliane kuishi pamoja??
 
Mkewe atakubali kumruhusu mumewe aongeze mke mwingine?Hata akimruhusu, hali itakuwaje akiona mke anayeongezwa ni mdogo wake wa damu?
Mkuu Bujibuji, inategemea asili ya huyo mke na mdogo wake. Kama ni wajaluo hakuna tatizo kabisa na ni ruksa kuoa mtu na mdogo wake. Sometimes kama huduma yako kwa mkeo inawaridhisha wazazi wake, unaweza kupewa mdogo wake kama bonasi. Mjaluo ambaye ataona nimesema uongo naomba anisute tafadhali.
 
Hamna pepo hapo, ni ukosefu wa upendo wa dhati kwa dada yake na maadili pia. Mara nyingi husababishwa na tamaa ya vitu vidogo vidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom