Mwanamke gani anafaa kuoa?

Sasa wewe nawe maswali yamezidi mno ushaambiwa mwalimu unataka tena msingi or sec, ukijibiwa utauliza anayefundisha somo gani???

Punguza uchaguzi Ivuga utaambulia koroma wewe haya mie nimejitolea umesema nimeolewa (Sijui nani alikwambia na kwa ushahidi gani)

poa dada hujaolewa. Kwa hiyo wewe upo kundi gani?
 
Wanawake wapo wa aina nyingi na wanatofautiana kwa kiwango kikubwa. Lakini nataka kujua mwanamke wa aina gani anafaa kuoa? Anayefanya kazi--askari, daktari, mwalimu,mwanasiasa,mfanyabiashara . Mwenye elimu. Au mama wa nyumbani tu ambaye hana elimu yoyote na hafanyi kazi yoyote au kumchukua mwanamke aliyekuwa housegirl wa mtu? Nataka kujua tu ni mwanamke wa aina gani kati ya hawa anafaa najua wote wana faida na hasara zao but yupi ana faidi nyingi kuliko mwenzake. Thanks guys!!

...muadilifu, mwenye maadili na kufuata misingi ya Imani yake.
...mwenye heshima na kujiheshimu,
...mwenye busara na akili yake timamu.
...asiwe mvivu, mchoyo, au mbinafsi...
...mwenye afya nzuri kiujumla.

kisha ndio uanze kuangalia elimu yake, kazi yake, urembo wake nk...
 
Busara na hekima za hali ya juu Mkuu. Ahsante sana. Naona kuna mchapo mzuri sana unakuja kati ya majirani wa Manchester kwenye semifinals za FA.

Busara na hekima za hali ya juu Mkuu. Ahsante sana. Naona kuna mchapo mzuri sana unakuja kati ya majirani wa Manchester kwenye semifinals za FA.

...ha ha ha, ...Sshhhhh!.... BelindaJacob ni memba kwenye jukwaa hili, akitusikia atatuanzishia timbwili kaka!
 
...muadilifu, mwenye maadili na kufuata misingi ya Imani yake.
...mwenye heshima na kujiheshimu,
...mwenye busara na akili yake timamu.
...asiwe mvivu, mchoyo, au mbinafsi...
...mwenye afya nzuri kiujumla.

kisha ndio uanze kuangalia elimu yake, kazi yake, urembo wake nk...

asante sana mbu....avator yetu ille imeenda wapi aisee
au ndio umeamua kuja kimapenzi zaidi?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mke mzuri ni yule utakayemuona mtamu tu,mengine hutayasikia hata ukiambiwa mchawi!
 
Mwanamke mzuri kwa ndoa ni yule unayeona mwaweza endana tabia, anayekuvutia kihisia, mwelewa wa mambo na mwepesi wa kujifunza, upendo wa kweli na dhati kwako ni kigezo muhimu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom