Mwanamke gani anafaa kuoa?

Ivuga hata mi naona nafaa!!!
Lakini kiukweli mke anayefaa ni yule ambaye nafsi yako inamkubali, na kuambatana naye.
 
Ivuga hata mi naona nafaa!!!
Lakini kiukweli mke anayefaa ni yule ambaye nafsi yako inamkubali, na kuambatana naye.

ndio maana nimeuliza kwa ssababu nafsi inaweza kuonyesha kuwa fulani anafaa kumba matatizo kibao ndugu yangu.
 
ha ha ha! Kupm hadi uombe ruhusa jamani.

usihofu dear, ujue mimi niliorozesha aina za mabinti pale na wewe ukasema kuwa unafaa so nilikuwa nataka kujua upo kundi gani lakini sio kwamba nataka nikuweke ndani coz nafikiri watu washakuwahi long T
 
kundi langu hujalitaja.
Back to topic: anayefaa ni yule utakaekuwa umeridhika nae na yeye ameridhika na wewe kwa kila kitu.
Watu wengi hawaanzi kufahamiana kazi.
Unaweza ukamzoea mtu hadi ukahisi kumpenda ila kazi yake ukaja kuijua b'dae kabisa.
 
ok, mwanafunzi. Kundi lako nishalitaja.
 
linapokuja suala la mahusiano hakuna suala la ujumla wa ubora (concensus). Kila mtu na vigezo vyake
 
kwa mungu tena?. Kwa hiyo nisitongoze mwanamke ninayemtaka?

Na wewe ivuga! unatongoza na ukipatana nae na mkawa na connection mkaendana tabia na kila kitu,mkasikilizana,mkaelewana then mkaoana na mkaishi kwa amani, hapo imani inatuambia kwamba mungu ndie aliyetuongoza kupata mtu wa aina hiyo au siyo ivu
 
shule ya msingi au secondary?

Sasa wewe nawe maswali yamezidi mno ushaambiwa mwalimu unataka tena msingi or sec, ukijibiwa utauliza anayefundisha somo gani???

Punguza uchaguzi Ivuga utaambulia koroma wewe haya mie nimejitolea umesema nimeolewa (Sijui nani alikwambia na kwa ushahidi gani)
 
Ukiweka vigezo vya uzuri, kazi, elimu... utakuwa unapenda hivyo sio yeye. Mfano, umempenda kwa sababu ya kazi au uzuri wake, siku akiwacha/kuachishwa kazi; siku akipata ajali uso ukaharibika, si utamkimbia?
Kwa maoni yangu, mke anayefaa kuolewa ni yule mwanamume anayempenda. Mapenzi hayaoni yote hayo na anayependa hakuna ushauri ataofuata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom