Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Wanawake wapo wa aina nyingi na wanatofautiana kwa kiwango kikubwa. Lakini nataka kujua mwanamke wa aina gani anafaa kuoa? Anayefanya kazi--askari, daktari, mwalimu,mwanasiasa,mfanyabiashara . Mwenye elimu. Au mama wa nyumbani tu ambaye hana elimu yoyote na hafanyi kazi yoyote au kumchukua mwanamke aliyekuwa housegirl wa mtu? Nataka kujua tu ni mwanamke wa aina gani kati ya hawa anafaa najua wote wana faida na hasara zao but yupi ana faidi nyingi kuliko mwenzake. Thanks guys!!