Mwanamke: Dalili zitakazomfanya mpenzi mpya akuone wewe ni king’ang’anizi…!

Umejuajeee! Mimi hilo la urafiki na mamushka mkwe limenishinda kabisa, kila nikijaribu holaaa! Pamoja nakumaliza hela zangu kumnunulia miwaxx ya west africa bado tunatoana jasho
 
Mh Gustavo .lol!
Hebu toa na za upande wa pili ili tuweze kujadili kwa mapana
 
khaaa! hii inanibidi niilie msuli kidogo manake ninaona kama kuna maeneo natofautiana sana na mtazamo wako.
 
khaaa! hii inanibidi niilie msuli kidogo manake ninaona kama kuna maeneo natofautiana sana na mtazamo wako.

Aaaaah gfsonwin, mie sio mhafidhina bana, kama unatofautiana na mimi wewe weka point zako hapa, kamwe sichukizwi na mtu anayetofautiana na mimi, kwani humu tunajifunza wote....... Naomba sana usisite kutoa mtazamo wako bila kujali kama nitafurahi au sitafurahi,....
karibu dada ukumbi ni wako.
 
Last edited by a moderator:
Aaaaah gfsonwin, mie sio mhafidhina bana, kama unatofautiana na mimi wewe weka point zako hapa, kamwe sichukizwi na mtu anayetofautiana na mimi, kwani humu tunajifunza wote....... Naomba sana usisite kutoa mtazamo wako bila kujali kama nitafurahi au sitafurahi,....
karibu dada ukumbi ni wako.

kabla sijajaja na mashoka yangu hebu niambie hapa unaongelea wapenzi ambao ndo kwanza ni bf &gf ama ambao wapo kwenye uchumba ama ambao tayari wako ndoani?
 
kabla sijajaja na mashoka yangu hebu niambie hapa unaongelea wapenzi ambao ndo kwanza ni bf &gf ama ambao wapo kwenye uchumba ama ambao tayari wako ndoani?

Mwanamke: Dalili zitakazomfanya mpenzi mpya akuone wewe ni king'ang'anizi…!
Hizi ni miongoni mwa sababu ambazo wanaume wengi huchomoa mapema kwa wapenzi wao wapya kabla uhusiano haujashika kasi. Kuna wakati wanawake hukosea na kuvuka mipaka mwanzoni tu mwa uhusiano. Anamganda mwanaume haraka sana au anaonesha dalili zote za kujipendekeza kupita kiasi. Lakini jambo ambalo wanawake wengi hawalijui ni kwamba, wanaume wako makini sana kuwakwepa wanawake ving'ang'anizi……..

Hapo kwenye RED panahusika sana dada yangu..............
Nimezungumzia wapenzi wapya mbao bado hawajafanya maamuzi ya kufunga pingu za maisha.. Haya sasa njoo na mapanga yako na mashoka dada
 
aahaa! sasa kwanza kabisa sikubalian na wewe kwamba binti kapata rafiki halafu amng'ang'anize eti akamwambie mama yake ama akataka kujikomba kwa mama mkwe. nakukatalia kwasababu mahusiano mapya siku zote huwa tunayafanya siri zaid kukwepa wapaambe.

pia sidhan kama mwanmake atahamia kwa bf pasi bf kuridhia kwasababu anaouwezo wa kumkatalia.
 
...sio wanawake wote wenye akili, wengine akishachek tu akaona "uko safi" especially financially, anahamia kwa kisingizio zha kuja kukusaidia domestic work, akupikiepikie, asafishe nyumba nini, atengeneze garden, kimbelembele kweli, ukiwa na gari ndio usiseme, atapenda umdrive kwenda chuo kwa mfano, wakati wewe bado hujafikia consensus na moyo wako kuwa umependa ama umetamani...hii wanawake wasio smart vya kutosha wanafanya saaaana...

ila wanawake nao hukerwa na mambo kama haya from wanaume wanaojaribu kuanzisha mahusiano nao;

mwanamke mwenye akili hapendi kutanguliziwa sana hela mno kama ndiyo kigezo cha kujenga mahusiano

mwanamke mwenye akili hapendi mwanaume ambaye mazungumzo yake yamejaa kujisifu tu na kujaribu kuonesha maisha yako yamejaa success tu wakati ulimwenguni hapa kila mtu shida anapata japo ni kwa zamu. ukipunguza kujifagilia halafu success zako zingine akaanza kuzidiscover moja baada ya nyingine kwa kadiri mnavyozoeana, atakuheshimu

mwanamke mwenye akili hapendi mwanaume ambaye anajaribu kukopi maisha ya mtu au watu flani. moja ya vitu ambavyo mwanamke anahitaji ni mwanaume smart upstairs, sasa kama kila wakati maisha yako yanategemea mawazo ya watu wengine tu huwezi kuwa na maamuzi ya kwako, daah mwanamke anapoteza matumaini na kukuona ni wa kiume tu

wanawake at the first encounters hawapendi kuulizwa kuhusu mipango yao ya baadae ya kimaisha. mkizoeana vizuri akakuamini atakuambia. sio unaonana naye mara ya kwanza kwanza unapiga "where do you see urself in like 3 or 4 yrs to come". si kwamba ladies hawana mipango, ila unamuuliza kwa ajili gani? je, unamuona kama amesinzia kimaisha? hata kama brother una nia safi tu, kwa mara ya kwanza ndivyo mdada atakavyohisi. Patience brother...first encounters are good to talk of career but not to dig so much into it. jitahidi kuwa na casual talks, vitu vya kuleta pumziko kwenye akili, entertaining stuff kama JF hivi...lol


patience brother... a wise lady will lose interest to a brother who shows interest in the lady's body during first encounters. jitahidi sana macho yako yaelekee machoni kwake instead of kifuani kwake (it's a turn off) (yaangalie akiwa hakuangalii labda...lol). however don't forget to tell her she's beautiful...nobody shuts doors to compliments but don't go further than that.

a serious lady hatopenda majina ya "baby" "darling" "honey" "sweety" n.k kama hamjajenga mazoea ya kutosha. haya yakifanywa haraka atakuona ni kiplayboy tu, kisharobaro flani hivi. ataona una kimbelembele cha kutaka kumvuta kwa nguvu kihisia, utaonekana muongo anayetumia the oldest tricks in a book. mwanamke muoneshe kwanza upo nae kirafiki zaidi badala ya kimapenzi, then onesha kwamba unamjali, kama chemistry inakubali, utaona signs na muda muafaka wa kuingia kimalove zaidi.

mwanamke hapendi kufuatiliwa kulikozidi. kwa kawaida wanapenda uwaoneshe una wivu na hupendi ur woman awe wa huko na huko ila ikizidi, ni turn off.

brother kama unawasiliana na mwanamke unayejaribu kumfanya awe mpenzi wako, usiwe ndio kiiiiiiiila mara simu, asubuhi, mchana, jioni, kiiiiiila siku, utamboa na kumpa feeling huna kazi ya kufanya. wanawake wakiwa wanawasimulia wenzao alafu wakasema "my guy is usually busy" (sizungumzii ubize uliopitiliiiiiiza), trust me they say it with pride in them (hata wakinikatalia, ni fact!). coz wakisema hivyo kwa nje, kwa ndani wanasema "my guy has sth to do, he ain't a sit around freak" (hata kama hujaajiriwa, kama unajishughulisha na dira yako inaeleweka, a lady will lyk it)...the opposite of this is a total persona non grata to ladies


don't dare to always insist to a lady (mwenye akili zake lakini) to come to your place...haraka sana atahisi vinginevyo kama hajakuzoea vya kutosha, and she will lose comfort with u.

...kabla sijasahau, usafi wa mwili ni muhimu, tena sana tu...but dnt be a neat freak...acha habari za kujifanya una kinyaa mno, yaani unaona uchafu kidogo pahali (kama mmenda restaurant na kuna vumbi kidogo kwny viti labda) unaoverreact kupita maelezo...in most cases unampa mdada feeling ya kuona kwamba itakuwa ngumu sana kukumaintain na kwamba una a very complicated personality...

dah ni hayo machache from this head, I can stand corrected though...
 
Aksante Baba Mtambuzi. Uzi umenyooka baba. Ingawa nashindwa kuilink hiyo ya mwisho na ung'ang'anizi!! My bad huwa ninaichukulia kama ishara ya kutokukubali matokeo ndo maana kila saa wamzungumzia ex wako kumbe kuna element za king'ang'anizi??
Kaunga aksante kwa post yako hiyo ya mwanaume anayependa kutambulisha kwa wazee mapema,...........wa hivyo mie naogopa aisee. Napenda mtu anifahamu na kuridhika kabla hajenda nipeleka kwa wazazi wake.
Kaunga, yes it feels good kutambulishwa but honestly kama unaenda halafu unatambulishwa kama ........Huyu ni rafiki yangu tunasoma wote, tunafanya kazi pamoja (Ilhali weye ulitegemea intro ya chai ya maziwa!)
 
Last edited by a moderator:
Hamuwezi kutuona kuwa ving'ang'anizi kwa sababu ung'ang'anizi kwenu ni kitu positive. Tofauti iliyopo ni kwamba kwa wanaume ung'ang'anizi ni kitu negative, lakini kwa wanawake ni kitu positive. Mking'ang'aniwa ndo mnafurahi na kuona mnapendwa. Ikitokea mwanamke akakuona we king'ang'anizi basi labda hakupendi au hana matarajio yoyote na wewe.

Hapana mimi sipendi kung'an'ganiwa
 
Umejuajeee! Mimi hilo la urafiki na mamushka mkwe limenishinda kabisa, kila nikijaribu holaaa! Pamoja nakumaliza hela zangu kumnunulia miwaxx ya west africa bado tunatoana jasho

Unamnunulia wa nini? Muache akupende mwenyewe bila kushawishiwa na vitu unavyomnunulia, usimnunulie ile uone true colour yake.
 
Back
Top Bottom