Mwanamke ataka kumuua askofu kwa risasi Iringa katikati ya misa

mwanamke ambaye jina lake halikufamika alivamia madhabahu huku misa ikiendelea na kuchomoa bastola kwa lengo la kumuua askofu wa jimbo kuu la njombe alfred maluma. Ila mwanamama huyo hakufafanikiwa kwani padri mmoja aliyejulikana kwa jina la ngiri alimrukia kwa haraka na kumpokonya ile bastola, badae ilifahamika kuwa ile bastola ni ya padri mmoja ambaye jina lake hata hivyo halijatajwa na uchunguzi wa polisi unaendelea
source:mwananchi.co.tz

sababu ya kutaka kumuua wamesema ni nn?
 
Mwanamke atakakuuwa "Maluma" arukiwa na "Ngiri" ......Nakwambia ukichimba undani kidogo utakuta kulikuwa na utatu wa ngono hapo, bastola ya padri mwingine, WTF?! How did she get the gun from another pastor? Man nowadays these pastors are just as corrupt as anyone, with them drinking and addicted to sex with kids.
 
Back
Top Bottom