Mwanamke anayetukana ananikosha sana

Sawa hata humu wamo wanaoweza kutukana, kama unabisha omba waku-pm matusi yatakusaidia siku mama watoto wako amesafiri utakuwa unayosoma kisha unawahi toilet
 
Utakuwa umekulia mwanyamala ujiji mpakani na tandare, au magomeni mapipa, au buguruni kwa mnyamani.

Siku Mungu akijaalia uishi kwingine utapata shida sana.
 
hayo ni mapenzi na kila mtu anaburudika anavyotaka na anayafanya vile apendavyo yeye
 
S&M,BDSM na mafetish ya kumwaga,haya makitu bado hayajashamiri bongo kabisa,ila yakianza yatasambaa kama uyoga.
 
Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu

Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.

Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.

Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.

But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...

(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)
Duh,sasa hiyo kwako ni Asset au Liability?
Kesho mwaka mpya,panga kuacha huo ujinga!
 
Habari wadau,
Mimi mgeni humu jamani naomba ruhusa yenu nipost humu

Mimi bwana huwa napenda sana mwanamke anayetukana...Yani mwanamke akiwa anatukana mi huwa napanda genye balaa. Haswa yale matusi ya nguoni yale.

Nakumbuka nilipokuwa form six mwaka 2000, kuna demu mmoja jirani yetu niliwahi kumrekodi anatukana ndo nikawa naitumia "kurekebisha mambo fulani" nikiwa chooni.

Hata wakati naoa nilikuwa nimeweka kigezo kikubwa kuwa mwanamke lazma awe anajua kutukana. Nilishawahi kwenda kutoa posa sehemu nikamwita mschana pembeni nikamuomba anitukane (Of coz alishangaa) nilivyoona ananitolea tu mimacho nikasepa.

But huyu niliyenaye muda huu anatukana balaa. Kwa hiyo naenjoy tu....Nikifika tu home anaanza matusi basi fasta tunaelekea chumbani...

(Nasubiri kusikia mwingine aseme naye ana tabia kama hii)

mkuu wamaanisha ata akikutukana na mamako pia unaskia raha zaidi?
 
S&M,BDSM na mafetish ya kumwaga,haya makitu bado hayajashamiri bongo kabisa,ila yakianza yatasambaa kama uyoga.
Fetish mtu yuko nayo tu.... Kama ugonjwa... Sio hadi aone...
Lakini wengine kweli wakiona ndo wanajua Aaah this is for me....
Huu uhuru sijui utatupeleka wapi huu.... Society ya ajabu sana inatengenezeka
 
Back
Top Bottom