Mwanamke anayejiweza kimaisha

Come on Dark City just loosen up a little kwa ndugu zako wa kike. Kwani miwani ya jua nayo inakuwa issue tena wajameni??
Huyo anayevaa usiku naye hayuko sawa kwa kweli.

JS,

Mbona mimi napenda sana wadogo zangu wapate raha na Mungu awapatie waume wema kama mimi?. Ila miwani hiyo nayo ni tatizo.

Kama wewe una tambia njema usihofu kabisa. Ila kama na wewe umeanza kuongelea puani na tena kiswahili cha ki-Spanish basi ujue kazi unayo. Vinginevyo usiwe na shaka! Hata hivyo usithubutu ku-cross boundary eti? Maskini kwa maskini na wenye nazo wao kwa wao, sawa!!:nod::nod:
 
Atatumia pesa yake kama bakora kukuadhibu na kama ndo unaishi kwake dah unakuwa mtumwa nimeshuhudia jamaa zangu

Siyo wote Fidel labda huyo awe hana mapenzi ya dhati, wadada wengi tu pesa wanazo, kama ni kitabu kwa sana lakini bado wananyanyaswa na wanaume mpaka mtu unajiuliza ni kwanini lakini?
 
JS,

Mbona mimi napenda sana wadogo zangu wapate raha na Mungu awapatie waume wema kama mimi?. Ila miwani hiyo nayo ni tatizo.

Kama wewe una tambia njema usihofu kabisa. Ila kama na wewe umeanza kuongelea puani na tena kiswahili cha ki-Spanish basi ujue kazi unayo. Vinginevyo usiwe na shaka! Hata hivyo usithubutu ku-cross boundary eti? Maskini kwa maskini na wenye nazo wao kwa wao, sawa!!:nod::nod:

Sawa DC ushauri wako nitazingatia.
 
Siyo wote Fidel labda huyo awe hana mapenzi ya dhati, wadada wengi tu pesa wanazo, kama ni kitabu kwa sana lakini bado wananyanyaswa na wanaume mpaka mtu unajiuliza ni kwanini lakini?


Mapenzai ya dhati ni idea ngumu sana na hasa inapojitokeza kuwa kuna kitu inchoweza ku-induce relationship. Mara nyingi inakuwa hypothetical zaidi na ndiyo maana watu wengi wanagundua baadaye kuwa walikuwa wanatumiwa tu!
 
Wengine tuko addicted na shades.....kuanzia 8am-8pm summertime.......sasa bongo i believe ni kama summertime mwaka mzima ila tunavaa shades from 7am-6pm.........jua kali protect ur eyes from uv radiation.....sio u-sista du wala u-brazameni......
 
sio wote na wengine mnasababisha nyie, ukae kwangu nikusaidie hili na lile bado nijue unanichezea rafu...nakutimua faster.

Umeona hii. Haya ndo kwanza hata hujaingia ndani. Mwanamke mwenye mkwanja noma ingawa sii wote lakini majority ndivyo walivyo.
 
Atatumia pesa yake kama bakora kukuadhibu na kama ndo unaishi kwake dah unakuwa mtumwa nimeshuhudia jamaa zangu
Kweli bwana make kila kitu likitokea jambo, wanasema msubiri mama, wakati we upo! Mie siwezi hali hiyo
 
Apo mdogo wangu mwogope Mungu (japo najua huvai) lakini kweli kwenye gari kunakuwa na jua? mbona basi magari mengi yanayoendeshwa hapa sio convertibles? Mtu unakuta yupo kwanye Rav 4 ya kawaida tu or whatever, yenyewe vioo ni tinted, na mtu kavaa miwani ya jua, na pengine hata siku hiyo hakuna jua!

the other thing is hamshangai wanaume hawavai? na kwa nini iwe tu pale mtu anapopata mkoko kabla unakuta yuko kawaida tu wala havai miwani....na je daktari anakuwa amewapima jamani?

hahaha kaizer mimi nilienda hospitali nikaandikiwa nivae miwani ya jua (cross my heart and hope to die) :D

sasa ukinikuta nayo pia utasema u sister do au? :D
 
uwoga huu ndio unaotutumbukiza katika mahusiano bandia,kwaiyo nyie watoto wenu wa kike hamtawashauri/hamtapenda wawe na pesa/maisha bora adi waolewe na wapate toka kwa mume?
either unataka usaidike,umtawale,umuonyeshe nk
sio kila mwanamke mwenye pesa ni fedhuli
JS tafuta pesa kwa maendeleo uyo bwana atakuja tu ila pia uwe mwangalifu maana kuna magubeli uko nje kazi kunyanyasa watoto wa kike
 
kuna ka- ukweli wanaume wanakuwa intimidated na wanawake wanaojiweza,
hata wanawake wanaojulikana sana kama musicians and other super stars finds hard to keep relationships...
JS muombe mungu,akupe uliyetoka ubavuni kwake,
otherwise kuna kila dalili ya kuzeeka mpweke,au la kuishia kuchukua mtu 'second best'...LOL:love::love::love:
 
Wadada wenye pesa na hali nzuri mm nawaogopa sana.
Kuna ndugu na rafiki zangu kadhaa walibahatika kuoa wadada wa design hii leo wanalia na kusaga meno, wadada tuongee ukweli wakiwa na pesa na wakiolewa jamaa kaja kaona mafanikio kama hayo jiulize nn kitatokea kwa mdau??? Muulize Teamo na Asprin

ni mfuko wake wa rambo atakutana nao getini kwa mlinzi. wanaume kama mabint
 
Utafiti/uchunguzi unaonyesha kuwa ndoa nyingi zenye misukosuko kama hii ni za wenye hela. Utakuta Mume ana uwezo na mchuma (gari) na mwanamke naye vivyo hivyo, lakini ukiangalia maisha yao jinsi wanavyoishi ni tabu tupu, hebu angalia baadhi ya kina dada wenye uwezo uwezo baadhi yao utakuta ana mtoto mmoja au wawili lakini mume hana wa kuishi naye na ukifuatilia kuhusu huyo aliyezaa naye watoto au mtoto utasikia waliachana. Why???????????????. Si ndio haya tunayoongelea!

Kutokana na haya yote mimi binafsi na wengine ni kwamba
1. Usioe mwanamke aliyekuzidi kipato
baadhi ya wanawake wenye kipato huwaongezea kiburi na heshima kwa mume wake hupungua. Mfano mzuri kuna dada yangu mmoja anafanya kazi shirika fulani na hela ya kutosha na juzi juzi hapa kapandishwa kacheo fulani matokeo yake ananyanyasa hata wafanyakazi wenzake kwa kutumia cheo chake. Na baadaye nilipopeleleza nilisikia aliachana na mume wake. Anasema asinibabaishe hata mimi nina hela zangu.

2. Usioe mwanamke aliyekuzidi sana elimu. n.k . Mengine mtaongezea wenyewe, mimi ngoja niishie hapa.
 
Fidel hapo umenena.Wadada wa siku hizi hasa wenye nazo ni matatizo mtindo mmoja na wengi hawana heshima kabisa,unaweza kuwa nae kwa mapenzi yote lakini mwisho wa siku atakuja kukuumiza tu na inapofikia mkigombana ndio kabisa atakwambia uchukue time kwani hana shida na wewe ulikuwa ni mzigo kwake.
Kwanza wadada wa dizaini hii huwa ni ngumu sana kuolewa na hata kudumu katika mahusiano.

Joseph nakubaliana na wewe kabisa.

You know hili tatizo ni kubwa ulaya kuzidi unavyoweza kufikiri.

Ulaya uchumi ulipoinuka na wakinadada nao wakaweza kushika nyanja za kuchumi, impact yake ilikuwa nzito kwenye mahusiano.

Mwanaume kama kichwa cha nyumba ni lazima uwe na uwezo wa kiuchumi zaidi ya huyo mkeo. Hili tusidanganyane eti mapenzi na pesa hivina uhusiano, mawazo kama hayo ni ya kujifariji tu kwa muda lakini ukweli ndio huo.

Kwanini unafikiri nchi zilizoendelea ndio zinatawala maamuzi ya nchi masikini?. Its all about money and money influence relations, power and decisions.

Pesa inatabia yakubadili tabia ya mtu na kama wewe ni mwanaume unamawazo ya kuoa mke mwenye kipato zaidi yako, baadae utakuja hapa jamvini kutoa experience zako.

Every king needs richness and strong economy to be able to influence the people he rules. This is the same principle kwenye nyumba. Kama mama anauchumi ndio atatawala maamuzi na hapo itabidi uwe mpole maana ukitaka ubishi ngoma itaenda marama.

Cha kujua ni kwamba kama mtaamua kugawana gharama za maisha then pia mkubaliane kugawana madaraka ya maamuzi thats it.
 
Hapa ma griit thinkaz walikuwa wanajadili wanawake wenye hela zao...............

Magriti thinkaz hawakosi cha kujadili.
 
Mimi big brother, nikiwa na akili zangu timamu, na bila ya kushauriwa wala kulazimishwa na mtu yoyote, nawashauri vijana wa kiume ambao hawajaoa kuwa wasithubutu wala kujaribu kuoa wanawake wa aina zifuatazo, kama wanataka ndoa imara:


  • Waliowazidi kimapato
  • Waliowazidi kielimu
  • Waliowazidi kiumri.
Nimeongelea kwa uzoefu kwa hiyo sipendi kuulizwa maswali. Kama wanabisha, wajaribu halafu yakiwashinda wakuje hapa kuanzisha masredi ya kuomba maushauri ya ma griit sinkaz!
 
Waamka Asprin????
Ngaamka mshiki...

Jana mbona hukunistua umeanzisha zis yuziful sredi? Wewe dada kama umeamua kujianzishia maendeleo yako, kwa mipesa yako, omba Mungu akukutanishe na kina Ridhiwani Kikwete, January Makamba, Mwisho Mwampamba, TID ili wakuoe. Vinginevyo jiandae kuishi singo kwakuwa kina Fidel hawatabisha hodi kwenye baioloji yako kwa mahusiano ya kindoa. Watakukanyaga na kusepa. Kama umenielewa sema AMINA.
 
Mimi big brother, nikiwa na akili zangu timamu, na bila ya kushauriwa wala kulazimishwa na mtu yoyote, nawashauri vijana wa kiume ambao hawajaoa kuwa wasithubutu wala kujaribu kuoa wanawake wa aina zifuatazo, kama wanataka ndoa imara:



  • Waliowazidi kimapato
  • Waliowazidi kielimu
  • Waliowazidi kiumri.

Nimeongelea kwa uzoefu kwa hiyo sipendi kuulizwa maswali. Kama wanabisha, wajaribu halafu yakiwashinda wakuje hapa kuanzisha masredi ya kuomba maushauri ya ma griit sinkaz!

Thanks Kamanda; hsa kwa kutupa uzoefu wako!!!

Ukitaka kupata kichaa au kuharibikiwa kazini basi jaribu hao watatu uone... I COULDNT AGREE WITH YOU MORE
 
Back
Top Bottom