Mwanamke anayejiweza kimaisha

Ni kweli kabisa baadhi ya kina dada wakiwa mambo saafi manyanyaso yanaanza kwa jamaa

Afadhari ya wewe umesha wahi washuhudia wenye nazo.
Tatizo la kina dada wakisha kuwa na mikwanja huwa wanakuwa na nyodo na majivuno walio wengi.
 
Komredi hata mimi huwa nachinja tu halafu huyo nasepa zangu uswazi....hawa kina JS wana nyodo sana na hela zao hawa

NN unataka kuniharibia tu hapa kwa watangaza nia kama Fidel

Fidel nishakusihi usimsikilize huyu atakukosesha raha bure............na hiyo biashara ya kumega na kusepa itabidi tuifanyie kazi
 
ukimpata mwenye pesa kisha ana maadili ......................usiombee, raha juu ya raha
 
hahaha homeboy bana!! haya utakosa za kuendea Zero Pub!!

Hawa watu bana hommie mm nimeshuhudia wakiwanyanyasa jamaa zangu hivi hivi na matusi juu kisha pesa

Komredi hata mimi huwa nachinja tu halafu huyo nasepa zangu uswazi....hawa kina JS wana nyodo sana na hela zao hawa

Pesa akiwa nazo dada nyodo zinaongezeka mpaka mashauzi akiwanunulia tu bia wadau matangazo kitaa kizima mm ndo wanywesha wale wa nn wale hawana kitu....
 
kwa nini nimeuliza hivi, kwa sababu katika mazungumzo ya kawaida tu jana kuna rafiki yangu akaniambia watu wataogopa kutangaza nia kwangu nikiendelea kujijenga kimaisha and it got me thinking.

JS:

Of all the ppl, I never imagined that you are still "single"!

Anyways endelea kupambana tu kwani hata Oprah alishawahi kuolewa!
 
mwambie AJIJENGE tu mama kwa kila hali uwezayo yeye na mungu alivyomjalia. Atatokea to right candidate ambae itakuwa ni mungu mwenyezi amempangia wa kuwa nae maishani ambae hatajali nini anacho na nini hana!Belive me " there is someone for everybody" !

Wandugu za leo,

Hivi ukikutana na mwanamke umempenda na unatamani awe wako wa milele (kumuoa) lakini unakuta bahati nzuri (au mbaya kwa wengine) huyo mwanamke yuko safi kimaisha kazi nzuri kama pesa anazo kama mali anazo pia (sio hawa wamama watu wazima hapana wadada tu wenye umri unaofaa kuolewa) utamuoa hata kama wewe huna thamani ya kiuchumi aliyo nayo?

kwa nini nimeuliza hivi, kwa sababu katika mazungumzo ya kawaida tu jana kuna rafiki yangu akaniambia watu wataogopa kutangaza nia kwangu nikiendelea kujijenga kimaisha and it got me thinking.

Sasa wanaume utamuoa tu huyo dada hata kama wewe hali yako si fresh? na wadada utakuwa bread provider kwa huyo mumeo? mapenzi yana nafasi yake na pia uwezo kiuchumi una nafasi. zamani haikuwa hivi lakini kadri siku zinavyozidi kusonga mbele mambo yanabadilika
 
Komredi hata mimi huwa nachinja tu halafu huyo nasepa zangu uswazi....hawa kina JS wana nyodo sana na hela zao hawa
Kweli kabsaa!! unajua hapa wanao tetea hoja ni kwamba wanashindwa kutofautisha..maana kuna yule mnaoa then katika maisha kutokana na hali yeye anapata kipato zaidi na mambo yanamnyookea hapo kwa sasbabu mpo kwenye ndoa nyodo zinapungua!! Ila hawa ambao unaoa kabsaa na kukuta mambo safi asee Nyodo zinazidi sana! Kuna msela wangu ana demu anazo siku iyo bana kaazima mkoko wa demu asee si tukapitia maeneo muda demu akampigia simu dah acha tu!! ilibidi turudishe gari la watu na sisi kuchukua teksi then tukaendelea kupat kilaji chetu kwa raha!! We demu mwenye nazo sio mwenzo asee!!
 
NN unataka kuniharibia tu hapa kwa watangaza nia kama Fidel

Fidel nishakusihi usimsikilize huyu atakukosesha raha bure............na hiyo biashara ya kumega na kusepa itabidi tuifanyie kazi

Mi nasimamia kwenye ukweli.
Wadada wenye mkwanja bana mnanyanyasa sana.
Kumega na kukimbia bila kufanya mrejesho ndo mzuri mm unanisaidia sana kupooza machungu.
 
NN unataka kuniharibia tu hapa kwa watangaza nia kama Fidel

Fidel nishakusihi usimsikilize huyu atakukosesha raha bure............na hiyo biashara ya kumega na kusepa itabidi tuifanyie kazi

Oouch kumbe Fidel anataka kutangaza nia kwa JS.....samahani sana kwako na kwa Komredi Fidel....sikujua hilo. Basi naondoka zangu miye
 
Nipo na uache uchokozi kwa nini umeeka avatar yangu hapo eeee???

...aaah binamu kwani vibaya? nilikuwa nataka kuonyesha msisitizo zati mekumiss thana....hezi bini longi....n nimefulia mbaya....so?
 
Usicheze na mali wala hela.. hata yesu alikufa kwa kuuzwa... hela inambadili yeyote yule...!!wanaume hawaogopi kukaa na mwanamke mwenye hela... ila nguvu ya hela/mali inaweza mfanya akubali kunyongea au awe maskini jeuri...!!

Nadhani wengi wetu, wanaume kwa wanawake twakosa saikolojia ya kuishi na mwenzi unaemzidi kipato.. hasa manpokorofishana mmoja wenu anatumia hali ya kujiweza kwake kama nyundo kwa mwingine ili amdhoofishe,kana kwamba ukiwa unajiweza basi na una busara kuliko huyo mwenzi wako unaemzidi kipato...!!!ULIMBUKENI!!!Hali hii ikifika inasumbua sana nafsi...wanaume wenye roho nyepesi hufikia hata kujiua, kuwa katili, kugeukia ulevi na kufanya mabo mengine ya ajabu.

Ni utandawazi mpya wa kipato ambao ushaingia na unajipenyeza na kuwa kura ya turufu katika mahusiano yetu ya kiafrika!!! muhimu ni kujiridhisha kabla hujaamua kuyavulia maji nguo!!:smile:
 
Kama dem ana mkwanja matatizo yanaanzia mnapokua na tofauti flan flan za kimtizamo....lazima unanyanyasike.
 
Back
Top Bottom