Mwanamke anataka tukatengue ndoa kisa sijamalizia mahali

Kwa ufahamu wangu mimi watu wengi wanaooa huwa hawamalizii mahari.....ni vyema kufanya uchunguzi wa kutosha kuhusiana na hiyo hali. Huenda ikawa ni mila zao, tamaa au kukukomoa endapo kama mlifunga ndoa pasipo kupendana kwa dhati.

Hata kama wengi wanafanya hivyo, it doesn't make it right! yeye alipe kesi iishe
 
Kumhudumia mkeo ni lazima na mahari pia ni lazima umalize! Kwa sheria ya dini nyngne ukifariki hujamaliza mahari lazia mahari ilipwe hata kama ni kuuza mali zako! Jitahidi ulipe mahari iliyobaki.
Ingawa huyo bibie anakosea, ila mueleweshe na ukiwa sawia kamalizie mahari iliyobaki!
 
Back
Top Bottom