Mwanamke anapenda nini kwa mwanaume

Usiumize kichwa hawajijui wanapenda nn hao. jins utavyo muweka ndivyo atakavyo kuwa wengne huiga 2 ktk makund yao. ukitaka amin zaid wanaiga ktoka kwe romantic mov. au lv story

bila money unaweza kupendwa but sometime 2najikweza wenyewe au ujapendwa ww ndio unatumia money ndio upendwe?

hawa wanapenda sana mtu anaewajal,ukiwin hilo tu baaaas

mie nilimuuliza GF wangu kwanin alinichagua... akanijibu.."nimependa tu jinsi ulivyo" tena alijibu kwa kiingerza.. akasema.. "i like the way u are".. yaani mimi

ndo majibu yao hayo,hata me huwa nakutana nayo sana mkuu.

mwanamke anapenda mwanaume ambaye atajisikia secured,mahaba ya dhati, na mwanaume anayejua umuhimu wa mwanamke..... financially stable ni kigezo cha nyongeza coz hapo atakuwa na uhakika zaidi wa kujenga familia bora na uhakika wa mkono kinywani kwa watoto
Well done Bibie you so relistic .Unamfaa mwanaume mwelewa kama ww.

We are living in a material world. With abundant/ample resourse you find yourself with numerous and unlimited options. As you are all aware life becomes boring when options are limited, so women are right to fall for resourceful partners,whether it be men or their fellow women.

WORD!!

hivi kuna mtu anajaribu kuwaelewa wanawake hapa (be it wanachopenda au la)?

We love honesty, care, very loving and responsibility feature in a man! You dont need to a millionaire to win a woman's love! Infact a woman after money does nt have true love!

Mwanamke ameumbwa very strong kuliko mwanaume.. tatizo kubwa hajiamini.. Atataka usalama kwa mwanaume kwa njia yeyote ile .. vitu kama hela, maneno matamu, upedeshee etc.. Vyote ni mazao ya kutojiamini!!!

umejitahidi kujibu...'security'

Security..which means money..mie mwanaume mwenyepesa turns me on big tym..!frankly speakn!

Nchi inateketea halafu ninyi mnawaza mambo ya kipuuzi kama haya,watu wazima ovyoo.Kwa nini msijikite kwenye mambo yamsigi yatakayo saidia nchi yetu kuondokana na matatizo yake?
Hv wanawake huwa wanavutiwa na nn kwa manaume!!! Pesa ama Mapenzi ya kabla ya kuingia kwene ndoa!!!! Nasema hv cuz ukiangalia wengi waume zao wakichuja wanaanza ile..kutafuta wakuhudumia

Hata hili ni lamsingi..Wewe hadi leo umesaidia nn tangible kwenye Nchi
Nchi inateketea halafu ninyi mnawaza mambo ya kipuuzi kama haya,watu wazima ovyoo.Kwa nini msijikite kwenye mambo yamsigi yatakayo saidia nchi yetu kuondokana na matatizo yake?

Nchi inateketea halafu ninyi mnawaza mambo ya kipuuzi kama haya,watu wazima ovyoo.Kwa nini msijikite kwenye mambo yamsigi yatakayo saidia nchi yetu kuondokana na matatizo yake?

ulifuata nini kwenye hii forum kama unayajua hayo? Au basi tu u had to post a comment?!

Nchi inateketea halafu ninyi mnawaza mambo ya kipuuzi kama haya,watu wazima ovyoo.Kwa nini msijikite kwenye mambo yamsigi yatakayo saidia nchi yetu kuondokana na matatizo yake?

Usiwe kama kilaza bana kama huja mind hili jukwaa sepa,hulazimishwi kuingia humu, mara ya pili sasa nakuona unaponda jukwaa letu. Masaburi yako mxxxx

kama alivyo add bwana hapo juu.she loves the way u are?yaan the way unavyo behave kwa lolote kwa chochote.

Back
Top Bottom