Mwanamke ambaye hataki kutumia jina la Mume wake baada ya kuolewa!

HansMaja

Senior Member
Nov 9, 2010
102
114
Hivi inamaanisha nini kwa mwanamke kukataa kutumia jina la Mume wake baada ya kuolewa na kuendelea kutumia jina la baba yake (maiden father)? Kuna wanawake wengine hung'ang'ania baada tu ya kuolewa! Hawa ambao hawataki inamaanisha nini?
 
kwan tatizo liko wap?mkeo ni mkeo awe anatumia jina la mjombake au shangazi yake....

km anatenda yampasayo mke kutenda whats bg dil na jina?

ahh sjui lakin mi naona si issue saana!!!!
 
Jee atabadilisha jina mara ngapi maana anaweza kufiwa na mume,kisha akaolewa tena!au mkapeana talaka akaolewa tena na mwanaume mwingine.bora awe na jina lake la asili kuliko kufuata jina la mume
 
Mtoa mada unamuongelea mkeo au unaongelea generally? Kama ni mkeo na unaona kwako una feel more comfortable kutumia jina la ukoo wenu zungumza nae atakuelewa tu. Kama unaongelea familia nyingine,hayo ni maamuzi yao kwani wenzako suala la jina kwao si big deal. Reasons being complications walizosema wadau hapo juu. Mfano mimi natumia jina langu na mume wangu hajawahi hata siku moja kuongelea maswala ya jina.
 
Mimi ni mmoja wapo unataka tubadili kwa sababu gani?nina sababu nyingi zakutobadili.
 
mtu mpaka ana graduate kila cheti kimeandikwa jina la baba yake hadi hati ya kupigia kura ina jina la baba yake so kwa nini leo hii muanze kubadirisha hamuoni km mnapoteza muda tu? mapenzi yawe unconditional bana kwa nini nimnyang'anye haki yake ya kimsingi ya kutumia jina la baba yake. mie mke wangu anatumia jina la baba yake na wala sioni tofauti yoyote ile ktk ndoa yetu. na huwa naenda sana kumuita kwa jina lake la kwanza tukiwa sidi wawili kuliko kumuita mama flani
 
Mwanamke akifikia hatua hiyo, better fanya utafiti, anaweza kuwa na mpenz mwingine!
 
Hivi inamaanisha nini kwa mwanamke kukataa kutumia jina la Mume wake baada ya kuolewa na kuendelea kutumia jina la baba yake (maiden father)? Kuna wanawake wengine hung'ang'ania baada tu ya kuolewa! Hawa ambao hawataki inamaanisha nini?

Hebu kina baba wanaopenda wake zao wabadili majina na kutumia ya kwao watujuze nini sababu hasa za msingi, huenda wanawake huwa wanakataa kwa kutokuona umuhimu wake. Tuellimishane ili walao hao wanao kataa (wanawake) watupe sababu za kukata na wanaume watupe pia.
 
Hivi mke ni kama gari eeh?...ambalo ukinunua unabadili informations za ownership?... ha ha haaaa~!
Kama kila kitu kinaenda sawa ndani, jina litasaidia nini zaidi ya prestige ya mwanaume tu?
 
Hivi inamaanisha nini kwa mwanamke kukataa kutumia jina la Mume wake baada ya kuolewa na kuendelea kutumia jina la baba yake (maiden father)? Kuna wanawake wengine hung'ang'ania baada tu ya kuolewa! Hawa ambao hawataki inamaanisha nini?

Akikataa si lazima atatoa sababu? Huyo wako ametoa sababu gani?

Mimi binafsi sikuwahi kumwomba mke wangu abadilishe jina na sitegemei kumwomba afanye hivyo. Kwa ujumla hatujawahi kuona umuhimu wa kujadili suala hili. Lakini hili halina maana kuwa kila mwanaume ataona halina umuhimu.
 
Abadilishe ili iweje?? Si issue sana hapa as long as mnaelewana na anajulikana ni wako mambo yanasonga. Umbadilishe awe mama fulani na tena na majina yake abadili mkiachana au kufa inakuwaje hapo. Sio dili kabisa acha ukoloni wewe
 
Nimeona hii mada ilishajadiliwa zaidi ya mara moja hapa hapa JF, Hans Maja jaribu kucheki hizi link. Mi nafikiri kuna haja ya watu kubadilika, kama mkeo hataki usimlazimishe kwa nini usimbembeleze/usimshawishi kimapenzi, mwisho wa siku hili linaweza kuishia kwenye ugomvi. By the way ipo pia option ya kutumia Mrs Fulani kila mahali bila kubadili nyaraka muhimu. Ni mtazamo tu.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-kujiita-jina-la-mumewe-mume-afanyeje-3.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...kubadili-jina-la-ukoo-baada-ya-kuolewa-2.html
https://www.jamiiforums.com/mahusia...mwanamke-abadili-jina-baada-ya-kuolewa-2.html
 
Maumivu ya ndoa ...huanza pooule poooule....
kwan tatizo liko wap?mkeo ni mkeo awe anatumia jina la mjombake au shangazi yake....

km anatenda yampasayo mke kutenda whats bg dil na jina?

ahh sjui lakin mi naona si issue saana!!!!
 
Hivi inamaanisha nini kwa mwanamke kukataa kutumia jina la Mume wake baada ya kuolewa na kuendelea kutumia jina la baba yake (maiden father)? Kuna wanawake wengine hung'ang'ania baada tu ya kuolewa! Hawa ambao hawataki inamaanisha nini?

Mume ni baba? utatofautishaje watoto na mama yao kama kila mmoja ana surname ya Hansmaja? kuna ulazima gani? Ina maana kaolewa siyo adopted.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom