Mwanamke aliyeumizwa pita hapa ufarijike

benjaminy

Member
Nov 15, 2015
42
15
Mrejesho

Hhr wadau WA jukwaa hili?

Napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru nyote kwa michango yenu na mawazo yenu.

Pia nawashukuru wote mliyekuja pm, isingewezekana kuwapa nafasi wote kwakuwa nafasi yenyewe ilikuwa ni moja tu.

Napenda kuwatia moyo kuweni na subira na msikate tamaa.

Kwa pamoja mmeniwezesha kukutana na mtarajiwa wangu ambaye exactly mioyo yetu imekubaliana kuwa mke na mume.

Baada ya muda wa matazamio tutaanza mchakato wa kukamilisha taratibu za ndoa.
Kweli inawezekana kupata mwenza mke au mume humu nimeamini.
Wakati ukifika tutawaalika .

Habari wana jamvi wote.
Natafuta mwanamke aliyeumizwa kwenye mahusiano, nataka aliye umizwa kwa sabbu anajua uchungu wake naamini hawezi niumiza.pia kama unasifa na hujawahi kuumizwa lkn upo serious pia unakaribishwa. lengo langu ni kuuanza safari mpya ya mahusiona na kufarijiana. Namaanisha kuanza nae maisha ya ndoa.

Mimi ni mwanaume WA miaka 37, elimu degree,kazi nimejiajiri,naishi moro, kabila mnyamwezi, dini mkristo, mrefu na mwili WA wastani.

Mwanamke nimtafutae awe yuko hiv, miaka kat ya 30 mpaka 42, elimu yyte mwenye shughuli ya halali ya kumpatia kipato, kabila lolote, dini mkristo na kama si mkristo awe tayari kubadiri, asiwe mfupi sana, mcheshi, anayejua uchungu WA kusaritiwa. Aliyetayari anifuate pm.
Nipo serious naomba mizaha isipate nafasi.
Karibuni.
 
Mhhh mbona umeleta kimzamza mkuu 98% wameshaumizwa ww ata apo unapoishi wapo wengi sana walio umizwa sioni aja ya kuja kutafuta huku
 
PM muende mliokuwa serious.....

ila mkuu mwanamke aliyeumizwa anaweza kuwa anataka kufanya malipizi ohoooo akaja kwako akakupa za uso ukajuta aisee... bora ambaye ajaumizwa yeye anaumizaga ukiona dalili tu we muumize basi.................... ila kwa hiyo age lazima upate wa kutulia naye ila asikuzidi sana kipato
 
Nina mtazamo tofauti, naamini aliyeumizwa atatulia na kuthamini upendo zaid ya yule ambaye hajawahi kuumizwa. Asnte pia kwa ushauri na kunitia moyo.
 
Nina mtazamo tofauti, naamini aliyeumizwa atatulia na kuthamini upendo zaid ya yule ambaye hajawahi kuumizwa. Asnte pia kwa ushauri na kunitia moyo.
sawa mkuu utafanikiwa ila ukiona wanazengua achana na mapenzi tu
 
PM muende mliokuwa serious.....

ila mkuu mwanamke aliyeumizwa anaweza kuwa anataka kufanya malipizi ohoooo akaja kwako akakupa za uso ukajuta aisee... bora ambaye ajaumizwa yeye anaumizaga ukiona dalili tu we muumize basi.................... ila kwa hiyo age lazima upate wa kutulia naye ila asikuzidi sana kipato
Upo single,????
 
Ukiona jitu zima linatafuta mke, mume . Kwenye jf , Facebook, kanisani,msikitini nk, jua ana matatizo na sifa mbaya ktk jamii inayomzunguka. Ninadra sana kuishi .
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom