Alikwambia sirari ni kijiji nani?!Hii zawadi ilitakiwa itolewe kimya kimya, halafu na polisi wa kawaida mmoja tu. Hapo wamemhatarishia usalama wake na familia yake. Huko vijijini laki tano ni hela ndefu sana. Kuna watu mpaka wanahama duniani bila kuishika.
Mkuu unaijua Sirari?Hii zawadi ilitakiwa itolewe kimya kimya, halafu na polisi wa kawaida mmoja tu. Hapo wamemhatarishia usalama wake na familia yake. Huko vijijini laki tano ni hela ndefu sana. Kuna watu mpaka wanahama duniani bila kuishika.
Mkuu tayari majambazi hayo yameisha mfuata yakitaka awape silaha yao na walikuwa wengi kama 20 hivi walizunguka mji wake wakamwambia ahakikishe silaha yao inarudi baada ya kuja kutoa msaada yakaondoka huku yakipiga risasi toka pale mpaka stendi mpya njia panda ya Ng'ereng'ere.KWA NINAVYOIFAHAMU SIRARI, HUYU MAMA HER LIFE IS STILL IN DANGER! MAJAMBAZI YA KULE YANA ROHO YA KISASI.
Niwajuavyo polisi walivyo bahili naona wametoa pesa kubwa, hawa jamaa sio watoaji japo wanapenda sana kupokea sio kutoa.View attachment 322784
MWANAMKE ALIYEPAMBANA NA MAJAMBAZI AZAWADIWA LAKI TANO
Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya yampa zawadi ya Laki tano Bi Sophia Manguye Mkazi wa kata ya Sirari wilaya ya Tarime mkoani Mara kwa ushujaa wake wa kupambana na Majambazi na kufanikiwa kuwanyang'anya silaha aina ya SMG.
Source:East Africa Tv
Baada ya majambazi kumvamia aliwapa kiasi cha shilingi elfu themanini sasa majambazi yale yakajawa na tamaa wakaingia ndani kutafuta pesa zaidi ndipo akamkaba jambazi mwenye silaha na kipigo juu wale wengine kuona amechukua ile silaha wakakimbilia.Jamani ningependa kujua alifanyaje mpaka akawapora? Ebu nifafanulie mbona Yule Bibi wa bagamoyo tulielezwa jinsi alivyopambana na majambazi?
Wengi wa dar wametoka mikoani. Kama ukienda Banana, Kitunda, Kivule and alike utafikiri ni Musoma ndio imehamia pale.Wa Dar es salaama hata Kipepeo kinawakimbiza