Mwanamke aliyekeketwa na kuridhishwa kimapenzi (sex satisfaction)

ndio maana ukimkuta alie keketwe kaamuwa kufanya umalaya hashikiki anaweza kuumaliza mji wote. na lie tulia hata akikaa miaka 10 bila mme kwake ni sawa tu. ndio maana selikali ikapiga marufuku! maana wanakoseshwa haki yao ya msingi..! ya kupata utamu na raha ya tendo landowa.
 
Tafadhali mwita uje kueleza kwa upana!

Dadangu nyumba kubwa kama utafanikiwa kufika mkoani Mara nyakati za msimu wa kukekeketa hutaamini macho yako. Dada zetu wako proud sana kufanyiwa hiyo kitu, hawa wa mjini ndio wamehepa. Na hao waliokeketwa wala hawaogopi kutoka/kuolewa na watu wa makabila mengine, ipo mifano mingi ya kuthibitisha hiyo.
Nitapata muda wa kuiweka sawa hii kitu siku moja.
 
Last edited by a moderator:

Mtani Mwita Maranya usichukue muda mrefu basi kuja. Utupe real expeience ya kwenu.

Je, mtani mkeo/girlfriend amekeketwa? If yes, tell us more.
 
Chezea kichuri wewe, kitakupa mzuka wa kukeketwa shauri yako...

Ha ha haa mtani mbona una haraka hivyo?...

Niliwah kukila siku moja pale check point makumbusho mmmmhhhhh. Kwa kweli mna mambo, ila sikuchanganyikiwa kiasi cha kutaka kukeketwa lol mtani.

Nina haraka mtani nataka kujua jamani, hizi elimu tamu mtani ujue.
 
mmmh!! leo wadada wachache sana wanachangia huu mjadala au wanakosa point za kuongelea kwasababu nao havipo vile vidude?. After all kuwakata vile vijamaa ni uonevu mkubwa lazima tufanye review ktk mila zetu, zile zisizo na maana kama hizi za kukatana vidude zikatazwe mara moja. Hata kama wanapata utamu hao waliokeketwa lakini ukweli utabakia pale pale kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya gari inayopiga starter yenyewe na ile ambayo haiwaki hadi isukumwe. Demu kama hana ile kitu hana nafasi, akachoshane na wanaume wa kwao huko huko wanaotaka gari zisizo na starter.
 
humu JF bana, Some people lies, and they use words such as 'never', nyie mnayekataa mnaresearch mliyofanya au mliyopitia ikaonyesha 0% ya waliokeketwa ndo wanainjoi??? wengine wanasema kamwe hawawezi oa eti kwa kisingizio cha kukeketwa, alikuambia nani mwanamke anaenjoy sex only through 'clitoris'?? Ni mara ngapi watu wanaposex wanagusa clitoris (sio during foreplay nazungumzia wakati hasa wa intercourse)
Its true kwamba clitoris is among if not most sensitive part ya female reproductive organ, lakini hii haimaanishi kwamba bila clitoris mwanamke hafiki, wapo haohao wenye navyo lakini hawainjoi kuguswa hiyo clitoris kama kukunwa kwenye G spot, wengine labia minors zikiguswa vizuri wanafika,
so vijana tusikariri kwamba clitoris ndo kila kitu, wapo wengi waliokeketwa na wanainjoi sana kuliko hao wenye miharage inayokaribia ukubwa wa mb**!
Kiningine nimesikitika kuwatenga au kuwalaumu wadada kwa vi2 ambavyo hawakukusudia kufanyiwa (kukeketwa), hiyo ni dhambi mbaya sana!! tusijiapize kwa vi2 vya kishenzi kama hivyo!!
Ukishindwa kumfikisha aliyekeketwa ni udhaifu wako wala si wakwake!!
 
Dah! Hayo maelezo yako yamenifurahisha
 
Usikasirike sana mkuu, hata sikiu moja binadamu hatuwezi kufikiria sawa n kila mtu ana mtazamowake kuhusu jambo fulani, ether baada ya ku experience, kuona au kusimuliwa.

Hata hivyo tunashukuru kwani umetukumbusha stigma kwa mtu yoyote nwenye pungufu lolote si jambo jema. Though intenton ya post hii si ku stigmatize but kujifuza na kujua uhalisia wa kile nilichokishuhdia na generally kujua utamaduni huu wa kukekeetwa in relation to mapenzi/sex
 
Basi tu ni men s'ego kuona amekufikisha,clitoris haina utamu kwa wanaume,ni wanawake!wanaume ni joto na maji ambayo yanatoka as more she get aroused.....hiii wote mnatakiwa mshirikiane kufika kileleni.....mapenzi ni art mnatakiwa wote kujuana vizuri each other s'bodies....kufika waliokeketwa wanafika ila sie wanawake huwa tunaandaliwa kisaikolojia kwanza akikuona au kuhisi ni mpitaji/muongo hakojoi kamwe awe ametahiriwa ama not....
 
You have point
 
I remember kipindi niko chuo nlipata mwanya wa ku.s.e.x kwa muda na kident kimoja frm rombo pale,.. kawaida yangu ilikua nikifanikiwa tu kushika clitoris basi lazma atangulie kama safar tatu na kuendelea. So yule demu nlipomshika kunano ooooh,.. there was nothing and mi mwenyewe i was kinda buuuuh!! Nkachoka palepale bt nlijitahid kucheza na vingine bt hakuweza tangulia safar hata moja.
CLITORIS is very important part to play with especially kne styles za ancient kamasutra
 
Dhumuni la makabila mengi yanayofanya ukeketaji ni kupunguza hamu na ku enjoy mwanamke wakati wa tendo, wanaamini wakifanya ivyo mwanamke atatulia kwa mwanaume mmoja and it was working,
1.kwa sasa utandawazi na wanawake wamejua kuna utamu ndio kinacho mpelekea mpaka awe anaendelea kupitiwa akijua one day atafanikiwa kuupata utamu
2. Pia kwa sasa mwanamke anaweza kuwa na mwanaume mmoja akifikiri anafichiwa siri ya tatizo lake au asiwe na mpenzi kabisa kuogopa kujulikana amekeketwa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom