Mwanamke aliyekeketwa na kuridhishwa kimapenzi (sex satisfaction)

Koku una bahati, sio tuu matamanio yanakuwa makubwa, bali pia kinafanya unapata multiple orgasms na kumalizia na "squirting" ndio maana ule mchezo wa kate..ro ni maarufu zaidi kwa wanawake wa kwenu!. Kama nilivyokueleza hizo topics ni taboo, bibi hawezi kukueleza kitu, the right person ni mama yako, mugambire, atakutera chira chitu!.

Hiyo ya kuvutwa sio Wahaya peke yenu, wanawake wote wa eneo la Interlucustrine iliyokuwa Hima Empire, wanavutwa, hao ni nyinyi, Wahangaza, Wanyarwanda, Baganda, Toro, Ankole na Akamba wa Kenya, lengo lilikuwa kuwafanya wanawake wao kufurahia zaidi ile starehe ndio maana kiukweli, kabila linaloongoza kwa kukolea kwa "game" barani Afrika ni "Baganda women", na kwa Tanzania, nyie ndio mnaoongoza kwa kukolea, japo watu wa Tanga, wanawazidi kwa maujanja tuu!.

Ni kufuatia kufunza mambo hayo tangu wadogo, masuala ya "game" sio issue kubwa sana kwenu ndio maana hamna aibu, yaani hamna haya na kwa Tanzania ndilo kabila la kwanza kuifanya biashara hiyo hadharani! na kiukweli inawalipa!.

Umenimaliza Pasco sina la kusema tena.

Umetoa elimu ya kutosha ambayo sikuijua kabla. Ila sasa multiple orgasim tena i see, si hatari. Mwanaume uaeza tolewa nishai eti, ushachoka bidada bado anataka game.

Na inashangaza ujue, wakati makabila mengine wnakata kupunguza kasi, makabila mengine wanavuta kuongeza speed.
 
Mkuu wangu Pasco umechana vizuri sana na umenogesha somo hapa....

Pia umetoa sources ambazo ni za maana sana na msaada kwa uelewa zaidi....

Niongezee kitu kidogo tu kuwa suala la kuridhika kimapenzi kwa maana ya kufika kileleni pia lina msukumo mkubwa sana wa kiakili wa muhusika.....

Akili ikiwa haina amani na haijatulia katika suala lolote lile pia inaweza kupelekea hali hiyo....

Sasa kwa huyo binti kunaweza kukawa na coincedence ya maumbile na msongo wa akili kwamba kama alivyosema Pasco kuwa wakati mwingine mtu ni ana maumbile tu kuwa kiharage chake kidogo sana na tena anamsongo wa mawazo kutokana na mgandamizo wa kimaisha... Sasa kwenye mechi kakutana na wakina sie mara hao mbio kuanza kumchafua dada wa watu kuwa amekeketwa kumbe wala ni papara za mkunaji tu kutokumelewa mkunwaji na kumpa liwazo la kiakili ili abwage moyo wote kabla ya kukupa ile mambo!
 
Last edited by a moderator:

Inasemekana tendo la ndoa is all about brain/mind.

So unapoamua kushughulikia na tendo la ndoa jitaidi mind yako iwe pate kwenye scene ndipo raha utakapoiona na kutamani kurudia tena na tena.

Pengine sasa mdada ndo kakatwa na anapoenda kukutana mind yake ikitia mashaka tu kuhusu hali ya maumbile yake, automatically anaeza asienjoy, maana ameshaustress ubongo kuwaza jambo ambalo litadisturb tendo la ndoa.
 
mh hapa ndio huwaga sielewi kabisaaaaaaaaa,

sasa kwa hayo maelezo ya kijana wa saloon, wanawake wote wanaopanga wanaume au wanaotoka na kuingia kwa mwanaume mwengine ni waliokeketwa.................

Amehakikishaje kuwa huyo dada kiwembe hivyo kwa kuwa kakeketwa.....???

Nahc jamaa alikuwa anavutia wateja tu, coz kwa akili ya kawaida kabisa, anachokisema hakina mantiki...................
 
Sasa hapo unatengeneza hitimisho, kwamba unalazimishia kuwa huyo binti kakeketwa kweli kitu ambacho kwenye simulizi yako hakikuthibitishwa na yule kijana.

Na pia mgandamizo wa kiakili katika maisha unaweza ukatokana na mambo tafauti sana sio lazima hilo tu la kukeketwa....

Kwanza kama mabinti mnakuwa mna vitu vingi sana vichwani mwenu ndio maana kwa ujumla suala la kufika kileleni ni tatizo kwa mabinti wengi haijalishi wamekeketwa au la....

Ndio maana wajumbe wengi humu tunajaribu kuonyesha suala la binti kutokufika kileleni lisiangaliwe katika sura ya kuketwa peke yake, sababu pia kama suala ni kuketwa tu basi kuna majembe yameonyesha uwezo kuwa kumbe binti anaweza kuketwa ila akikutana na wakunaji wazuri hilo nalo linakuwa sio tatizo sana sababu kuna namna ya kuwashughulikia.

hivyo ninachotaka kumalizia ni kuwa bado kunaweza kuwa na namna bora ya kumsaidia mtu wa namna hiyo anayechelewa au asiyefika kileleni kabisa haijalishi kama sababu yake ni kuketwa au zile zingine.

Hivyo haijalishi kama alikeketwa sababu kama tatizo lilishamtokea na tunaangalia msaada wa wenye tatizo hilo tu.
 
Ukimuanda mwanamke kwa muda mrefu na maneno matamu na mautundu mengi mpaka ifike time ya sexual intercourse hakika utamfikisha kileleni na umpe feeling b4, kwa maana ya kisaikolojia. Ukiwa na papara hakika hatataka hata kukuona kwani atakuwa un-done.
 
Nakubaliana na wewe kabisaa.
 
Mwanamke anaweza hata kupata mshindo aka climax ukiwa usingizini anaota or whatever...........je hapa napo kiharage kinahusika?

Ili kufika kileleni jambo la kwanza ni lazima uwepo utayari kisaikolojia, sasa hayo mambo mengine sijui kiharage, G spots ns kuta na mashavu ya uke ni visaidizi.

Hii haina maana havina kazi, hapana
So ili mwanamke kufika kileleni inategemea na mambo mengi lakini la kwanza ni ile kuandaliwa kisaikolojia

Unapomuandaa vizuri mwanamke na akawa tayari kwa tendo basi chochote kati ya G spots au kiharage au kuta za uke zikishughulikiwa ipasavyo basi mwanamke anafikia mshindo wa mwisho

ukweli ni kwamba wanawake wengi hawafiki kileleni kwasababu hawajaandaliwa vyema na mapatina wao iwe wamekeketwa au la.

Tatizo wanaume wengi tukifika kunako majambozi tunachofikiria ni kutumbukiza na pump kadhaa kisha unamaliza bila kufikiria mwenzako na hii ina waathiri zaidi wanawake waliokeketwa maana wao bila kuandaliwa kisaikolojia wanakuwa wanakosa hata ile stim ya mwanzo kabisa clitor
 
Na hapo pa makabila kuingiliana na watu kufanya tendo la ndoa before marriage ndo pameleta mengi. Na watu kujua mengi yaliyokuwa siri zamani.
Let say mhaya leo anaenda kukutana na mgogo na anakuta critoo hamna, km ni mara yake ya kwanza he will be shoked may be na anaeza asifurahie na akajenga mind yake kuwa hakuwa mtamu. Na pengine angeichukulia ile hali kuwa ya kawaida pengine ange enjoy vibaya mno na binti pia.

Kweli kabisa KOKUTONA, hata hii issue ya maswala ya sijui kitandani hajui mwingine huyu mwanaume hamna kitu inachangiwa na hii issue mtu anaingia kwenye marriage alishapita kwa watu wawili watatu ukichanganya na kusimuliana ndio kabisa, mie nadhani kama mtu angekuwa akimpata ni huyohuyo nadhani angekuwa anajua kiwango alichokutana nacho ndio hicho hicho lakini mtu kakutana na mtu wa kwanza yupo zaidi ya wengine aliokutana nao atachotoka nacho ni huyu nilie nae hamna kitu!
 
Umeona ee Jodoki Kalimilo, onja onja nyingi na uzungu umeharibu kabisa radha ya mapenzi na tendo la ndoa.

Inabidi tufikie wakati tubadili mifumo, fikra na mitazamo yetu juu ya maswala haya, na pengine kuonndoa mentality za huyu mtamu huyu si mtamu, huyo hivi, huyu vile.

Naamini utamu wa tendo la ndoa unategemea sana wawili mnaoshiriki regardless maumbile,which means utamu unatengenezwa nanyi, na cha muhimu ni kuweka fikra zetu kwenye shughuli yenyewe na si kwenye maumbile.
 
mh hapa ndio huwaga sielewi kabisaaaaaaaaa,

sasa kwa hayo maelezo ya kijana wa saloon, wanawake wote wanaopanga wanaume au wanaotoka na kuingia kwa mwanaume mwengine ni waliokeketwa.................

Amehakikishaje kuwa huyo dada kiwembe hivyo kwa kuwa kakeketwa.....???

Nahc jamaa alikuwa anavutia wateja tu, coz kwa akili ya kawaida kabisa, anachokisema hakina mantiki...................

Ni hivii wadada wa saloon walikuwa wanajua anatoka nae/alikuwa anatembea nae. So alivyopita ndo wakamtania wakiwa wanajua kabisaa wanamuumiza sbb alishamwagwa.

Kwa hiyo kijana alikuwa anaeleza kitu anachokijua na alionekana kumpenda binti bado but tabia zilimshinda na kupelekea kusimulia aliyosimulia. In short alikuwa anajua kuwa binti amekeketwa.
 
Mwanamke anaweza hata kupata mshindo aka climax ukiwa usingizini anaota or whatever...........je hapa napo kiharage kinahusika?

Ili kufika kileleni jambo la kwanza ni lazima uwepo utayari kisaikolojia, sasa hayo mambo mengine sijui kiharage, G spots ns kuta na mashavu ya uke ni visaidizi.

Hii haina maana havina kazi, hapana
So ili mwanamke kufika kileleni inategemea na mambo mengi lakini la kwanza ni ile kuandaliwa kisaikolojia

Unapomuandaa vizuri mwanamke na akawa tayari kwa tendo basi chochote kati ya G spots au kiharage au kuta za uke zikishughulikiwa ipasavyo basi mwanamke anafikia mshindo wa mwisho

ukweli ni kwamba wanawake wengi hawafiki kileleni kwasababu hawajaandaliwa vyema na mapatina wao iwe wamekeketwa au la.

Tatizo wanaume wengi tukifika kunako majambozi tunachofikiria ni kutumbukiza na pump kadhaa kisha unamaliza bila kufikiria mwenzako na hii ina waathiri zaidi wanawake waliokeketwa maana wao bila kuandaliwa kisaikolojia wanakuwa wanakosa hata ile stim ya mwanzo kabisa clitor

Uko sahihi kabisa paulss, sex is all about brain unavyoitune na maandalizi kabla.
 
Umeona ee Jodoki Kalimilo, onja onja nyingi na uzungu umeharibu kabisa radha ya mapenzi na tendo la ndoa.

Inabidi tufikie wakati tubadili mifumo, fikra na mitazamo yetu juu ya maswala haya, na pengine kuonndoa mentality za huyu mtamu huyu si mtamu, huyo hivi, huyu vile.

Naamini utamu wa tendo la ndoa unategemea sana wawili mnaoshiriki regardless maumbile,which means utamu unatengenezwa nanyi, na cha muhimu ni kuweka fikra zetu kwenye shughuli yenyewe na si kwenye maumbile.

Ni kweli kabisa, standard zingine ni man made, kwani hata katika maisha ya kawaida tu mfano, kuna jamii nyingine chakula chao ni nyama zaidi, nyingine ni ndizi zile laini (ndizi bukoba) ukimpa za Moshi (ndizi mshale zinamshinda), wakati wengine mchunga ni chakula cha sungura wengine ni mboga kule Tanga pamoja na uchungu wake vivyo hivyo senene wengine watasema panzi, kwa mtazamo huu mwepesi utagundua kwamba jinsi ulivyozoeshwa ndio akili yako itaona hiki ni kitamu lakini ukibadili tu utaratibu wa maisha ndipo inapokuwa shida na wakati mwingine hata haya magonjwa tunayopata ni kutokana na kutoku-control tabia zetu za misosi (NI nje ya mada lakini najaribu kusisitiza kwa mifano mingine)
 
Umesomeka mkuu na pia mifano uliyotumia ni rahisi kwa yoyote kuelewa. Tusiwe na limitations zisizo na tija. Flexibility ni kitu cha muhimu sana kwenye mapenzi na tendo lenyewe.
 
sikatai kuwa jamaa anajua kuwa mdada amekeketwa.................

ambacho napata shida kidogo kukubaliana nacho ni huyo jamaa kuhusisha moja kwa moja kitendo cha mdada kukeketwa na na tabia ya ugume ugume, binafsi naona hyo haitoshi ku-conclude hilo unless huyo jamaa alimsikia huyo mdada akimwambia hivyo au ana ushahidi mwingine ambao unasupport hilo, vinginevyo jamaa alikuwa anauza chai tu au alikuwa anajikosha kupunguza machungu aya kuachwa na pia si mstaarab hata kama ni kweli mdada kakeketwa hana haki ya kumtangazia... ....
hope umenielewaQUOTE=KOKUTONA;4551183]Ni hivii wadada wa saloon walikuwa wanajua anatoka nae/alikuwa anatembea nae. So alivyopita ndo wakamtania wakiwa wanajua kabisaa wanamuumiza sbb alishamwagwa.

Kwa hiyo kijana alikuwa anaeleza kitu anachokijua na alionekana kumpenda binti bado but tabia zilimshinda na kupelekea kusimulia aliyosimulia. In short alikuwa anajua kuwa binti amekeketwa.[/QUOTE]
 
Je hukuwah kumuliza vitu ulivyokuwa unaviona na kuvisuspect mlipokuwa mnaduu?

Au na wewe ulikuwa unapotezea mradi mmalize?

ahh! ckuwai mkuu,unajua kuhoji maumbile ya mtu hata kwa kudadisi anaweza fikiri tofauti, then ni bonge la sholi, kwa mwonekano, hiyo nayo ikawa inanipa wasi, mademu wakali bana...lol
 
Wana JF ina maana mwanamume mwenye govi anafaidi zaidi ya asiyekuwa nalo? Ili mradi tu ajitunze asije kuwa vulnerable kwa maradhi? Hivyo nachelea kuondoa mkono sweta ..w.ng
 
Ni kweli mwaya, inahitaji ujasiri kweli na ujitoe haswa ndo uweze kuhoji vinginevyo inabidi u mute tu na ule kimya kinya.
 
Wana JF ina maana mwanamume mwenye govi anafaidi zaidi ya asiyekuwa nalo? Ili mradi tu ajitunze asije kuwa vulnerable kwa maradhi? Hivyo nachelea kuondoa mkono sweta ..w.ng

Waje watupe majibu. Ila nina mashaka sana na uhalisia na umbile la hiyo kitu kikia haija.....Najaribu kuimagne sipati picha.
 
Back
Top Bottom