kwani mpaka ajiunge humo ndo apate uzoefu dear??
.........Hakuna cha kupigwa talaka wala nini,inategemea na jinsi alivyonikuta napendelea kuvaa mavazi ya aina gani.
Kwanza mie sikubalini na dhana kwamba mavazi yanaelezea tabia ya mtu.Kama mtu una tabia chafu ni chafu tu...........hata uvae vazi refu linatambaa hadi chini kama tabia yako mbaya ni mbaya tu.
nafikiri kwenye ndoa kuna mengi zaidi. hayo uliyotaja ukiingia kwenye ndoa huongezeka intensity. halafu kuna ishu wanasema wajuaji inaitwa kuzoeana na wengine kuchokana. yaani kama kwenye uhusiano kuna kiu, kwenye ndoa hufikia kiasi cha kukinaiana sasa hapo ndo a number of implications zinaanza ................
anajifurahisha mwenyewe na nafsi yake! kwani si amevaa kwa mapenzi yake mwenyewe!
Pape, unaongelea mkeo au mpita njia. Mkeo hawezi kujifurahisha mwenyewe tu halafu wewe ubaki kuangalia. Labda kama na wewe unaridhika na anavyotoka au kama umemchukua kuondoa nuksi. Kama umewekeza kila kitu chako basi huwezi kuacha hisa zako zikategeketea na wewe umekenua meno tu! Lazima uhakikishe kuwa matamanio yako kwake angalau yanatimia kwa kiasi kikubwa. Mfano, wewe unapendelea kumwona mkeo ndani ya skini jeans na top la nguvu wakati yeye anakomalia batik na mivazi ya Kinigeria, ujue hapo utaishia kutafuta hizo taste zako nje. Mzigo ni wako na lazima uhakikishe uko salama. The vice versa is also true.
Kila abiria anachunge mzigo wake wa ndani, na hilo siyo kwa mavazi tu! Watch out, someone else might be giving a helping hand!
both... myself and my partner...
and he should do the same... otherwise i will lose interest on him... cos I have standard and he should keep up with the standard.
N,
Wewe ni mdada wa kipekee kabisa. Nimefuatilia toka mwanzao lakini ni wachache sana walikuwa na huo mtazamo. You are selfless! Hope Mungu amekutunuku/atakutunuku kilicho chema!
, au wanaume hamjisikii raha pale wanaposema mkeo kapendeza, haujioni nawe kidume eti?!!!!
Tunavaa ili tupendeze ila tukishakuw ana wenzi wetu mara nyingi kama mimi huwa napenda mwenzangu aseme nivae nini ili yeye afurahi na huko tutakapokuwa awe na confidence na mkew. mara zote ni respect, hata mie naweza penda kitu fulani akavaa ili nifurahi.
Big up guys, vaeni mridhishane.
mi japo umri upo kati na ni mom wa 3, no one will tell me what to wear! yani navaa chochote kinachonifanya niwe comforatble na kujickia nimependeza for that brightens my mood!
Inaelekea huyo jamaa nae ana kawivu kakijinga, mwanamke akivaa nguo aipendayo akapendeza ni jambo la kujivunia kutoka nae, au wanaume hamjisikii raha pale wanaposema mkeo kapendeza, haujioni nawe kidume eti?!!!!