Mwanamke akikupenda...

Love rollercoaster: Kuna wanawake wengine wakipenda basi wanapenda sana ila ukiamua kuwapenda zaidi ya wanavyokupenda wanakugeuzia kibao na unakuwa msukule wa mapenzi (source: Mbu JF).

Warning: ogopa mwanamke mwenye mapenzi sana, kwani akizuzuliwa na akapenda nje ya ndoa yako basi hapo ndo utajua kwanini kikwete anaitwa rais!

Nimemaliza

Hahahahahahah! Aisee nilijua tu lazima hii post itakuwa na kituko mwishoni!
 
Lizzy hata kama si pesa ya kuhonga,lakin hata ya kumpigia simu,,,,pesa inatakiwa tuuuu

B hiyo ya kupiga simu na vitu vidogo vidogo sio wanayoongelea hapa!!Hiyo unaihitaji kuimarisha mahusiano kwa kuwasiliana na kusaidiana kidogo baada ya kupendana wakati wenyewe wanaongelea KUPENDWA mpaka uwe na pesa....kitu ambacho ni kweli kwa kiasi fulani na sio kwa kila mtu!
 
Unajua mambo mengi tunajiendekekeza. Mwanaume anza kupenda uone kama hujapendwa. Nafikiri sisi tukiwa tuned tunatunika mpaka siku ya kufa. Mara nyingi wanaume nidyo vyanzo vya watu kushindwa kuelewana. Fanyeni uchunguzi.

Tupendane muone kama hao nyumbani ndogo zitaleta gozi gozi.
 
Wallet nene na kupendwa inahusu ukitaka mifano Nipm

Mifano sio muhimu kwangu....nasikitika tu kuona mnavyojidanganya!Wengine itabidi hata tuwaogope maana kama unazo ukapendwa kila siku kazi itakua ni kumsimanga mwenzako kwamba kakupendea pesa!
 
Mifano sio muhimu kwangu....nasikitika tu kuona mnavyojidanganya!Wengine itabidi hata tuwaogope maana kama unazo ukapendwa kila siku kazi itakua ni kumsimanga mwenzako kwamba kakupendea pesa!

Ngoja nibadilishe kidogo! mapenzi yatashamiri unafuu wa wamaisha ukiwepo!
 
Mwanamke akikupenda bana kakupenda uwe tajiri au maskin, uwe chongo au kilema vyovyote utakavyokua hatajali, atakuvumilia kwa hali yoyote atakuheshimu na kukutii, atakua mwepesi kukusamehe na kukuomba msamaha atakapokosea, MWANAMKE AKIKUPENDA UTAISH KM UKO PEPONI
 
Ngoja nibadilishe kidogo! mapenzi yatashamiri unafuu wa wamaisha ukiwepo!

Huo unafuu nao unatofautiana lati ya mtu na mtu ndio maana wengine wakipata buku 5 wanashukuru Mungu wengine millioni wanalalamika hawana kitu!!
 
"Upendo"ni mtihani zaidi ya mtihani ukiuweza utakuwa kisima cha furaha maisha yako yote!
 
yn we acha 2,kupendwa raha sana ila ikizidi karaa sana.c mke au mume.both are the same.
 
Back
Top Bottom